GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Safi kabisaTaarifa ya mwisho inaonyesha Mahakama ilimgomea President..........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi kabisaTaarifa ya mwisho inaonyesha Mahakama ilimgomea President..........
HUYU BOYA NILITAKA WAMUUE ALISHIRIKI KUMUUA MWENZIE RAISI ALIEPITA NA MAJUZI KATOKA KENYA KUNYONYA ATI ANASAINI APEWE WANAJESHI PAMBAVUU KATUMA VIDEO YA KUJIUZULU NYUMBA IMEZUNGUKWA USINIULIZE YUKOWAPIHAITI: Waziri Mkuu Ariel Henry amekubali kujiuzulu baada ya kuwepo shinikikizo la Makundi ya Uhalifu yaliyomtaka kuachia madaraka kwa hiari kabla ya kurejea nchini humo kutoka Puerto Rico alikofikia wakati akirejea kutoka nchini Kenya.
Henry alichukua nafasi hiyo mwaka 2021 baada ya Rais Jovenel Moise kuuawa ndani ya makazi yake Julai 7, 2021 na kuahidi kuirejesha nchi hiyo kwenye hali ya usalama kutoka katika vurugu zilizodumu kwa muda mrefu.
Katika ziara yake nchini Kenya, Henry aliingia makubaliano ya kupokea Askari wa kulinda amani, jambo lililoamsha vurugu zaidi kutoka kwa makundi ya Uhalifu ya Haiti ambapo makundi hayo yalitoa shinikizo la kumtaka ajiuzulu haraka.
Wakati huo huo, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Kithure Kindiki amesema mpango wa kupeleka Askari 1,000 nchini Haiti uko katika hatua za mwisho.
=============
Haiti's Prime Minister Ariel Henry has agreed to resign amid surging violence in the Caribbean country, the chair of the Caribbean Community said Monday.
Henry said he will step down once a transitional presidential council is created and an interim premier named. He had held the position, unelected, since the 2021 assassination of the previous president, Jovenel Moise.
"We acknowledge his resignation upon the establishment of a transitional presidential council and naming of an interim prime minister," said Caribbean Community chair Irfaan Ali, also the president of Guyana. Ali thanked Henry for his service to Haiti.
A seven-member presidential council will be formed for the transition to elections in Haiti, which will appoint a new interim prime minister, Ali said late on Monday.
Henry is currently stranded in the US territory of Puerto Rico, following his trip to Kenya last week to lobby for UN-backed police to be deployed in his country.
Caricom leads urgent international talks on Haiti crisis
Members of a Caribbean regional trade bloc known as Caricom organized emergency talks in Jamaica on Monday to address the violence in Haiti. The meeting also involved Canada, France and the UN with US Secretary of State Antony Blinken in attendance.
Caricom had had pressed for a transitional government in Haiti for months amid protests calling for Henry's resignation.
Guyanese President Mohamed Irfaan Ali, the current Caricom chair, warned despite the ongoing talks to restore "stability and normalcy" to Haiti some Haitian groups "are not where they need to be."
After meeting with Caribbean leaders, Blinken announced an $100 million (€92 million) to fund the deployment of a multinational force to Haiti to help stop the violent crisis in the country and an additional $33 million in humanitarian aid.
How did the situation deteriorate?
Haiti has seen escalating violence as police battled armed gangs calling for the ouster of the Prime Minister.
Influential criminal gangs have long controlled much of the capital, Port-au-Prince.
Marekani hawawezi "kuiba madini" katika mazingira ya hatari hayo. Usichukulie kuwa Marekani ni vibaka wanotaka kuiba gizani. Wakitaka kuchukua madini wanaweza kuingia kwa nguvu na kusema wanaleta jeshi la kulinda amani. Mwaka 1994 walimrudisha Aristide madarakani kwa nguvu na kuwafukuza General Biamby na General Cedras waliokuwa wamempindua halafu wakaondoka. Wangeweza kuendelea kukaa pale hadi waseme kumekuwa na usalama wa kutosha.Siyo tamaa binafsi anafadhiliwa na marekani ili wao waendelee kuiba madini ya iridium Bure ,huku huyo barbecue akiendelea kuwazubaisha watawala na kuivuruga. Ukiwa kiongozi unaejielewa si rahisi kudumu madarakani maana vibaraka ni wengi
Kufa ni sehemu ya jukumu la askari, hiyo sio ajiraMimi ningekuwa na uwezo ningeishauri Serikali ya Kenya itafakari tena juu ya kupeleka Polisi wake huko! Vinginevyo polisi wake watauawa ovyo.
