mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Ukiwaamini hawa, jipange kuamini kila jambo.
Hata wakikwambia fulani ni gaidi, wala usiwabishie.
Hukumu inakaribia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwaamini hawa, jipange kuamini kila jambo.
Hata wakikwambia fulani ni gaidi, wala usiwabishie.
Sijui ni kwa nini watu hawaoni kuwa kuna umuhimu mkubwa sana sana wa kuwa na system itakayo-check mtu mmoja asiwe tena na nduvu za madaraka kiasi cha kufikia watu kumwabudu kinafiki hata anapokosea. Mama Samie naye ni muda tu. Tena atakuja kulaumiwa na kuonekana kama alikuwa kiongozi mbovu kuwahi kutokea.
Hukumu inakaribia
Mpaka aseme!!??Aseme basi 80% ya chanjo milioni moja zilizoletwa
Otherwise mnaleta sintofahamu
Mahakamani tunapaswa sote kutendewa haki.
Yasemekana hata Sirro, mapigo ya moyo yako juu.
Sawa! Ila mbona hatusikii taarifa za vipimo? Mwatoa chanjo na wananchi hawapimwi! Hivyo vipimio mmetia kibindoni!??Dodoma. Waziri wa Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80 na zilizobakia mikoani hivi sasa ni chache.
Jumla ya chanjo milioni 1.058 zilizopokelewa nchini kutoka nchini Marekani Julai 24, 2021 na uchanjaji ulizinduliwa rasmi Julai 29, 2021 na Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli hiyo imekuja baada ya Serikali kuanzisha kampeni maalum ya kuhamasisha uchanjaji wa chanjo hiyo katika maeneo mbalimbali ikiwemo makanisani na kwenye mikusanyiko ya watu.
Majaliwa ameyasema hayo leo Jumatatu Oktoba 4 2021, wakati akifungua kongamano la tano la uwezeshaji lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (Neec).
“Tunalo zoezi la uchanjaji. Namshukuru Mungu tumefikia asilimia 80 na kitu huko, tumebaki na chanjo chache sana kwenye mikoa hiyo. Kila mmoja awahi huko na kama kuna mahitaji tutaleta nyingine malengo ni afya,”amesema.
Amesema suala la chanjo sio lazima lakini ni muhimu kwaasababu linasaidia kuongeza virutubisho mwilini na iwapo mtu atapata hawezi kuwa mwepesi kama vile mtu ambaye hajachanjwa kabisa.
Amewaagiza wakuu wa mikoa kutoa elimu na kuhamasisha kuhusu umuhimu wa kuchanja chanjo hiyo.
Mwananchi
Exactly yaani asilimia ya chanjo zilizopokelewa lakini siyo asilimia ya idadi ya watu wanaohitajika kupata chanjo. Mfano Rwanda wamevuka zaidi ya asilimia 40 ya raia wake...80% ya chanjo 1m zilizopo ni sawa lakini ya chanjo ni tungo tata
Mahakama ndio kila kitu
Tumwache siro astaafu kwa amani
Kwani janga la Covid limeisha?Sijawahi kuchanja,niko poa tu
Exactly yaani asilimia ya chanjo zilizopokelewa lakini siyo asilimia ya idadi ya watu wanaohitajika kupata chanjo. Mfano Rwanda wamevuka zaidi ya asilimia 40 ya raia wake...
jamaa ongo xana hili yani hizo mil moja zenyewe hata laki tano hazijatumika anasema asilimia themanini duh , aisee basi sawa kuna watu wajinga sana sijapata kuona hasa huyu diblo dibala, ndiomaana alituaminisha aliongea na jiwe kwa simu wakati jiwe lilishakata moto, na cha ajabu aliongelea msikitini. watu hawaogopi kabisa dhambi ya kusema uongo
Safi sana!! Maana hakuna namna nyingine! Ni suala la kauli tu, tumesema zimeisha na kauli hiyo ni ya mwisho!! Beberu kama hauamini shauri yako! Maana tukisema tusubiri hadi ziishe kweli tutasubiri sana!! Suluhisho ni kutamka kauli tu biashara inaishia hapo!!!Dodoma. Waziri wa Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zoezi la chanjo ya Uviko-19 limefikia zaidi ya asilimia 80 na zilizobakia mikoani hivi sasa ni chache.
Jumla ya chanjo milioni 1.058 zilizopokelewa nchini kutoka nchini Marekani Julai 24, 2021 na uchanjaji ulizinduliwa rasmi Julai 29, 2021 na Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli hiyo imekuja baada ya Serikali kuanzisha kampeni maalum ya kuhamasisha uchanjaji wa chanjo hiyo katika maeneo mbalimbali ikiwemo makanisani na kwenye mikusanyiko ya watu.
Majaliwa ameyasema hayo leo Jumatatu Oktoba 4 2021, wakati akifungua kongamano la tano la uwezeshaji lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (Neec).
“Tunalo zoezi la uchanjaji. Namshukuru Mungu tumefikia asilimia 80 na kitu huko, tumebaki na chanjo chache sana kwenye mikoa hiyo. Kila mmoja awahi huko na kama kuna mahitaji tutaleta nyingine malengo ni afya,”amesema.
Amesema suala la chanjo sio lazima lakini ni muhimu kwaasababu linasaidia kuongeza virutubisho mwilini na iwapo mtu atapata hawezi kuwa mwepesi kama vile mtu ambaye hajachanjwa kabisa.
Amewaagiza wakuu wa mikoa kutoa elimu na kuhamasisha kuhusu umuhimu wa kuchanja chanjo hiyo.
Mwananchi
Safi sana!! Maana hakuna namna nyingine! Ni suala la kauli tu, tumesema zimeisha na kauli hiyo ni ya mwisho!! Beberu kama hauamini shauri yako! Maana tukisema tusubiri hadi ziishe kweli tutasubiri sana!! Suluhisho ni kutamka kauli tu biashara inaishia hapo!!!
Misikitini na kwenye masinagogi Je?makanisani na kwenye mikusanyiko ya watu.
Usiseme ni uwongo. Wewe kutochanja, usidhani wote hawajachanjwa.jamaa ongo xana hili yani hizo mil moja zenyewe hata laki tano hazijatumika anasema asilimia themanini duh , aisee basi sawa kuna watu wajinga sana sijapata kuona hasa huyu diblo dibala, ndiomaana alituaminisha aliongea na jiwe kwa simu wakati jiwe lilishakata moto, na cha ajabu aliongelea msikitini. watu hawaogopi kabisa dhambi ya kusema uongo
Majaliwa ni mwongo , siku zote