Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Uzuri mafundi hawalipi kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha 🤣 😂 acha hivyo mkuu, nimekuelewa ila nakuchokonoa ili uendelee kunimwagia historical events, unaonekana kichwa Sana kwenye history.Sikuelezei tena. Kama hujaelewa.
wavivu daima hawapendi kuskia ukweli kama alioutoa kiongozi huyu wa Kitaifa.
Mi binafsi naunga mkonowavivu daima hawapendi kuskia ukweli kama alioutoa kiongozi huyu wa Kitaifa.
my friends, ladies and gentlemen,
bila kua na ujuzi utakua mnyonge wa kiuchumi mwenye mihemko maisha yako yote,
nenda kachote ujuzi veta na uje shambani kwenye kilimo na ufugaji biashara kuinjoy utajiri wa Taifa letu 🐒
mimi nikiwa nafundisha chuo kikuu fulani humu nchini kama part-time lecture, nilijiunga veta kujifunza welding,Mi binafsi naunga mkono
Watu waende veta wakapate skills
Binafsi mm veta ilupoanzishwa ya moto moto mm nlipatq fursa ya kwenda
Ova
Kuna vijana kibao wiliomaliza veta hawana kazi na hao serikali inawasaidiajeWatanzania wengi mna ugonjwa wa kuambiwa ukweli au kuelewa mtu anayekupa dira ni yupi na muongo ni yupi, mnapenda kusikia uongo uongo tu. Shida vijana hampendi kazi za mikono na ubunifu wachina wangesubiri ajira za ofisini kama nyinyi wasingekuwa hapo walipo.
Kweli kabisa kabisa !Watanzania wengi mna ugonjwa wa kuambiwa ukweli au kuelewa mtu anayekupa dira ni yupi na muongo ni yupi, mnapenda kusikia uongo uongo tu. Shida vijana hampendi kazi za mikono na ubunifu wachina wangesubiri ajira za ofisini kama nyinyi wasingekuwa hapo walipo.
Wanataka kuvaa taiWatanzania wengi mna ugonjwa wa kuambiwa ukweli au kuelewa mtu anayekupa dira ni yupi na muongo ni yupi, mnapenda kusikia uongo uongo tu. Shida vijana hampendi kazi za mikono na ubunifu wachina wangesubiri ajira za ofisini kama nyinyi wasingekuwa hapo walipo.
Mtu anatakiwa atumie maarifa yake kupata kazi/ shughuli kutokana na ujuzi alioupata.hakuna serikali inaweza kutoa ajira kwa kila anayehitimu chuo.Kuna vijana kibao wiliomaliza veta hawana kazi na hao serikali inawasaidiaje