ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Njaa haina baunsa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa haina baunsa
Walau arudishiwe baadhi ya miliki zake🤣🤣🤣 na asibugudhiweSi alisema hahitaji kwenda chama chochote? Sasa hata ukirudi huko CCM unaweza kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa nani?
Alaa, kumbe?Wana CCM hua mnamuita 'Zero Brain'.
dodge
Ya kule Mvomero?Na Mashamba Yake atarudishiwa au siyo?
Nikweli nina njaa, lakini nina amani pasipo misukosuko wala hekaheka za kuitwa mpinzanimkuu, njaa labda tuseme unayo wewe, huyo amekua waziri mkuu, na bado anapokea mkwanja kila mwisho wa mwezi
Sent from my iPhone using JamiiForums