Atakula chuma soonWatu weusi kweli tuna laana. Ka-nchi kenyewe ni maskini wa kutupa, lakini kuna jamaa anaitwa Barbeque anazidi kuhirabu kwa tamaa binafsi.
Imetangazwa itv leo kuwa wanaendaTaarifa ya mwisho inaonyesha Mahakama ilimgomea President..........
Imetangazwa itv leo kuwa wanaenda
Read the history and trend ya siasa ya Haiti au ongea na Haitians wanaojielewa watalipa full picture. Hivi Yale madini anayoleta vita Eastern congo hakuna anayoenda Marekani na ni watu wangapi wamekufa na wanaendelea kuuliwa Congo. Au ndugu yangu huelewi sera ya Marekani. Kama unafuatilia the official versions of events, utasikia na kujua wanachotaka ujue . Dig deep ndipo utajua zaidiMarekanbi hawawezi "kuiba madini" katika mazingira ya hatari hayo. Usichukulie kuwa Marekani ni vibaka wanotaka kuiba gizani. Wakitaka kuchukua madini wanaweza kuingia kwa nguvu na kusema wanaleta jeshi la kulinda amani. Mwaka 1994 walimrudisha Aristide madarakani kwa nguvu na kuwafukuza General Biamby na General Cedras waliokuwa wamempindua halafu wakaondoka. Wangeweza kuendelea kukaa pale hadi waseme kumekuwa na usalama wa kutosha.
Haiti haipo Afrika,ipo America huko,kwa nini nchi za amerika zisimsaidie mwenzao hadi wewe black butt uende huko eti ukatoe msaada? Mmeshindwa kumsaidia kongo hapo si ujinga tu kwenda huko?kwahiyo WAUZA MADAWA YA KULEVYA WAACHWE WAENDELEE KUIHARIBU HAITI , UJINGA BADO NI TTZO KWA MTU MWEUSI , MPK SASA NCHI ZA AFRIKA ILIBIDI ZIUNGANE KWENDA KUISAIDIA HAITI NA SIO HUU USHABIKI WA URUSI NA USA MNATAKA KUULETA , LEO HAITI KESHO HAPO KWENU NYAMBAFUUU WW.
"KINGA NI BORA KULIKO TIBA "
History ya Haiti naijua vizuri sana. Usidhani kila anayeandika hapa hudakia mambo asiyoyajua. Niliifuatilia sana historia ya Haiti kwa kina kuanzia mwaka 1994 na nimekuwa na marafiki wengi wenye asili ya Haiti, hata kinyonzi wangu ni mtu wa Haiti.Read the history and trend ya siasa ya Haiti au ongea na Haitians wanaojielewa watalipa full picture. Hivi Yale madini anayoleta vita Eastern congo hakuna anayoenda Marekani na ni watu wangapi wamekufa na wanaendelea kuuliwa Congo. Au ndugu yangu huelewi sera ya Marekani. Kama unafuatilia the official versions of events, utasikia na kujua wanachotaka ujue . Dig deep ndipo utajua zaidi
yote hayo matokeo ya utawala mbovu , huku kwetu miaka 20 mbele Ccmu watatufikisha hukoWale weusi wenzetu nao wamepinda sana nchi yenyewe ina uchumi mbovu wananchi wanamaisha mabovu hatari ila ndo wanapenda vita hatari wanafanyiana unyama wa hali ya juu.
