Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Si alisema hahitaji kwenda chama chochote? Sasa hata ukirudi huko CCM unaweza kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa nani?
Katibu wa wachumia tumbo na ufisadi. CCM ni kama kirusi cha HIV utakifubaza na ARV lakini kamwe hukiondoi mwilini. Hawa wote ni waathirika wa CCM.
 
Viongozi wetu wengi Tanzania hasa CCM hawana msimamo, hawajui wanataka nini pia hawajui wanasimamia nini ndiyo maana hii nchi haitakuja endelea hivi karibuni.

Yaani miezi miwili tu nyuma alidai hatakuwwa na chama atabaki Mshauri leo tayari anapokelewa kwenye chama tena kwa mbwembwe. Nafikiri Watanzania mfipa wa aibu ulishatutoka!
 
Alirudi zamani
Ni jaribio la kuzima kimbunga cha kinana na makamba


Sent from my iPad using JamiiForums
 
SUMAYE AREJEA RASMI CCM
Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye leo Februari 10, 2020 ametangaza kurudi Chama cha Mapinduzi (CCM)
Kwa wengi ni habari kubwa, lakini kwa sisi wengine it was just a matter of time na sasa ni yametimia tuu!.

P
 
Kwani leo wamehudhulia kwenye mahojiano pale Dodoma?mbona Mangula na polepole hawatupi mlejesho?
 
Of course ilitegemewa...
Aliyewahi kusema kuwa "usimuamini sana mwanasiasa hata kama ni baba yako" sidhani kama alikosea....

SASA JIWE AMRUDISHIE MASHAMBA YAKEEEEEEEEEEEEEEEEE........
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom