Mababu zangu Mimi na wewe kijakazi wa waarabu hawakuoa na kutomber vitoto vya miaka 9. Ni mpumbavu tu atajaribu kujustify huo ubakaji.
Walioa mabinti, si watoto.
Halafu unasema unataka kunifungua kichwa! Unajua kuwa jamii zote za binadamu wali/natambua kuwa umri wa utu uzima ni pale mtu anapobalehe au kuvunja ungo? Na ndio katika jamii takriban zote za kibinadamu kulikuwa/kuna mpaka ceremonies za kusheherekea balehe/kuvunja ungo kama ishara ya mtu kuwa mtu mzima?
Unajua kuwa haya mambo ya umri rasmi wa kuoa na kuolewa miaka 14, 15, 16, 18, 20, 21 au vyovyote vile ni jambo la karne ya 20 tu hapo?
Unajua kuwa kuna watu wako mentally mature licha ya kuwa na umri mdogo? Na mental maturity inaathiriwa na mazingira na namna jamii inavyowalea watu? Wazee wetu walikuwa wanafundishwa majukumu wakiwa wodogo kiumri na kubebeshwa majukumu wakiwa wadogo kiumri. Sio sasa hivi mtu anaweza kuwa na miaka 25 lakini ana akili za kitoto. Bali mpaka sasa hivi kuna jamii kutokana na mazingira yao watu wanakuwa matured mapema kiakili.
Hao babu zako wenyewe miaka 12 kijana anajua majukumu yote na binti ana miaka 9 tayari ana uelewa. Au bado unabisha kuwa bibi zako hawakuwa wanaolewa wadogo?
Hivi unajua hata "teenage" ni invention tu tena ya juzi sana?
Na ukisema ubakaji unawatukana tu wazee wako wote kwa chuki yako dhidi ya Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake).
Babu zangu hawakupigana vita kulazimisha watu kufuata imani zao.
Huwezi linganisha na huyo kitombi wenu,warlord, self-proclaimed-prophet na mababu waliopambania mambo yenye mantiki.
Kila tusi unalomtukana Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) linawarudia wazee wako. There's no way utawachomoa babu zako katika matusi yako.
Babu zako walikuwa wanapigana wenyewe kwa wenyewe na kufanyana watumwa na kupokonyana ardhi. Unafikiri baada ya kuwaconquer wenzao walikuwa wanawaacha katika mizimu yao? Wakiwalazimisha kuingia tamaduni zao.
Na Mtume alikuwa anapigana kujidefend. Na kupigana na wale waliompiga vita kumzuia asieneze Dini ya Allah kwa amani. Na sio kwamba alianza tu kupigana vita. Alikuwa na subra kwa miaka 13 anateswa yeye na wafuasi wake. Wanapigwa, wanauawa wanaumizwa ila wanavumilia. Mateso yamezidi, mpaka aliwanasihi baadhi yao kuhamia Ethiopia. Mateso yakazidi na mwisho maadui zake wakapanga njama kumuua kabisa hakunyanyua mkono kujitetea wala kupigana nao.
Mwisho akahama, yeye na wafuasi wake. Akaweka mikataba ya amani huko alipofikia. Yote hayo ni kuchagua amani na kuipa nafasi. Mambo yalipozidi akaruhusiwa kupigana kujitetea.
Na bado katika kupigana pia kulikuwa na taratibu na masharti ambayo ni nadra kuyakuta katika jamii za wakati huo. Bado alikuwa akiingia mikataba ya amani na maadui zake. Na aliiheshimu mikataba hiyo.
Haya wewe unaweza kuniambia mababu zako wana utaratibu gani rasmi wa amani na vita? Najua hawana kitabu chochote wala muongozo kutoka kwa hao mizimu wao.
Halafu unamuita Mtume kwa kejeli kuwa ni warlord.
Hapa JF tunatumia majina feki.. Hata wewe jiite Stupid Muslim Owl tu. Hakuna atakayejali.
Sasa kwanini usitumie jina feki la kibantu kama wewe ni mkereketwa wa mababu na ubantu? Hapo yenyewe umewatukana babu zako kwa kuoa na kuolewa mapema kwa fikra za karne ya 20 tu hapo.
Hapo unaonesha hujui chochote kuhusu chimbuko la huo uislamu. Kama mtume hakujua kuhusu wayahudi na wakristo, ilikuwaje akawataja kwenye kurani na hadithi?
Kwa sababu alifunuliwa. Hakuwa akijua habari zao hapo kabla.
Wayahudi wa Bani na Kurashi walikuwa na Muddy na genge lake la wauaji na wabakaji walikuwa dini gani?
Mayahudi wa Bani? Hujamalizia. Kagoogle vizuri. Halafu mayahudi wa Madina walimkataa tu Mtume kwa kiburi na chuki kuwa kwanini Mtume hajatoka kwao katokana na waarabu, lakini wajuzi miongoni mwao walikuwa wakijua Mtume anasema kweli.
Ama maquraish, kwa wale ambao hawakuwa Waislam, walikuwa washirikina waabudu masanamu.
Itakuwa hujui hata paedophile wenu Muddy alikufaje
Pedophilia ni jambo ambalo limetokana na movement za sexual revolution karne ya 20 tu hapo. Katikati ya movement hizo kulitokea watu waliotaka kustarehe kingono na watoto wadogo kabisa ikiwemo wachanga na kuzini nao ikiwemo wa jinsia moja. Watu hao hawaungi mkono ndoa wala nini, wanataka waruhusiwe kukidhi tu haja zao za kimwili bila ya kuzuiwa. Fikra hizo kuzileta kwa Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) ni kumdhulumu tu na kurusha maneno tu ya matusi kwa wasiostahiki.
Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) aliumwa homa kwa siku chache kisha akafariki.
soma basi ujue hata unachokiamini
Kuisoma Dini yangu ni jambo la wajibu. Sisi kwetu tunaambiwa tusome. Halafu kujifunza Dini yangu kwangu ni mpaka naingia kaburini. So sio mpaka "City Owl" aniambie.
Eti kulikuwa na waislamu kabla ya paedophile Muddy kuanzisha uislamu? Ila we jamaa ni lipumbavu sana!
Hili huwezi kulipinga. Swala na Salamu za Allah ziwe juu ya Mtume wetu Muhammad.
Utaacha tu. Taratibu tunawafungua mibichwa kama nyie mliokariri tu mambo. Hamjawahi hoji chochote maishani.
Huna cha kunifundisha katika Dini yangu. Mtu ambaye unaamini kuwa ili uolewe na uoe inabidi ni lazima ufikishe miaka 18, wengine wanasema 16, wengine 15, wengine 14. Whatever! Restriction iliyokuwa invented karne iliyopita. Halafu ukawa unawatukana mpaka wazee wako kwa kuwaita wabakaji kwa sababu tu walikwenda kinyume na "UN" sio? Wewe ndio unifungue mimi kichwa? Mimi na wewe nani kakariri?
Allah akuongoze