Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Mzee anautaka urais wa Tized, kama si 2020 basi 2025 CCM jiandaeni nguli wa siasa kasharudi..

huko CHADEMA hawaeleweki wanamyima hadi kura za peke yake duh!
 
Kwan makamba ni nani karne hii, wabongo kwa ushabikI maandaz tuko juu, Makamba ni nani haswa?
 
Kile kirusi kingeingia kwenye CHADEMA na Chadema wametumia akili ya hali ya juu kabisa
 
Baada ya kuhojiwa na PCCB na kuporwa mashamba aliyokuwa mawapora wanyonge kila pahala nchini na baada ya vimemo toka kwa Lukuvi kila uchao ameona salama yake dhidi ya:

1. MONEY LOUNDERING

2. KUPORWA ARDHI NA JIWE ni kurudi nyumbani ambapo atafutiwa mashitaka yaliyo pending kwa BISWALO na pia KURUDISHIWA MASHAMBA ALIYOPORWA .

Wambuli hawqaamini yena, alianza slaa, Gekul sasa huyu jamaa ambaye ni zero brain kwenye siasa na hana ushaishi kote aendako
 
Mashamba yote anarudishiwa kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimuuliza aliyoyakimbia CCM yameshatatuliwa?...utabakia anamungunya midomo...

Ukiniambie nikutajie wazee wenye misimamo mikali ya kisiasa hapa nchini itakuwa kazi kubwa ...sijui kama naweza kufikisha hata 10, wengi wao ni njaa njaa, ujanja ujanja wa kisiasa.
 
Wala haiwezekani kuzima suala la Makamba na Kinana kwa upuuzi wa Sumaye aliyehamia CCM tangu anaondoka Chadema.
 
Mh. Sumaye, baada ya kukaa na kutafakari najuwa bado una Maono (vision) ilikutuma kutaka kugombea uwenyekiti wa taifa Chadema. Bahati mbaya ukakutana na mbinyo wa democracy ikakubidi utafute mahali ambapo utapata fursa. Sasa basi gombea uwenyekiti wa taifa ili uweze kutimiza ndoto zako, katika chama ulichorejea.
 
HIYO NI NJAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
NA
KUPOTEZEA NYIMBO ZILIZOPAMBA ZA KUONDOKA KWA KANALI MSTAAFU WA CHICHIEM
 
Naona tim ya kampeni imekamilika!sasa kinana na makamba wamefunikwa kabisa!!!tishio la marekani nalo limesahaulika!!!
 
Back
Top Bottom