Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katibu wa wachumia tumbo na ufisadi. CCM ni kama kirusi cha HIV utakifubaza na ARV lakini kamwe hukiondoi mwilini. Hawa wote ni waathirika wa CCM.Si alisema hahitaji kwenda chama chochote? Sasa hata ukirudi huko CCM unaweza kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa nani?
Niulizie ili iweje labda...!!??
Huyo amerudi sisiem ili apate kuendelea kukaa ndani ta system na ama asisahaulike
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wengi ni habari kubwa, lakini kwa sisi wengine it was just a matter of time na sasa ni yametimia tuu!.SUMAYE AREJEA RASMI CCM
Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye leo Februari 10, 2020 ametangaza kurudi Chama cha Mapinduzi (CCM)
Ni kweli!
Endeleeni kumtukana kama alivyokuwa CDMSafi sana.
Sumaye shida yake ni Uenyekiti tuSumaye hawezi kuvuta mjadala muda mrefu. Hana huo mvuto. Wange tafuta cobver up nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app