Just imagine mtu kasomea udaktari bingwa let's say wa moyo for five good years, then paa... from nowhere umwambie nenda tena veta kasomee ufundi welding....🤔🤔 does it make sense?. Kwa mfano mimi ningemwelewa pm endapo pm angepeleka hoja bungeni kufanyiwe reform kwenye eneo la elimu kwamba mtoto akimaliza secondary au advanced sec aende moja kwa moja kwenye vyuo anuwai/ veta apate ujuzi wa ufundi kabla ya kujiunga na elimu ya juu.. ili endapo hata akimaliza degree halafu mambo ya ajira yakaleta mapichapicha huko baadaye, anakuwa na backup au plan B kwakuwa tayari ana ujuzi alioupata veta.