Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mbona uliacha ualimu ukakimbilia VetaWaziri mkuu ambaye ndie mtendaji mkuu wa serikali anasema hayo maneno.
halafu kuna mzazi anauza shamba na kiwanja ili apate hela na kwenda kumlipia mwanae school fees mamilioni
View attachment 3267822
Hakuna kipigo chochote vijana wote wapo ruined kujiunga kwa ccm kwa mategemeo ya ajira au teuzi..Kwa ufulu huu mpaka shule za kayumba zina one ya 7. Tarajia kipigo cha ccm
Kwa nafasi aliyonayo waziri mkuu hakupaswa kutoa kauli kama hii.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.
"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA ile sio tu ya kijana wa darasa la 7 hata wewe uliyemaliza Degree uwe mtaalamu wa Kompyuta nenda kajifunze kushona nguo, uwe fundi cherehani, nenda kajifunze ufundi umeme uwe fundi umeme kwahiyo hata mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kwenda kusoma VETA kwasababu pale unasemea ufundi"
Aanze mwanaye kusoma huko.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.
"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA ile sio tu ya kijana wa darasa la 7 hata wewe uliyemaliza Degree uwe mtaalamu wa Kompyuta nenda kajifunze kushona nguo, uwe fundi cherehani, nenda kajifunze ufundi umeme uwe fundi umeme kwahiyo hata mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kwenda kusoma VETA kwasababu pale unasemea ufundi"
Ukitoka huku unajiajiri huku bidhaa feki za kichina zinaingia kila siku gharama za chini ameshindwa kudhibiti yeye kama mtendaji mkuu.Binafsi naweza kusema ameongea kauli ya kishujaa na nzuri sana,
Mkombozi wa ajira na uchumi wa vijana ni kujiajiri baas
Kesho nikimkuta mwanaye nami najiungaAanze mwanaye kusoma huko.
Yeye Majaliwa anawaza tu kugombea ubunge tenaWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.
"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA ile sio tu ya kijana wa darasa la 7 hata wewe uliyemaliza Degree uwe mtaalamu wa Kompyuta nenda kajifunze kushona nguo, uwe fundi cherehani, nenda kajifunze ufundi umeme uwe fundi umeme kwahiyo hata mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kwenda kusoma VETA kwasababu pale unasemea ufundi"
Hkn kejeli hapo vijnaa waende veta kuliko kutembe a karanga na kahawa mtaniTunamshukuru kwa kejeli, Mungu amzidishie kila kitu, Amina
Haya ndiyo madhara ya kuchagua viongozi wasio na maono.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.
"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA ile sio tu ya kijana wa darasa la 7 hata wewe uliyemaliza Degree uwe mtaalamu wa Kompyuta nenda kajifunze kushona nguo, uwe fundi cherehani, nenda kajifunze ufundi umeme uwe fundi umeme kwahiyo hata mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kwenda kusoma VETA kwasababu pale unasemea ufundi"
Tayari sasa hivi madogo WKitoka form 4 wanaenda vyuo kupewa Elimu practical, baadhi ndio wanaenda 5 na 6Nimeangalia takwimu za Vijana wanaomaliza VETA na wale wa Degree
Naona takwimu zinataka kufanana Kwa kiasi
Mathalani Wahitimu wa Degree ni Wahitimu 100,000 Kwa Mwaka
Wakati wale wa VETA wastani wa 157,000 Kwa Mwaka
Kama Serikali inataka hayo, ipunguze kudahiri Wanafunzi wa Vyuo Vikuu
Na Badala yake nguvu kubwa ielekezwe huko vyuo vya Kati na Ufundi
Japo Anayehitimu Degree anakuwa na maarifa makubwa kuzidi hao vyuo vya Ufundi ambao ni dhahiri wanaandaliwa kuwa Mafundi
Mkuu hakuna ugomvi kwa Waziri Mkuu Majaliwa wala mleta hoja na wachangiaji.Nimeangalia takwimu za Vijana wanaomaliza VETA na wale wa Degree