Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Ahahahahahaaa apu te tibeli kyani..!!?? Ngati naha niwe nau belai, tikubesi lepi..Wazee wa MbingaMwalule, Ndongosi, Muhukuru, Matimira, Peramiho, Parangu, Likuyufusi mpaka Maposeni
Acheni ubishi maendeleo haya vyama
😂😂😂😂 Ila ile kona mimi bado naiogopa aiseeAhahahahaahaa Kulikuwa na Landrover moja dereva alikuwa anaitwa NDIU... yaani akifika NKONGOTINGISHA utamsikia... MUKAMULISAI HENU NILONDA KUVURUMISHA...
Daraja mto wa askofu mnavuka kwenye maji... Yaani.... Nimekumbuka PARADISOHahahaha..sabasi anasaidia watu wa kule na yule mtume Petro sijui kama bado yupo..😀😀 kule mvua ikinyesha na zile kona kona ni balaa.
Ila naupenda mto wa askofu Jamani..😍
Kali sana ile kona na kamlima juu😂😂😂😂 Ila ile kona mimi bado naiogopa aisee
Nyie wajanja mpo vizuri...AhahahahaaAcheni ushamba nyie wangoni mnalazimisha kujibana kwenye kastendi kalikobana kama nyapu ya bikra
[emoji38][emoji1][emoji38][emoji38]Mkuu ukipewa mamlaka si unaweza kupunguza msongamano Kariakoo?
Acha ujinga wewe ,ko hiyo ndio mipango miji mliyosoma? Pole sanaNashukuru,,wewe unaangali leo ,,watu wa mipango miji wanaelewa wanacgofanya,,ndio maana hata daladala mnataka kila ashushiwe kwake ,,,
Wewe na wenzio ni wajinga tuu,stand ndio inaleta maendeleo au kupanga Mji? Ko ukitoa huduma inapooatikana na kupeleka maporini ambako hakumsaidii mwananchi ndio maendeleo mliyosoma nyie?Hebu nendeni hata Nzega mji mdogo sana lakini wamehamisha stendi tena walikohamishia hakuna miundombinu rafiki na bado wamefanikiwa,,maana nikisema Iringa ama Njombe mtasema miji mikubwa,,maendeleo ni gharama,,ukihisi shughuli unayoifanya haikulipi kwa sababu ya kutoshushwa abiria mjini badili au nenda unakohisi kunalipwa ,,hakuna mtu kafungwa wote tupo huru.
Stand haileti maendeleo wala kuleta ustawi wa maisha ya watu,ni mawazo ya kijinga tuu.Msamala kuna mwendo kidogo.
Any ways ndio gharama za maendeleo hizo.
Mji nao utakua huko mbeleni yatajatokea haya ya Ubungo na Dash lam yake.
Halafu hili suala nililiona kule nikawa nawaza hivi waliwaza nini? Ikafika pahala wakaanzisha ka system eti ni lazima ushuke stendi yaani mfano uwe unakwenda Morogoro na unapitia barabara ya morogoro road umefika chalinze inakubidi ushuke kwasababu kituo cha basi kipo hapo angali gari inaelekea Morogoro mjini kwanini wasikushushe mahala husika kwa kosa tu eti ni lazima ushuke stendi..... Hivi walishindwa nini ile stendi kuijenga pale majengo sokoni angali pana eneo kubwa na ni mjini wakaenda kuijenga msamala......Waziri Mkuu naomba nikumbushe suala la stendi mpya.
Mara ya mwisho unafika Songea ulikuta mgogoro wa stendi mpya iliyojengwa kilo mita 20 mbali na mji.
Ulipokuwa Songea uliagiza mkuu wa mkoa na watendaji wa serikali wakae na wadau wa usafirishaji wajadili changamoto na waweze kuzitatua.
Naomba nikupe taarifa maagizo hayo hayajatekelezwa hadi leo hii.
Wafanyabiashara wa manispaa ya songea wameona wafanye mgomo wa kutofungwa maduka na wasafirishaji kuto toa huduma za usafiri hadi hapo serikali itakapo kaa na wadau kujadili matatizo yanayowakabili.
