Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Si alikuwa anataka kugombea uenyekiti wa CHADEMA taifa,kweli chadema ingeyumba,yaani hata miezi 5 hajamaliza baada ya kukosa uenyekiti leo karudi CCM,intelijensia ya chadema ni pana sana
Hakuna jipya hapo zaidi ya nyinyi waramba miguu kuona aibu maana mlimtukana sana kipindi amehamia cdm

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka ule mkutano wa jangwani.
Mtu mzima yakamtoka maneno mazito.
"Wapumbavu na Malofa"
Je "ZERO" ameshakuwa "MWEREVU NA TAJIRI" baada ya kuondoka CHADEMA?
 
IMG-20200210-WA0011.jpg

Wanasiasa bana, hata wakikuaga usiku mwema inabidi uangalie nje kama giza kweli limeingia.
 
Back
Top Bottom