Waziri mkuu wa India asherehekea na kufanya ibada kuzaliwa kwa ndama katika makazi yake

Waziri mkuu wa India asherehekea na kufanya ibada kuzaliwa kwa ndama katika makazi yake

Ng'ombe ni moja kati ya MUNGU wao.

Hawaabudu MUNGU wa mbinguni.
Wahindu hawaabudu Ng'ombe ila wanamuheshimu ng'ombe sababu anatoa maziwa na mikojo yake inatumika katika wakati wakuiabudu miungu yao wahindu wanamuabudu huyu huyu Yehova ila wao wanaamini Mungu mmoja hatoshi hivyo Wana miungu mingine mingi
 
Ng"ombe za huko hazina mawazo kama za huku zinazojua mda wowote zinaliwa
 
Ng'ombe ni moja kati ya MUNGU wao.

Hawaabudu MUNGU wa mbinguni.
Kati ya anaemuabudu ng'ombe anaemuona na anaetoa maziwa, nyama, ngozi, nk na sisi tunaeabudu kitu kisichoonekana, wala tusichokijua kinafananaje, wala kinaishi wapi, yupi ana afadhali?

Unajua ukija kufikiria kwa makini utagundua wahindi wanaamini kwenye kitu halisi wakati sisi tunaamini kwenye vitu vya kufikirika zaidi 🤣
 
Hujanijibu swali .. Unazifahamu Nguzo za Hija kama ndio Je kubusu jiwe ni moja ya Nguzo za Hija ?! Dini ya kiislamu ipo well documented na imekamilika sasa unaponipa refference ni yotube video sikuelewi .. kwa Ufupi watu wa aina yako ambao ni wavivu kusoma ni tatizo kwa Nchi hii ukishaona yotube fulani kasema hivi basi khalas ni ushahidi tosha kwako mihemko inaanza ..
Siku hizi dunia ipo kiganjani ,kinachofanyika kwenye hiyo hija kila mtu anaona. Kuanzia mwanzo ikwemo kwenda kubusu lile jicho la kile kibanda ambaomo kuna jiwe, hadi kumpiga shetani kwa mawe tunaona na ndiyo maana.wattu wanasema.
 
Huyo ng'ombe hata hajui kinachoendelea ,,hapo ye anataka majani na maji mengine anaona mbwembwe tuh na kubaniwa
Kati ya anaemuabudu ng'ombe anaemuona na anaetoa maziwa, nyama, ngozi, nk na sisi tunaeabudu kitu kisichoonekana, wala tusichokijua kinafananaje, wala kinaishi wapi, yupi ana afadhali?

Unajua ukija kufikiria kwa makini utagundua wahindi wanaamini kwenye kitu halisi wakati sisi tunaamini kwenye vitu vya kufikirika zaidi 🤣
 
Huyo ng'ombe hata hajui kinachoendelea ,,hapo ye anataka majani na maji mengine anaona mbwembwe tuh na kubaniwa
Wee una uhakika gani kwamba tunaemuabudu sisi anajua kinachoendelea?
 
Back
Top Bottom