PostGE2025 Waziri Mkuu Mstaafu, Pinda: Maandamano gani ya kuchoma Nyumba za Watu?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sawa. Mwenzake Wasira ameamua kuwa mpole baada ya kutembelewa MO29. Naona Pinda bado anawashwawashwa.
Mnapowatembelea hao wastaafu halafu mkapigwa risasi mkafa, msianze tena kutia huruma mkilalamika kwamba Rais SSH ni muuaji.

Vijana mnadhani mpo juu ya sheria, mnapokumbushwa kwa vitendo kwamba mnatakiwa kutii sheria haraka sana mnakimbilia kulalamika kwamba nchi hii haina haki wala usawa.
 
Tum
Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne, Mizengo Pinda, amesema maandamano yaliyotokea Oktoba 29 hayakuwa ya amani, akieleza kuwa baadhi ya Vijana walishiriki bila kupata maelekezo sahihi, hali iliyosababisha mipango ya kuharibu mali na miundombinu ya umma pamoja na kuvuruga amani ya nchi.

Ameyasema hayo wakati wa sherehe za Mwaka Mpya zilizofanyika katika Shule ya Sekondari Mizengo Pinda, iliyopo nyumbani kwake Kibaoni, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, mkoani Katavi.

Katika hafla hiyo, Waziri Mkuu mstaafu alijumuika na ndugu, jamaa, marafiki pamoja na taasisi mbalimbali za Serikali na zisizo za kiserikali.

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Peter Pinda aliiasa jamii kuwapatia Watoto wao malezi bora ili kujenga jamii na Taifa lenye Vijana waadilifu, waliostaarabika na wenye uzalendo, ambao hawawezi kujihusisha na vitendo vinavyoweza kuligawanya Taifa.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Abdulmajid Mwanga, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi, amesema Serikali inaendelea kubaini na kuibua fursa mbalimbali za maendeleo mkoani humo.

Amesema miongoni mwa miradi inayoendelea ni utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Sitalike-Kibaoni kwa kiwango cha lami, mradi ambao hapo awali ulikuwa umesimama kwa miaka mingi na kusababisha adha kubwa katika usafirishaji wa mizigo na abiria.

Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo wamesema ujumbe uliotolewa na Waziri Mkuu mstaafu umejikita katika kuliponya na kuliunganisha Taifa kufuatia machafuko yaliyotokea Oktoba 29, 2025.

TumUombeeee sanaa Trump asitishe ARV za bureee tutatafutana hapaa...angetulia anyww dawa zake bila kelele
 
Hawa wajinga mbona wanaona uchomaji tu bila kuona mauaji? Duniani kote watu wanachoma vitu wakati wa maandamano na hawauawi kwa kupigwa risasi. Juzi mwaka mpya Uholanzi waandanamaji wamechoma sana vitu na hakuna aliyeuawa. Sisi tunazungumzia mauaji yeye analeta upumbavu wake...
 
Ila pinda bhana, alijifanya mzee wa busara akajua atasikilizwa. Mama haloo nashida ya kuzungumza na wewe, appointment ikawekwa anafika anaanza zungumza et oo mama uwe na hekima, akawekwa mtu kati imebidi abadi gia tu angani hamna namna. Shetani hanaga adui. Tutarajie kumuona kwenye tume maandazi ya maridhiano.
 
Hawa wajinga mbona wanaona uchomaji tu bila kuona mauaji? Duniani kote watu wanachoma vitu wakati wa maandamano na hawauawi kwa kupigwa risasi. Juzi mwaka mpya Uholanzi waandanamaji wamechoma sana vitu na hakuna aliyeuawa. Sisi tunazungumzia mauaji yeye analeta upumbavu wake...
Wewe unadhani billnass akiulizwa atakumbuka waliouwawa ? Au atakumbuka duka lake? Kama ndugu zako wamekufa wakipambania kuiba Mali za watu endelea kuwakumbuka sisi hajafa yeyote ila tumepoteza Mali zetu. TUNAZIKUMBUKA Mali zetu
 
Ndio hayakuwa maandamano zilikuwa vurugu anatakaje sasa?

Vurugu gani zinaruhusu raia kupigwa risasi?vitani naweza kukubali lakini kwenye vurugu unatumia risasi za moto?

Hekima tuliyoelezwa kwa wazee toka udogoni hiko wapi hapa?
 
Huyu ndio alijifanya angalia bungeni kwa uchungu wa mauaji ya albino halafu Leo anamtetea mauaji yasiyo na hatia
 
Aliwahi kunukuliwa akisema, hamna namna mpigwe tu. Sasa kuna cha kushangaza hapo?
 
