Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

Hujui hata content ya uzi, una ropoka tu hapa na Elimu yako ndogo.
Wewe elimu yako imekusaidia nini kama unalialia kupata kazi na kukosa hata maarifa kidogo ya kuweza kujiajiri .Kwa nini muda wako usiutumie kutafuta mbinu za kukuingizia kipato baada kutwa kushinda Jf ukiandika pumba ?
IMG_20221116_161700.jpg

Kama bado haujapa Kazi mpaka sasa njoo home uwe house girl wangu.
IMG_20221116_161700.jpg
 
Wewe elimu yako imekusaidia nini kama unalialia kupata kazi na kukosa hata maarifa kidogo ya kuweza kujiajiri .Kwa nini muda wako usiutumie kutafuta mbinu za kukuingizia kipato baada kutwa kushinda Jf ukiandika pumba ?View attachment 2418608

Kama bado haujapa Kazi mpaka sasa njoo home uwe house girl wangu.View attachment 2418608
Tanzania hii kuna 'Boss' wa kumpa Kazi 'Moron' and 'Mental' WAZO2010 Mkuu?
 
Ndio maana nakwambia Elimu ni ndogo. Hata Title na Content huwezi elewa. Level zako ni akina GENTA
Ungekuwa na Elimu kubwa usingekuwa unalialia kukosa ajira kama mwehu ,ndio maana tokea mwanzo nilikuambia wewe ni bado mtu wa hovyo sana hata elimu yako ni magumashi ndio maana kila ofisi unapigwa panga hawataki kuajiri vilaza kama wewe.
IMG_20221116_161729.jpg

Kwa jinsi unavyoandika makosa kibao kama mtoto mdogo hivi unadhani bosi gani mwenye akili atakupa ajira wewe kilaza kama wewe?
 
Wewe elimu yako imekusaidia nini kama unalialia kupata kazi na kukosa hata maarifa kidogo ya kuweza kujiajiri .Kwa nini muda wako usiutumie kutafuta mbinu za kukuingizia kipato baada kutwa kushinda Jf ukiandika pumba ?View attachment 2418608

Kama bado haujapa Kazi mpaka sasa njoo home uwe house girl wangu.View attachment 2418608
Hata CJ, EALA, anafanya interview, shida ya IQ ndogo. Uli ambiwa wanao wafanya interview hawana kazi? Jaribu kuwa Global.
 
Tanzania hii kuna 'Boss' wa kumpa Kazi 'Moron' and 'Mental' WAZO2010 Mkuu?
Hakuna anayependa kuajiri vilaza mkuu,kwanza akipewa interview ya kuandika tuu tayari hana Kazi.

Afadhali muda anaotumia kukesha hapa kuandika pumba angeutumia kusoma vitabu mbalimbali anongeze maarifa huenda angepata mawazo ya kujiajiri pamoja na kusawazisha akili yake kuwa sawa.
 
Ungekuwa na Elimu kubwa usingekuwa unalialia kukosa ajira kama mwehu ,ndio maana tokea mwanzo nilikuambia wewe ni bado mtu wa hovyo sana hata elimu yako ni magumashi ndio maana kila ofisi unapigwa panga hawataki kuajiri vilaza kama wewe.View attachment 2418611

Kwa jinsi unavyoandika makosa kibao kama mtoto mdogo hivi unadhani bosi gani mwenye akili atakupa ajira wewe kilaza kama wewe?
Kama unabishi kwa Elimu yako finyu post cheti chako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shida ww ni Kajinga. Hujawahi enda Interview uka kutana na Maboss wa taasisi mbalimbali wanafanya interview? Watu wanafanya interview daily Dodoma na Dar na tuko kazini. Sijui hizi Elimu gumbalu mlifundishwa wapi?
 
Hata CJ, EALA, anafanya interview, shida ya IQ ndogo. Uli ambiwa wanao wafanya interview hawana kazi? Jaribu kuwa Global.
Bado unaendelea kudhihirisha ujinga wako,kabla sijajibu hoja yako neno umeandika kimakosa "Uli ambiwa " sahihi inatakiwa iwe "uliambiwa" nakushauri tafuta kitabu cha kusoma na kuandika ujifunze kwanza kabla ya kutaka kujadiliana na mimi.

Ninawezaje kujadiliana na wewe kama neno dogo tu ambalo hata mtoto wa darasa la kwanza anaweza kuliandika kwa ufasaha unashindwa ,vipi kuchambua na kuelewa hoja zangu utaweza ?
 
Tuhamie English tuone kama huja omba poo[emoji1787][emoji1787]
Sijui unaishi Kijiji gani hujui interview watu wanafanya Daily.
 