Leo 22/2/2021 maduka yote yamefungwa katika manispaa ya songea na daladala zote zimesimama hazitoi huduma.magari yote yaendayo pembezoni mwa manispaa hayatoi huduma.
Je, baada ya kuwachagua madiwani na wabunge wa CCM hamuoni umuhimu wa kuwatetea wananchi wenu? au hadi Rais aje ndio atatue suala hili?
Waziri Mkuu agizo lako lilikuwa la siasa tu maana hadi leo halitekelezeki.
Halafu hili suala nililiona kule nikawa nawaza hivi waliwaza nini? Ikafika pahala wakaanzisha ka system eti ni lazima ushuke stendi yaani mfano uwe unakwenda Morogoro na unapitia barabara ya morogoro road umefika chalinze inakubidi ushuke kwasababu kituo cha basi kipo hapo angali gari inaelekea Morogoro mjini kwanini wasikushushe mahala husika kwa kosa tu eti ni lazima ushuke stendi..... Hivi walishindwa nini ile stendi kuijenga pale majengo sokoni angali pana eneo kubwa na ni mjini wakaenda kuijenga msamala......
Niliwahi kukutana na hiki kituko nikatukana konda kwasababu unanishushaje porini angali nashukia mjini na yeye anaenda mjini?[emoji23][emoji23][emoji23] Hawa ndio wasomi wanaosomeshwa kwa kodi zetu,kisha wakipata ajira wanatutesa walipa kodi
Tunalipa kodi kodi zetu zinasomesha wataalam hatimaye wanapata ajira wanakuja kututesa walipa kodiHalafu hili suala nililiona kule nikawa nawaza hivi waliwaza nini? Ikafika pahala wakaanzisha ka system eti ni lazima ushuke stendi yaani mfano uwe unakwenda Morogoro na unapitia barabara ya morogoro road umefika chalinze inakubidi ushuke kwasababu kituo cha basi kipo hapo angali gari inaelekea Morogoro mjini kwanini wasikushushe mahala husika kwa kosa tu eti ni lazima ushuke stendi..... Hivi walishindwa nini ile stendi kuijenga pale majengo sokoni angali pana eneo kubwa na ni mjini wakaenda kuijenga msamala......
Niliwahi kukutana na hiki kituko nikatukana konda kwasababu unanishushaje porini angali nashukia mjini na yeye anaenda mjini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndongosi ndo nyunbani kwa mama.[emoji23][emoji23] Ndongosi ndiyo kwetu mdogo wangu..kwa Baba..lituhi kwa Mama
Hukufika Magwamila? [emoji3][emoji3][emoji3]Nilipita juma pili pale Ndongosi nilivyokuwa naelekea Nambendo.
[emoji3][emoji3][emoji3] unapazimikia Kwetu? Wee usiniambie lol.Ajabu mimi ndo napazimikia kishenzi[emoji16][emoji16][emoji16]
Ndongosi ni home kwa mama, mie kwetu ni Mpitimbi.Na wewe wa Ndongosi?
Umeme wenyewe huko shule ya tanga ni wa REA sasa sijui wamemlenga nani kule kijijini.Ila parefu sana bhana kutoka shule ya tanga hadi town, mmmmmh
Mpitimbi, Litapwasi, Lipaya, Kilagano, Mgazini,Wazee wa MbingaMwalule, Ndongosi, Muhukuru, Matimira, Peramiho, Parangu, Likuyufusi mpaka Maposeni
Acheni ubishi maendeleo haya vyama
Unasemea msamala?
Kama waliona msamala ni eneo karibu na jeshi basi wangejenga stand ktk viwanja vya nane nane alafu kule shule ya tanga ndio wangepeleka hayo maonesho ya nane nane ambayo yanafanyika mara1 ndani ya mwaka mzima.Songea hakuna ongezeko wala population kubwa, nashangaa sana stand kupelekwa mbali vile, halafu sasa abiria anayetoka njia ya Dar, analazimika kushuka pale then achukue usafiri mwingne had town centre, tena km ni usku tabu tupu.
Serikali iliangalie hili kwa jicho pana, wanaoumia ni wananchi wa kawaida.