adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Wewe elimu yako imekusaidia nini kama unalialia kupata kazi na kukosa hata maarifa kidogo ya kuweza kujiajiri .Kwa nini muda wako usiutumie kutafuta mbinu za kukuingizia kipato baada kutwa kushinda Jf ukiandika pumba ?Hujui hata content ya uzi, una ropoka tu hapa na Elimu yako ndogo.
Kama bado haujapa Kazi mpaka sasa njoo home uwe house girl wangu.