Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Moderator kama itakupendeza unaweza kumtag kabisa maana nchi ni yetu sote.
Waziri mkuu mwigulu nakupa ongera sana kupata uwaziri maana ni nafasi kubwa inayosimamia wizara zote.
Kutokana na mlichokifanya na kufikia hapo kuwa waziri mkuu mpaka yametokea yote watu kufa maana wewe unaeleza mali tu sawa na kununua mabasi yatumike porini bila watu.
Kabla ya kuwa waziri mkuu umekuwa waziri fedha ambaye mpaka uchaguzi na unashinda ina maana ulikuwa hupo ndani ya hiyo wizara.
Wizara ya fedha ni wewe uliyeweka saini yako kwenye pesa ina maana pesa zote na mzunguko wa pesa unafahamu wote mpaka uliposhika uwaziri mkuu.
Sasa inakuwaje useme walioandama walilipwa pesa?. Ina maana huyo mtoa pesa mkumfahamu ni wandani au wa nje maana si kitu cha kawaida M-pesa mtu kuingiziwa bilioni 5 hiyo simu si ingepasuka.
Wizara ya fedha imeshikilia taasisi kubwa kama BOT,benk zote na pesa zote.
Nacho kiona unachosema watu walilipwa itakuwa unawaza mlivyokuwa mnawalipa polisi wenu,hongo za uchaguzi labda ulikuwa umejisahau.
Asante kwa makomberero