Hayakuwa maandamano ya shangwe bali ya kudai haki
Hilo hajalielewa, halafu kwa nini wasiseme tuwalee vijana wetu vizuri ili tupate viongozi waadilifu, wasio wezi na mafisadi? Yaani kwao maana ya uzalendo ni unyonge,ujinga, na udhaifu wa kushindwa hata kukemea uonevu wanaofanyiwa? Yaani wao wanataka watanzania ambao ni wajinga na wapumbavu tu ili waendelee kuwanyonya kwa amani bila hofu wala wasiwasi! Sasa tunawafundisha watoto wetu kuwa ukipigwa shavu la kushoto mpige la kulia, hakuna mzazi wa leo anayetaka mtoto fala kwenye familia yake kwa dunia hii ya leo, na bado.
 
Tarehe 29 Kuna watu wengi waliuawa hata hawakuwa kwenye maandamano, Tatizo linaanzia japo.
Damu za watu wengi wasiokuwa na hatia zilimwagwa, tatizo liko hapo.
Na hili wanakwepa kulisema kwasababu ndipo nia yao ovu ilipohidhiwa.

Mtu yuko nyumbani amekaa hna hata dalili za kuingia barabadani aliuawa. Watasema waandamanaji walikimbilia kwenye nyumba za watu na kufanya nguvu itumike huko. Je!! Maeneo ambayo hawakuandamana nako sababu ilikuwa nini? Kuna wananzengo wenzetu waliuawa bila hta hatia. Mtaani kwetu hkukuwa hata dalili ya maandamano. Inshort tulijisifu kwamba hata wale waliokuwa wakihamasisha maandamano hawakukaribia kwasababu tuliapa kulinda mtaa wetu na vurugu za aina yoyote ile. Hawa serial killer walipofika waliita raia kisha wakawamiminia risasi kisha wakasepa. Wasisingizie maandamano na vurugu
 
Vipi babaako anazingatia pia?
baba angu mtimkavu hakuwa lofa kama huyo katokea bushi hata matamshi ya kikenge kenge mwambieni majirani zake tumevulia sana toka alivosema tupigwe tu akituchanganya njia kuelekea Airport tunaijua
 
Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne, Mizengo Pinda, amesema maandamano yaliyotokea Oktoba 29 hayakuwa ya amani, akieleza kuwa baadhi ya Vijana walishiriki bila kupata maelekezo sahihi, hali iliyosababisha mipango ya kuharibu mali na miundombinu ya umma pamoja na kuvuruga amani ya nchi.

Ameyasema hayo wakati wa sherehe za Mwaka Mpya zilizofanyika katika Shule ya Sekondari Mizengo Pinda, iliyopo nyumbani kwake Kibaoni, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, mkoani Katavi.

Katika hafla hiyo, Waziri Mkuu mstaafu alijumuika na ndugu, jamaa, marafiki pamoja na taasisi mbalimbali za Serikali na zisizo za kiserikali.

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Peter Pinda aliiasa jamii kuwapatia Watoto wao malezi bora ili kujenga jamii na Taifa lenye Vijana waadilifu, waliostaarabika na wenye uzalendo, ambao hawawezi kujihusisha na vitendo vinavyoweza kuligawanya Taifa.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Abdulmajid Mwanga, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi, amesema Serikali inaendelea kubaini na kuibua fursa mbalimbali za maendeleo mkoani humo.

Amesema miongoni mwa miradi inayoendelea ni utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Sitalike-Kibaoni kwa kiwango cha lami, mradi ambao hapo awali ulikuwa umesimama kwa miaka mingi na kusababisha adha kubwa katika usafirishaji wa mizigo na abiria.

Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo wamesema ujumbe uliotolewa na Waziri Mkuu mstaafu umejikita katika kuliponya na kuliunganisha Taifa kufuatia machafuko yaliyotokea Oktoba 29, 2025.

Unawezaje hata kuyaita maandamano??! Ule ulikua ugaidi ulio pitiliza!! Kuua watu wasio na hatia na kuiba Mali zao, kuchoma moto miundombinu na mengine mengi inahusiana vipi na uwepo wa polisi? Hasa ukizingatia polisi walichelewa sana kufika baada ya nyinyi kufanya ugaidi kwa muda
 
The pm cried bitterly on the the killings of albino in Tanzania without adequate solution, till when Magufuli came in power and declared a total war, Pinda with record but Magufuli had legacy and record
Umenikumbusha mbale, ndani ya bunge, kumbe msanii tu
 
Back
Top Bottom