Waziri Mkuu wa Haiti ajiuzulu baada ya Makundi ya Uhalifu kumshinikiza aachie madaraka kabla ya kurejea nchini humo

HUYU BOYA NILITAKA WAMUUE ALISHIRIKI KUMUUA MWENZIE RAISI ALIEPITA NA MAJUZI KATOKA KENYA KUNYONYA ATI ANASAINI APEWE WANAJESHI PAMBAVUU KATUMA VIDEO YA KUJIUZULU NYUMBA IMEZUNGUKWA USINIULIZE YUKOWAPI
 
Siyo tamaa binafsi anafadhiliwa na marekani ili wao waendelee kuiba madini ya iridium Bure ,huku huyo barbecue akiendelea kuwazubaisha watawala na kuivuruga. Ukiwa kiongozi unaejielewa si rahisi kudumu madarakani maana vibaraka ni wengi
Marekani hawawezi "kuiba madini" katika mazingira ya hatari hayo. Usichukulie kuwa Marekani ni vibaka wanotaka kuiba gizani. Wakitaka kuchukua madini wanaweza kuingia kwa nguvu na kusema wanaleta jeshi la kulinda amani. Mwaka 1994 walimrudisha Aristide madarakani kwa nguvu na kuwafukuza General Biamby na General Cedras waliokuwa wamempindua halafu wakaondoka. Wangeweza kuendelea kukaa pale hadi waseme kumekuwa na usalama wa kutosha.
 
Imetangazwa itv leo kuwa wanaenda

12 March 2024
Nairobi, Kenya

KENYA YASITISHA KUPELEKA POLISI HAITI

Bw. Korir Sing'oei katibu mkuu wa wizara ambaye pia ni msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Kenya asema kutokana na hali ilivyobadilika nchini Haiti, serikali ya Kenya inafuatilia hali ilivyo Haiti kwa ukaribu na pia kwa sasa imesitisha kwa muda makubaliano ya kupeleka askari polisi 1,000 kulinda amani nchini Haiti hadi serikali ya mpito ya kikatiba nchini Haiti itakapoundwa.

March 12, 2024
Nairobi, Kenya

Kenya's government puts deployment of police to Haiti on hold after chaos grips the Caribbean nation

NAIROBI, Kenya (AP) — Kenya is halting plans to deploy at least 1,000 police officers to Haiti following the unprecedented violence that erupted in the Caribbean nation and the announcement by its Prime Minister Ariel Henry that he would resign once a presidential council is created, a Kenyan official said Tuesday.5 hours ago
 
Read the history and trend ya siasa ya Haiti au ongea na Haitians wanaojielewa watalipa full picture. Hivi Yale madini anayoleta vita Eastern congo hakuna anayoenda Marekani na ni watu wangapi wamekufa na wanaendelea kuuliwa Congo. Au ndugu yangu huelewi sera ya Marekani. Kama unafuatilia the official versions of events, utasikia na kujua wanachotaka ujue . Dig deep ndipo utajua zaidi
 
Haiti haipo Afrika,ipo America huko,kwa nini nchi za amerika zisimsaidie mwenzao hadi wewe black butt uende huko eti ukatoe msaada? Mmeshindwa kumsaidia kongo hapo si ujinga tu kwenda huko?
 
History ya Haiti naijua vizuri sana. Usidhani kila anayeandika hapa hudakia mambo asiyoyajua. Niliifuatilia sana historia ya Haiti kwa kina kuanzia mwaka 1994 na nimekuwa na marafiki wengi wenye asili ya Haiti, hata kinyonzi wangu ni mtu wa Haiti.

Kwa ufupi ni kwamba baada ya Haiti kujinyakulia uhuru wake kutoka Ufaransa, walilazimishwa kuilipa Ufaransa hela nyingi sana jambo lililokuwa mzigo mkubwa sana wa deni kwa nchi hiyo. Kutokana na deni hilo utawala ulianza kuruhusu wafanya biashara wa kijerumani kuja kufanya biashara, jambo ambalo halikuifurahisa Marekani. Ndipo Marekani ilipoivamia kwa malengo mawili: kwanza kuweka kituo cha Navy kuzuia mataifa mengine yasiingine hapo, halafu kuikopesha Haiti pesa kusudi isiwe na mzigo wa madeni yanayoiyumbisha ili isiwe kuvutio kwa mataifa mengine ya Europe. Ingawa wamarekani walifanikiwa sana kuijenga Haiti hasa kuondokana na madeni na vile vile kujenga miundo mbinu na mashule, lakini vile vile walikumbana na upinzani mkubwa uliosababaisha baadhi yao wauawawe na hivyo hawakuendelea na ujenzi wa kituo cha Navy na wala hawakujenga misingi ya utawala bora. Hivyo walipoondoka ndipo nchi ikaanza instability spiralling iliyoendelea hadi leo.

Hakuna madini yanayoyotafutwa na Marekani huko Haiti
 
Mimi ningekuwa na uwezo ningeishauri Serikali ya Kenya itafakari tena juu ya kupeleka Polisi wake huko! Vinginevyo polisi wake watauawa ovyo.
kifo ni sehem ya maisha yetu , WATU WEUSI TUPENDAN SIO KUWAPONDA WAZUNGU KUWASAIDIA UKRAINE BALI TUIGE KUSAIDIANA NA SISI PIA

MTU MWEUC ONESHA TOFAUTI YAKO NA NYANYYY
 
Siyo tamaa binafsi anafadhiliwa na marekani ili wao waendelee kuiba madini ya iridium Bure ,huku huyo barbecue akiendelea kuwazubaisha watawala na kuivuruga. Ukiwa kiongozi unaejielewa si rahisi kudumu madarakani maana vibaraka ni wengi
soma koment humu utagundua watu weusi hawajitambui na hiyo imekuwa fursa kwa wanaojitambua
 
Ukifika tu kulaumu beberu naona umeishiwa hoja
 
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as white people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha.

Kwa hiyo tusiwalaumu Wazungu kwa matatizo yaliyopo kwenye nchi za watu weusi hapa duniani.
 
Haiti inahitaji katiba na watu wakubali kuiheshimu katiba hiyo mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…