Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi?
Hakuna jipya hapo zaidi ya nyinyi waramba miguu kuona aibu maana mlimtukana sana kipindi amehamia cdm
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona leo povu, vipi?Hata nyinyi mlitumia uhuru wenu kumtukana matusi ya nguoni, lkn leo hii mnamramba miguu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikatafute Comment zako,Siku Sumaye alipohama CCM hatutaki unafiki nakumbuka ulimuita Fisadi.Safi sana.
Jamaa anatumia uhuru wake kikatiba. Hakuna ubaya hapo.
Endelea kutafuta.Ngoja nikatafute Comment zako,Siku Sumaye alipohama CCM hatutaki unafiki nakumbuka ulimuita Fisadi.
Lete ushahidi, acha kuropoka hovyo.Alipokuwa chadema kwanini ulikuwa umamtukana kama unajua ni uhuru wake wa katiba,we kilaza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaanzia wapi kuwalinganisha Sumaye na Kinana katika CCM?Pengo la Kinana sasa limezibwa, bado la Makamba litazibwa na Dr Makongoro wa CHADEMA huko huko siasa ni sayansi!