Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri
Kuna vijana kibao wiliomaliza veta hawana kazi na hao serikali inawasaidiaje
Sijawahi kuona ndio nasikia kwako, nnaowafahamu wote sio watoto wa mama namaanisha wavivu wengi wao wapo kwenye makampuni, wamefungua vijiwe vya kazi au wamejiunga kwenye vikundi vya ufundi na wanatafuta lidhiki kutokana na ujuzi wao.
 
wavivu daima hawapendi kuskia ukweli kama alioutoa kiongozi huyu wa Kitaifa.

my friends, ladies and gentlemen,
bila kua na ujuzi utakua mnyonge wa kiuchumi mwenye mihemko maisha yako yote,

nenda kachote ujuzi veta na uje shambani kwenye kilimo na ufugaji biashara kuinjoy utajiri wa Taifa letu 🐒
Penye Ukweli huwa tunaunga mkono na penye mauzauza huwa tunapinga na kupaza sauti zetu hata behind fake 🪪 id’s. 😳 !
 
Majaliwa ametoa ushauri tu. Lakini sio vibaya mtu mwenye degree kwenda veta akapate ujuzi,
 
Sijawahi kuona ndio nasikia kwako, nnaowafahamu wote sio watoto wa mama namaanisha wavivu wengi wao wapo kwenye makampuni, wamefungua vijiwe vya kazi au wamejiunga kwenye vikundi vya ufundi na wanatafuta lidhiki kutokana na ujuzi wao.
Na nawajua hawana kazi na wengine kazi wanayofanya ni tofauti na walichosomea VETA
 
Unaweza ukawa na degree ya HR lakini ukakosa ajira sio mbaya ukaenda veta kupata ujuzi ukafungua kiwanda kidogo
 
Kama Jenista Muhagama ni waziri kwanini Majaliwa hasiwe waziri mkuu.
Shida ni za wananchi siyo wateuaji
Tena ni waziri wa afya, ila Rais Samia ktk kuboronga kwenye uteuzi, basi ni kwa Jenista kwenda kwenye Afya.

Haya ni matusi kabisa. Aaaah

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Penye Ukweli huwa tunaunga mkono na penye mauzauza huwa tunapinga na kupaza sauti zetu hata behind fake 🪪 id’s. 😳 !
sasa mtu anapata mihemko na makasiriko kwenye kuambiwa ukweli kama huo alioutoa kiongozi huyo wa Kitaifa kwenye mawaidha yake mujarabu kwa graduates wanaozurura tu mijini kutafuta ajira tangu 2015?

ajira za uhakika za kutosha waTanzania wote zipo kwenye kilimo, ujenzi, ufugaji, umeme n.k

ikiwa huna ujuzi utaota mvi za stress ukiwa unazurura mjini tu gentleman 🐒
 
Kuna kozi ya kurekebisha simu janja huko VETA?
Nikapate ujuzi niende mkoani huko kupigisha motherboard za simu mswaki kwa benzane. Inalipa kwa haraka... Nikiweka na nyimbo kwenye simu na kuwa unganisha FB na IG kwa mwezi sio haba
 
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa elimu ya juu kabisa hapa Tanzania ni elimu ya VETA.

Hata maprofesa waende VETA wakajifunze kushona kwa cherehani..😂😂
 
Hajalazimisha mtu lakini 😅😅😅 ni vizuri kuchagua moja.
 
Mtu anatakiwa atumie maarifa yake kupata kazi/ shughuli kutokana na ujuzi alioupata.hakuna serikali inaweza kutoa ajira kwa kila anayehitimu chuo.
Sasa kuna maana gani ya kwenda VETA? ikiwa hao fresh graduate wa VETA wana struggle ktk kupata ajira, au kutafuta ridhiki zao kupitia huo ujuzi waliopata huko?

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
wavivu daima hawapendi kuskia ukweli kama alioutoa kiongozi huyu wa Kitaifa.

my friends, ladies and gentlemen,
bila kua na ujuzi utakua mnyonge wa kiuchumi mwenye mihemko maisha yako yote,

nenda kachote ujuzi veta na uje shambani kwenye kilimo na ufugaji biashara kuinjoy utajiri wa Taifa letu 🐒
20250308_045213.jpg

Utajiri upi?
 
Sijawahi kuona ndio nasikia kwako, nnaowafahamu wote sio watoto wa mama namaanisha wavivu wengi wao wapo kwenye makampuni, wamefungua vijiwe vya kazi au wamejiunga kwenye vikundi vya ufundi na wanatafuta lidhiki kutokana na ujuzi wao.
Hao unawafahamu wee, vipi na sisi tunao wafahamu wanao hustle kitaa buree tyuuh. Lol

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
mimi nikiwa nafundisha chuo kikuu fulani humu nchini kama part-time lecture, nilijiunga veta kujifunza welding,

baada ya kupata ujuzi,
vitanda vyote katika vyumba vya kulala nyumbani kwangu nimetengeneza mwenyewe kwa ujuzi niliopata veta, hata madirisha katika mabanda ya mifugo yangu nimetengeneza mwenyewe,

hakuna fundi mchomeleaji wa kunitapeli eneo hilo 🐒
Lecture vs Lecturer 🙃
 
Back
Top Bottom