Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Si alisema hahitaji kwenda chama chochote? Sasa hata ukirudi huko CCM unaweza kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa nani?
Walau arudishiwe baadhi ya miliki zake🤣🤣🤣 na asibugudhiwe
 
Hawa ndio wakishika microphone utasikia wakisema: vijana jiajirini. Ila wao hawawezi kuishi nje ya ajira.
 
Chezea vitega uchumi unyanganye alizama urudishe mpira kwa kipa upange mashamburizi hupia. Bila shaka atarudishiwa shamba lake uko morogoro na atapangiwa afunge wanyama pori yani haanzishe ranch ya wanyama pori
 
Huyu mzee ana tamaa tu zikiisha atalisaidia taifa Ila sijui ni lini tamaa zitaisha. Haiwezekani ulkuwa Waziri Mkuu then umekosa nafasi ya chama tu unabutuka mwenyewe bila kubutuliwa Wala na silaha Mali zenyewe huna kivile kelele Kama chura tu. Wazee Kama Hawa vizazi vyake huwa vinashida sana...
 
hili lilikuwa ni suala la muda tu. ilijulikana mapema kuwa hawa wazee wawili walienda upinzani kimkakati ili kuvuruga chama. mission yao imekwama chama kipo imara na upinzani umezidi kuimarika warudi kwao
 
mwanamwana,
Yaani mtu miezi mitatu alitaka kuwa mwenyekiti wa Chama kikuu cha Upinzani baada ya kukosa leo karudi CCM sasa je alikuwa mpinzani kweli😂😂? Walimshitukia mapema
 
Sumaye alijua amehamia Chadema mtelezo tu watampa vyeo na utopu kwenye chama ili aje awanie uraisi ndani ya chama ili ajidai baadae chama Cha ccm anakijua wakati wapinzani ndio wanakijua zaidi chama Cha CCM kuliko hata CCM wenyewe
 
Back
Top Bottom