PostGE2025 Waziri Mkuu Mstaafu, Pinda: Maandamano gani ya kuchoma Nyumba za Watu?

PostGE2025 Waziri Mkuu Mstaafu, Pinda: Maandamano gani ya kuchoma Nyumba za Watu?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huwezi kuponya taifa hili bila kufanyia mabadiliko ya tume ya uchaguzi na kuacha kusaidia kuwaibia ccm kura. Hayo mengine wanayosema ni porojo tu.

Yote hiyo ni jitihada ya kuwatoa wananchi kutoka kwenye ombi lao la kutaka wapewe maiti zao ili wakawazike watoto wao kwa heshima!!! Maiti ziko wapi? Hakuna maridhiano kabla ya kuzika watoto wetu!
Samia kama ana chembe ya akili awe sasa anafanya mazoezi ya kufungwa pingu kama MADURO kwani muda si mrefu yatamkuta yakumkuta!!
 
Back
Top Bottom