Waziri Mkuu Vs Rais kuhusu bei ya mafuta tutapona?

Waziri Mkuu Vs Rais kuhusu bei ya mafuta tutapona?

Halafu naona kama ukaribu wa waziri mkuu na rais samia sio kama hile combination ya magu na kasimilu
 
Nawaza sjui au naota hivi hili sakata likishikiwa bango na kupigiwa kura ya kutokua na imani na serikali, bunge likavunjwa, tunarud kwenye uchaguzi sio?
 
Back
Top Bottom