kifo ni sehem ya maisha yetu , WATU WEUSI TUPENDAN SIO KUWAPONDA WAZUNGU KUWASAIDIA UKRAINE BALI TUIGE KUSAIDIANA NA SISI PIAMimi ningekuwa na uwezo ningeishauri Serikali ya Kenya itafakari tena juu ya kupeleka Polisi wake huko! Vinginevyo polisi wake watauawa ovyo.
watu weusi hampendani , HAITI WAPO WASIOKUWA WAVUTA BANGI WANAHITAJ AMANI PIAHao watu ni walevi wa miadarati ni nusu vichaa plus uzombii nchi yenye kujielewa haiwezi peleka askari wake ratini America hata siku moja.
soma koment humu utagundua watu weusi hawajitambui na hiyo imekuwa fursa kwa wanaojitambuaSiyo tamaa binafsi anafadhiliwa na marekani ili wao waendelee kuiba madini ya iridium Bure ,huku huyo barbecue akiendelea kuwazubaisha watawala na kuivuruga. Ukiwa kiongozi unaejielewa si rahisi kudumu madarakani maana vibaraka ni wengi
una heri wahaiti waendelee kufa ? mtu mweusi sijui nan kamrogaSafi kabisa
Vipi ngoro ngoro hawakufa ulipaza sauti?una heri wahaiti waendelee kufa ? mtu mweusi sijui nan kamroga
Ukifika tu kulaumu beberu naona umeishiwa hojaHaiti Inaandamwa na vitu 2, kwanza ndio watu wa kwanza weusi kufukuza utawala wa wazungu (slave Master) na kiongozi wao Toussaint l Overture alitumia fursa wakati Ufaransa walikua na changamoto za kisiasa jamaa akawafurusha wale wachache waliokuja wamebaki kama viongozi wa kizungu na hawakua na msaada kutoka kwao. So Kwa wazungu ni kosa lisilosameheka . La pili Wana milima ya madini ya iridium ambayo wanahitaji kwenye military industrial complex na US anataka kuyachukua Bure Kwa kutafuta vibaraka na kutengeneza chaos kama tunavyoona DRC now. So ndio kinachofanyika Haiti. And kama mnafuatilia Hawa jamaa walikua self sufficient kwenye uzalishaji wa Mchele ambao ndio primary food kwao, then during Clinton administration akai-destroy Kwa ku flood the Haiti market with cheap rice na wazawa kupata basara ya kuendelea kulima. Now njaa kama yote ili waweze kuwazumgusha kama wanavyotaka. So we should learn from our brothers
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as white people. They are still under the process of becoming the complete human beings."Haiti Inaandamwa na vitu 2, kwanza ndio watu wa kwanza weusi kufukuza utawala wa wazungu (slave Master) na kiongozi wao Toussaint l Overture alitumia fursa wakati Ufaransa walikua na changamoto za kisiasa jamaa akawafurusha wale wachache waliokuja wamebaki kama viongozi wa kizungu na hawakua na msaada kutoka kwao. So Kwa wazungu ni kosa lisilosameheka . La pili Wana milima ya madini ya iridium ambayo wanahitaji kwenye military industrial complex na US anataka kuyachukua Bure Kwa kutafuta vibaraka na kutengeneza chaos kama tunavyoona DRC now. So ndio kinachofanyika Haiti. And kama mnafuatilia Hawa jamaa walikua self sufficient kwenye uzalishaji wa Mchele ambao ndio primary food kwao, then during Clinton administration akai-destroy Kwa ku flood the Haiti market with cheap rice na wazawa kupata basara ya kuendelea kulima. Now njaa kama yote ili waweze kuwazumgusha kama wanavyotaka. So we should learn from our brothers
kama hukupaza sauti jitizame vzr huenda ni msukuleVipi ngoro ngoro hawakufa ulipaza sauti?
Haiti inahitaji katiba na watu wakubali kuiheshimu katiba hiyo mpyaHAITI: Waziri Mkuu Ariel Henry amekubali kujiuzulu baada ya kuwepo shinikikizo la Makundi ya Uhalifu yaliyomtaka kuachia madaraka kwa hiari kabla ya kurejea nchini humo kutoka Puerto Rico alikofikia wakati akirejea kutoka nchini Kenya.