emanuel kiwonyi
JF-Expert Member
- May 1, 2015
- 437
- 641
Mtakubali tu anachokisema Haina maana una degree alafu uko mtaani unazunguka na bahasha umri unazidi kwenda na unaKwani haiwezekani kuwa daktari na ukawa mjasilia mali ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtakubali tu anachokisema Haina maana una degree alafu uko mtaani unazunguka na bahasha umri unazidi kwenda na unaKwani haiwezekani kuwa daktari na ukawa mjasilia mali ?
Na wajinga na mbumbumbu wengine hawataki huu ukweli 👇👇
View: https://x.com/Octavianlasway/status/1900551952968122493?t=XtCITfrb2_bkSwCkt30dDw&s=19
Siku ya pili PM aliendelea kukazia kauli yake. Akatolea mfano kule Mbeya au Iringa(sikumbuki vizuri) kulikuwa na dada graduate alienda VETA kujifunza ususi. Kisha akaanzisha saloon yake kubwa tu. Sasa huyu kusomea ususi kama mult skills kuna mnyima nini kuitumia degree yake?Kwani haiwezekani kuwa daktari na ukawa mjasilia mali ?
Sema pole pole mkuu, Wasije wakakupiga humu 😀Lakini hatupo magharib tupo bongo lazima twende VETA.😹😹
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.
"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA ile sio tu ya kijana wa darasa la 7 hata wewe uliyemaliza Degree uwe mtaalamu wa Kompyuta nenda kajifunze kushona nguo, uwe fundi cherehani, nenda kajifunze ufundi umeme uwe fundi umeme kwahiyo hata mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kwenda kusoma VETA kwasababu pale unasemea ufundi"
My Take
Broilers wote mumepewa Mchongo,hamtaki acheni.
View: https://x.com/Jambotv_/status/1900251280368439576?t=1ETPaGpqQEPSYA7o4mkSJA&s=19
Nimekosa tu tarumbeta VETA VETA VETA😹😹🙌🏾Sema pole pole mkuu, Wasije wakakupiga humu 😀
Uandishi umetulia sana nipo zangu Namburukutwa hapa mlimani naelekea chimbila B ila itabidi nipite Nandagala sokoni kuona hali ipoje nirudi mpilipili kuangalia vitunguu.
[/QUDuuu shukrani 😅😅 Msalimie sana mzee,wasalimie wadau hapo akina Mburushi,Muba, Kubanga, Said Hamis Said fundi,Kamili philipo,Badi na Mtongole!! hao ni wadau Muhimu sana hapo Nandagala 😅😅😅😅Uandishi umetulia sana nipo zangu Namburukutwa hapa mlimani naelekea chimbila B ila itabidi nipite Nandagala sokoni kuona hali ipoje nirudi mpilipili kuangalia vitunguu.
Mwambie amuulize JiweRais kasema anastaafu 2030 sasa kura inahusikaje hapo
Alieleweka vizuri ,labda wewe hukumwelewaHivi mlisikikiza vzr speech ama mnanukuu kama mnavyo fikilia tu coz sijaona tatizo la kauli ya wazir mkuu ama ni kutafuta trend tu, kuna degree gani zinaendesha bodaboda mtaani ? Ebu muacheni mzee wa watu
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.
"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA ile sio tu ya kijana wa darasa la 7 hata wewe uliyemaliza Degree uwe mtaalamu wa Kompyuta nenda kajifunze kushona nguo, uwe fundi cherehani, nenda kajifunze ufundi umeme uwe fundi umeme kwahiyo hata mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kwenda kusoma VETA kwasababu pale unasemea ufundi"
My Take
Broilers wote mumepewa Mchongo,hamtaki acheni.
View: https://x.com/Jambotv_/status/1900251280368439576?t=1ETPaGpqQEPSYA7o4mkSJA&s=19
Hahahhaha Umemsahau Al wattan mzee wa peku peku Bwana Alambwiye hahahhahaha
😅😅😅 Alambwiye,Hahahhaha Umemsahau Al wattan mzee wa peku peku Bwana Alambwiye hahahhahaha
Alambwiye fundi nguo wa zamani!!! Enzi za Akina marehemu fundi betram 😅😅Hahahhaha Umemsahau Al wattan mzee wa peku peku Bwana Alambwiye hahahhahaha
Degree sio ujuzi??Shida zenu vijana mna degree za kukalili ila uwezo wenu ni mdogo nendeni VETA mkapate ujuzi. Degree kwa sasa si kitu cha kujisifia tunachoangalia una ujuzi gani?