Kuna nguvu 2 tu zinainua Mtu kimaisha.
Kuinuliwa huko kunaweza kumfanya mtu husika asahau alipotoka.
Hizi nguvu 2 ni
1. Nguvu ya MUNGU
2. Nguvu ya IBILISI
Mara nyingi NGUVU YA IBILISI iliyomuinua Mtu kimaisha huwa Ina tabia na mazoea ya kumfanya Mtu asahau alipotoka mpaka alipo.
Ni mara chache sana kukuta Mtu aliyeinuliwa na nguvu ya Mungu kutema nyongo kama hizoβΊοΈβΊοΈ