Waziri Mkuu Ufaransa amteua aliyekuwa mume wake kuwa Waziri wa Mambo ya Nje


Tatizo wakristo wameanza kuuhalalisha kupitia biblia , na hapo ndio tofauti ilipo , pia makanisa mengi duniani kubariki huu uchafu

Kuna biblia kwa mfano Queen James version

kuna biblia inaitwa Gay Bible

Utitiri wa makanisa yanayobariki ndio hatari

wayahudi wamepenya ndani ya makanisa na kubariki huu uchafu


List of Christian denominations affirming LGBT people - Wikipedia
 
Hahahaaaaa…. Watachukua hadi alama za barabarani hawa jamaa

Naskia weshaingia kwenye hyphens
 
Wanalazimisha tuone ni jambo la kawaida. Shenzi taipu zao!
 
Kwa ujumla ukristu umelaani hata wafiraji na wafirwaji regardless of the gender
 

Umenukuu biblia ipi ?? mbona nyengine zimeandikwa vyengine ??

Una uhakika gani paulo aliandika hayo uliyoyanukuu ??

mbona Biblia imeandika vyengine huku

 
Hizo ni Bible zako wewe , alf kama unataka kufilwa wewe filwa tu usisingizie bible
 
Ulisahau huyu aliwaambia hivi

View attachment 2896942
Mathayo 19
10Wanafunzi wake wakamwambia, “Ikiwa mambo ya mume na mkewe ni hivyo, ni afadhali kutooa kabisa.” 11Yesu akawaambia, “Si wote wanaoweza kulipokea fundisho hili, isipokuwa tu wale waliojaliwa na Mungu. 12Maana kuna sababu kadhaa za kutoweza kuoa: Wengine ni kwa sababu wamezaliwa hivyo, wengine kwa sababu wamefanywa hivyo na watu, na wengine.

Ni wapi Bible inasema mtu awe punga
 
Hakuna cha ajabu hapo Kwa wazungu, hiki ndicho wanachokipigania.
hizi nchi zetu ombaomba misaada ya maendeleo tutawakwepa vipi wafadhili hawa? Watatuambia tambueni kwanza ushoga ndio tuwape misaada. Sasa kama huyu shoga akiwa rais wa ufaransa tutafanyanje na tuna ubalozi wao hapa nchini? Fikiria afanye ziara ya kakazi nchini, atakuja na rundo la mashoga kwenye msafara wake na hatutaweza kuwazuwia wajumbe wa ziara yake atakaoongozana nao kuja. Na vipi wale watalii mashoga wakiamua kuja tena kutalii nchini, je kuna atakayejitokeza kutaka wazuiwe kuja kama wakati ule wa mkapa? Kina kakobe povu liliwatoka pima, mashoga yakaahirisha kuja.
 

Biblia ipi unayoinukuu ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…