Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Faki the mazafaka!Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne, Mizengo Pinda, amesema maandamano yaliyotokea Oktoba 29 hayakuwa ya amani, akieleza kuwa baadhi ya Vijana walishiriki bila kupata maelekezo sahihi, hali iliyosababisha mipango ya kuharibu mali na miundombinu ya umma pamoja na kuvuruga amani ya nchi.
Ameyasema hayo wakati wa sherehe za Mwaka Mpya zilizofanyika katika Shule ya Sekondari Mizengo Pinda, iliyopo nyumbani kwake Kibaoni, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, mkoani Katavi.
Katika hafla hiyo, Waziri Mkuu mstaafu alijumuika na ndugu, jamaa, marafiki pamoja na taasisi mbalimbali za Serikali na zisizo za kiserikali.
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Peter Pinda aliiasa jamii kuwapatia Watoto wao malezi bora ili kujenga jamii na Taifa lenye Vijana waadilifu, waliostaarabika na wenye uzalendo, ambao hawawezi kujihusisha na vitendo vinavyoweza kuligawanya Taifa.
Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Abdulmajid Mwanga, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi, amesema Serikali inaendelea kubaini na kuibua fursa mbalimbali za maendeleo mkoani humo.
Amesema miongoni mwa miradi inayoendelea ni utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Sitalike-Kibaoni kwa kiwango cha lami, mradi ambao hapo awali ulikuwa umesimama kwa miaka mingi na kusababisha adha kubwa katika usafirishaji wa mizigo na abiria.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo wamesema ujumbe uliotolewa na Waziri Mkuu mstaafu umejikita katika kuliponya na kuliunganisha Taifa kufuatia machafuko yaliyotokea Oktoba 29, 2025.
Hizi ni propaganda za kitoto SanaWaziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne, Mizengo Pinda, amesema maandamano yaliyotokea Oktoba 29 hayakuwa ya amani, akieleza kuwa baadhi ya Vijana walishiriki bila kupata maelekezo sahihi, hali iliyosababisha mipango ya kuharibu mali na miundombinu ya umma pamoja na kuvuruga amani ya nchi.
Ameyasema hayo wakati wa sherehe za Mwaka Mpya zilizofanyika katika Shule ya Sekondari Mizengo Pinda, iliyopo nyumbani kwake Kibaoni, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, mkoani Katavi.
Katika hafla hiyo, Waziri Mkuu mstaafu alijumuika na ndugu, jamaa, marafiki pamoja na taasisi mbalimbali za Serikali na zisizo za kiserikali.
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Peter Pinda aliiasa jamii kuwapatia Watoto wao malezi bora ili kujenga jamii na Taifa lenye Vijana waadilifu, waliostaarabika na wenye uzalendo, ambao hawawezi kujihusisha na vitendo vinavyoweza kuligawanya Taifa.
Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Abdulmajid Mwanga, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi, amesema Serikali inaendelea kubaini na kuibua fursa mbalimbali za maendeleo mkoani humo.
Amesema miongoni mwa miradi inayoendelea ni utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Sitalike-Kibaoni kwa kiwango cha lami, mradi ambao hapo awali ulikuwa umesimama kwa miaka mingi na kusababisha adha kubwa katika usafirishaji wa mizigo na abiria.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo wamesema ujumbe uliotolewa na Waziri Mkuu mstaafu umejikita katika kuliponya na kuliunganisha Taifa kufuatia machafuko yaliyotokea Oktoba 29, 2025.
View attachment 3524053
Nyumba ya Rafiki yake Wasira imemuuma sana kuliko watanzaninia wenzake waliofuatwa nyumbani na kuuliwa,huo muda ARV alikuwa tayari kameza au bado
Kwamba??huo muda ARV alikuwa tayari kameza au bado
Sasa hapo alikua anasherekea mwaka mpya au alikua anatoa maoni ya maandamano, shame on you Pinda. Anatetea ugali wa familia yake na watoto wake waendelee kuneemeka katika tawala hizi dhalimuWaziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne, Mizengo Pinda, amesema maandamano yaliyotokea Oktoba 29 hayakuwa ya amani, akieleza kuwa baadhi ya Vijana walishiriki bila kupata maelekezo sahihi, hali iliyosababisha mipango ya kuharibu mali na miundombinu ya umma pamoja na kuvuruga amani ya nchi.
Ameyasema hayo wakati wa sherehe za Mwaka Mpya zilizofanyika katika Shule ya Sekondari Mizengo Pinda, iliyopo nyumbani kwake Kibaoni, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, mkoani Katavi.
Katika hafla hiyo, Waziri Mkuu mstaafu alijumuika na ndugu, jamaa, marafiki pamoja na taasisi mbalimbali za Serikali na zisizo za kiserikali.
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Peter Pinda aliiasa jamii kuwapatia Watoto wao malezi bora ili kujenga jamii na Taifa lenye Vijana waadilifu, waliostaarabika na wenye uzalendo, ambao hawawezi kujihusisha na vitendo vinavyoweza kuligawanya Taifa.
Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Abdulmajid Mwanga, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi, amesema Serikali inaendelea kubaini na kuibua fursa mbalimbali za maendeleo mkoani humo.
Amesema miongoni mwa miradi inayoendelea ni utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Sitalike-Kibaoni kwa kiwango cha lami, mradi ambao hapo awali ulikuwa umesimama kwa miaka mingi na kusababisha adha kubwa katika usafirishaji wa mizigo na abiria.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo wamesema ujumbe uliotolewa na Waziri Mkuu mstaafu umejikita katika kuliponya na kuliunganisha Taifa kufuatia machafuko yaliyotokea Oktoba 29, 2025.
Kwenye vurugu yoyote wanaokufa wengi siyo wale waandaaji wa vurugu, unafikiri Sudan, DRC, Somalia na Gaza waliokufa ni wale waandaaji wa vurugu. Nyumbu na watu wengine ndio hufa sana.Tarehe 29 Kuna watu wengi waliuawa hata hawakuwa kwenye maandamano, Tatizo linaanzia japo.
Damu za watu wengi wasiokuwa na hatia zilimwagwa, tatizo liko hapo.
Kabla ya kuwafungulia watakuwa tayari wameshakuuma wewe 😀Huyu dawa yake ni kwenda kuwafungulia wale nyuki anaowafuga wamuume😙😙
Mipang'ang'a itapinga,itanunaWaziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne, Mizengo Pinda, amesema maandamano yaliyotokea Oktoba 29 hayakuwa ya amani, akieleza kuwa baadhi ya Vijana walishiriki bila kupata maelekezo sahihi, hali iliyosababisha mipango ya kuharibu mali na miundombinu ya umma pamoja na kuvuruga amani ya nchi.