Kama unabishi kwa Elimu yako finyu post cheti chako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"Unabishi" hapa umeandika kitu gani ? kama kuandika tu kwako ni shida tena unarudia makosa ya wazi mara kwa mara si napoteza muda wangu bure ?
 
Tuhamie English. Sema jinga ni jinga tu hata kujiongeza typing error halijui. Afu lina jiona bonge la mjanjaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuhamie English tuone kama huja omba poo[emoji1787][emoji1787]
Sijui unaishi Kijiji gani hujui interview watu wanafanya Daily.
Nakazia akili huna ,hausomi post vizuri na kudadavua yaliyomo .

Mimi sijadharau mtu kufanya interview kwa namna yeyote bali nimepinga tabia ya kulialia na kulalamika mitandaoni kisa kukosa kazi kwani msomi hana pigo za kulalamika hovyo bali anachukua hatua stahiki kwenye matatizo na kutatua .

Mwambie GENTAMYCINE akupe mbinu za kuelewa vitu kwa ufanisi na kuchanganua ili siku nyingine usirudie kosa kama hili la leo sawa ?
 
"Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera.

"Huyu Kijana tena Wajina wangu Majaliwa Jackson ni Shujaa kweli na lazima tumpe Asante kwani Yeye ndiyo alienda ilipo Ndege na kwa Kutumia Makasia aliyokuwa nayo akafungua Mlango wa Ndege na peke yake Kuokoa Abiria wote" Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.

Kazi ipo hakyanani.
Hiyo imeisha,tujadili mambo Mengine,bongo ni nchi ya mchongo,
Ni michongo kuanzia Ikulu,mpaka kwenye kata!!
Ccm wenyewe wanashinda kwa mchongo,Polisi Kuna deal kibao za mchongo,uhamiaji,michongo ya wizi kibao,
Sasa huyu dogo majaliwa kupata mchongo mmoja tu!watu mnatoa mishipa ya shingo!!
Tujadili uhaba wa maji,vita ya tatu inayonukia,
 
Nakazia akili huna ,hausomi post vizuri na kudadavua yaliyomo .

Mimi sijadharau mtu kufanya interview kwa namna yeyote bali nimepinga tabia ya kulialia na kulalamika mitandaoni kisa kukosa kazi kwani msomi hana pigo za kulalamika hovyo bali anachukua hatua stahiki kwenye matatizo na kutatua .

Mwambie GENTAMYCINE akupe mbinu za kuelewa vitu kwa ufanisi na kuchanganua ili siku nyingine usirudie kosa kama hili la leo sawa ?
Uwezo wa kudadavua mada yoyote huna. Awali ulipost Uzi wangu. Hata Title na content hujui. Nilivyo kujibu, uka potea. Yaani una Elimu ndogo sana. Size yako ni huyo kilaza mwenzio GENTA
 
Tuhamie English. Sema jinga ni jinga tu hata kujiongeza typing error halijui. Afu lina jiona bonge la mjanjaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pumbavu mkubwa sio typing error ,sasa hivi muda wangu wa kufanya mazoezi na meditation ngoja nirudi nifanye uchambuzi kamili wa makosa na nikutofautishie na typing error nikuumbue vizuri.
 
Mtu mwenyewe maisha magumu. Fanya business kima wewe.
 
Ungekuwa na Elimu kubwa usingekuwa unalialia kukosa ajira kama mwehu ,ndio maana tokea mwanzo nilikuambia wewe ni bado mtu wa hovyo sana hata elimu yako ni magumashi ndio maana kila ofisi unapigwa panga hawataki kuajiri vilaza kama wewe.View attachment 2418611

Kwa jinsi unavyoandika makosa kibao kama mtoto mdogo hivi unadhani bosi gani mwenye akili atakupa ajira wewe kilaza kama wewe?
Ukiona tu GENTAMYCINE namdharau sana Mtu hapa JamiiForums kama huyu WAZO2010 jua ni Mpumbavu na Mwendawazimu.
 
"Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera.

"Huyu Kijana tena Wajina wangu Majaliwa Jackson ni Shujaa kweli na lazima tumpe Asante kwani Yeye ndiyo alienda ilipo Ndege na kwa Kutumia Makasia aliyokuwa nayo akafungua Mlango wa Ndege na peke yake Kuokoa Abiria wote" Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.

Kazi ipo hakyanani.
majaliwa hawajawahi kunyoosha maneno
 
Pumbavu mkubwa sio typing error ,sasa hivi muda wangu wa kufanya mazoezi na meditation ngoja nirudi nifanye uchambuzi kamili wa makosa na nikutofautishie na typing error nikuumbue vizuri.
Afu uwe una post thread zangu nzima. Tulinganishe MADINI yake na nyie wote mkiungana na huyo kima mwenzio GENTA.
 
Back
Top Bottom