Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuongoza nchi ngumu sana kwa hawa watu, fani zao wanazijua.
Maza animal!what is the biggest animal in Tanzania?
The remote controller (former king) has all powersWakati Waziri Mkuu anahangaika namna ya Kupunguza bei ya Mafuta Rais anasema Bei ya Mafuta Tanzania ni ndogo kuliko Marekani.
Tutapona kweli?. Waziri akipunguza rais si atapangua maamuzi?
Nini kifanyike?
Nyie Mnalalamika ,mama yeye anapaka inna na kusuka ukili.Inamaana gani hii Ndebile?.
Kwa hiyo na Uchumi wa Tanzania uko kama wa Marakeni? Na wafanyakazi wa Tanzania wanalipwa Mishahara kama ya Wamarekani?Wakati Waziri Mkuu anahangaika namna ya Kupunguza bei ya Mafuta Rais anasema Bei ya Mafuta Tanzania ni ndogo kuliko Marekani.
Tutapona kweli? Waziri akipunguza rais si atapangua maamuzi?
Nini kifanyike?
Unamaanisha kupunguza kodi kwenye mafuta ndo kutaleta mfumko? Aisee watu hamna ubongo kabisaAnaweza kwenda kutengeneza mfumuko wa bei yakafika 10,000 kwa lita...bora wayaache hivi hivi[emoji1787]
Halafu tunasema hii ni nchi moja??Hapa ndio umuhimu wa mgawanyo wa madaraka unatakiwa kuonekana. Leo tungetegemea mijadala ya siku 2 hizi bungeni kuja na majibu juu ya unyonyaji na upandishwaji bei ya mafuta kiholele.
Zanzibar bei iwe 2600 dar bei iwe 3000 , futa limeongezewa kodi na kodi zaidi na si kupanda bei
Wapatanishwe.Wakati Waziri Mkuu anahangaika namna ya Kupunguza bei ya Mafuta Rais anasema Bei ya Mafuta Tanzania ni ndogo kuliko Marekani.
Tutapona kweli? Waziri akipunguza rais si atapangua maamuzi?
Nini kifanyike?
Acha utoto,Rais ndio ametoa maelekezo kwa PM akutane na Mawaziri wa kisekta kutafuta Suluhu..Wakati Waziri Mkuu anahangaika namna ya Kupunguza bei ya Mafuta Rais anasema Bei ya Mafuta Tanzania ni ndogo kuliko Marekani.
Tutapona kweli? Waziri akipunguza rais si atapangua maamuzi?
Nini kifanyike?
Wewe ndio huna hata kichwa 🐒Unamaanisha kupunguza kodi kwenye mafuta ndo kutaleta mfumko? Aisee watu hamna ubongo kabisa
Umajitahidi kuwa dodoki ila yakishuka bei utarudi hapa kusema anaupiga mwingi.Acha utoto,Rais ndio ametoa maelekezo kwa PM akutane na Mawaziri wa kisekta kutafuta Suluhu..
Lakini hili haliondoi wala kufuta kauli ya kwamba Bei ya mafuta Tzn ni ndogo kuliko US.
Yatashuka kama mvua au Rais ataupiga mwingi yashuke?Umajitahidi kuwa dodoki ila yakishuka bei utarudi hapa kusema anaupiga mwingi.
Hatari sana.
Marekani vs Tanzania hizi nchi hatufanani level ya kimaendeleo na uchumi iweji ilinganishwe kwenye mafuta hapa mama alichemkaWakati Waziri Mkuu anahangaika namna ya Kupunguza bei ya Mafuta Rais anasema Bei ya Mafuta Tanzania ni ndogo kuliko Marekani.
Tutapona kweli? Waziri akipunguza rais si atapangua maamuzi?
Nini kifanyike?
Nani atakae mpa seminaMama apewe semina ya jinsi ya kuongea kwenye media na impact za kauli za rais..