Waziri mkuu wa India asherehekea na kufanya ibada kuzaliwa kwa ndama katika makazi yake

Ng'ombe ni moja kati ya MUNGU wao.

Hawaabudu MUNGU wa mbinguni.
Wahindu hawaabudu Ng'ombe ila wanamuheshimu ng'ombe sababu anatoa maziwa na mikojo yake inatumika katika wakati wakuiabudu miungu yao wahindu wanamuabudu huyu huyu Yehova ila wao wanaamini Mungu mmoja hatoshi hivyo Wana miungu mingine mingi
 
Ng"ombe za huko hazina mawazo kama za huku zinazojua mda wowote zinaliwa
 
Ng'ombe ni moja kati ya MUNGU wao.

Hawaabudu MUNGU wa mbinguni.
Kati ya anaemuabudu ng'ombe anaemuona na anaetoa maziwa, nyama, ngozi, nk na sisi tunaeabudu kitu kisichoonekana, wala tusichokijua kinafananaje, wala kinaishi wapi, yupi ana afadhali?

Unajua ukija kufikiria kwa makini utagundua wahindi wanaamini kwenye kitu halisi wakati sisi tunaamini kwenye vitu vya kufikirika zaidi 🤣
 
Siku hizi dunia ipo kiganjani ,kinachofanyika kwenye hiyo hija kila mtu anaona. Kuanzia mwanzo ikwemo kwenda kubusu lile jicho la kile kibanda ambaomo kuna jiwe, hadi kumpiga shetani kwa mawe tunaona na ndiyo maana.wattu wanasema.
 
Huyo ng'ombe hata hajui kinachoendelea ,,hapo ye anataka majani na maji mengine anaona mbwembwe tuh na kubaniwa
 
Huyo ng'ombe hata hajui kinachoendelea ,,hapo ye anataka majani na maji mengine anaona mbwembwe tuh na kubaniwa
Wee una uhakika gani kwamba tunaemuabudu sisi anajua kinachoendelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…