Ukimuuliza aliyoyakimbia CCM yameshatatuliwa?...utabakia anamungunya midomo...
so kaifanya hii isiwe habari automaticallyAlikuwa akivuta muda lakini alishajua anaenda wapi
Wewe so ulimwita mjinga?Jamaa anatumia uhuru wake kikatiba. Hakuna ubaya hapo.
Leo sio mr ziroSafi sana.