Waziri Mkuu Vs Rais kuhusu bei ya mafuta tutapona?

Waziri Mkuu Vs Rais kuhusu bei ya mafuta tutapona?

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Wakati Waziri Mkuu anahangaika namna ya Kupunguza bei ya Mafuta Rais anasema Bei ya Mafuta Tanzania ni ndogo kuliko Marekani.

Tutapona kweli? Waziri akipunguza rais si atapangua maamuzi?

Nini kifanyike?
 
Rais amesema kwamba... bei ya mafuta Tanzania ni ndogo ukikinganisha na Marekani.
Sasa swali langu ni..... Je uchumi wa Tanzania na Marekani unalingana..??
Je, maisha ya mTanzania wa kawaida na naisha ya mMarekani yana fanana..??
Tunapo elekea ipo siku tutakuja kuambiwa kwamba majeshi ya Tanzania na majeshi ya Marekani yanalingana kwa ubavu...teh😜
 
images.jpeg
 
Ila nanihii huwa simuamini sana, altiuambiaga ...yuko imara anapiga kazi halafu ....kila kitu lazima kitapanda bei 🐒
 
Wakati Waziri Mkuu anahangaika namna ya Kupunguza bei ya Mafuta Rais anasema Bei ya Mafuta Tanzania ni ndogo kuliko Marekani.

Tutapona kweli?. Waziri akipunguza rais si atapangua maamuzi?

Nini kifanyike?
Waziri mkuu hana mamlaka kuitisha kikao cha mawaziri bila agenda zake kuridhiwa na rais unajidanganya na hawezi kamwe kufanya maamuzi yoyote bila kupata ridhaa ya rais.
Ameitisha kikao kusaka ushauri ili amshauri rais na si vinginevyo.

Hafanyi kwa matakwa yake
 
Nani kasema Waziri mkuu kaitisha kikao cha baraza la mawaziri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri mkuu hana mamlaka kuitisha kikao cha mawaziri bila agenda zake kuridhiwa na rais unajidanganya na hawezi kamwe kufanya maamuzi yoyote bila kupata ridhaa ya rais.
Ameitisha kikao kusaka ushauri ili amshauri rais na si vinginevyo.

Hafanyi kwa matakwa yake
Nimekuelewa.

Ndio maana hata mimi sijui nini kinaendelea.
 
Wakati Waziri Mkuu anahangaika namna ya Kupunguza bei ya Mafuta Rais anasema Bei ya Mafuta Tanzania ni ndogo kuliko Marekani.

Tutapona kweli?. Waziri akipunguza rais si atapangua maamuzi?

Nini kifanyike?
Ni kuongeza upigaji si mlishaambiwa lakini, mbona hamsikii?
 
Kuna kila dalili Rais ana maslahi katika biashara ya mafuta. Huwezi kuwa na kauli mbili tofauti ndani ya serikali moja. Hii inamaana kuna mgongano wa kimaslahi (conflict of interest)
 
Hapa ndio umuhimu wa mgawanyo wa madaraka unatakiwa kuonekana. Leo tungetegemea mijadala ya siku 2 hizi bungeni kuja na majibu juu ya unyonyaji na upandishwaji bei ya mafuta kiholele.

Zanzibar bei iwe 2600 dar bei iwe 3000 , futa limeongezewa kodi na kodi zaidi na si kupanda bei
 
Huyu mama ndiye aliyehamasisha wafanya biashara kupandisha bei za bidhaa na sasa amewaamrisha EWURA kupandisha bei za mafuta!

Hopeless sana huyu mama!
 
Back
Top Bottom