Waziri Mkuu wa Israel Aapa Kutumia Nguvu Kubwa Kuwapiga Houthi; Mkuu wa Mossad Ataka Israel Ianze Kuipiga Iran.

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,362
Reaction score
48,879
Baada ya shambulio la kombora la Houthi tokea Yemen kutua eneo la wazi, na kujeruhi kiasi watu 16, huku mitambo ya ulinzi wa anga ya Israel ikishindwa kulizuia, jana Jumapili 22 Oktoba 2024, Baraza la vita la Israel lilifanya kikao na kuufikia uamuzi kuwa Houthi wa Yemen wapigwe kwa nguvu kubwa kama ilivyokuwa kwa Hamas na Hezbollah.

Wakati Netanyahu akitaka kwanza kuyadhoofisha kabisa makundi ya kigaidi ya Iran, kabla ya kuanza kuishambulia Iran, Wakuu wa vyombo vya usalama, akiwemo Mkuu wa shirika la kijasusi la Irael, Mossad, anataka wangeachana kwanza na Houthi, waanze kuipiga Iran.

"Prime Minister Benjamin Netanyahu warned on Sunday that Israel would act against the Houthi rebels in Yemen with the same force it used against Iran’s other “terrorist arms,” appearing to indicate the start of a stepped-up campaign against the Islamic Republic’s proxy group, after a ballistic missile crashed into a Tel Aviv playground over the weekend.

At the same time, Israeli reports said that senior defense officials, including the head of the Mossad spy agency, believe the correct move is to attack Iran directly, rather than go for its proxy group in Yemen".

Waziri Mkuu Netanyahu, amesema kuwa Houthi kwa ujumla ni hatari kwa usalama wa Dunia. Hivyo inatakiwa kupigwa kwa nguvu zote.

“The US, and also other countries, like us, see the Houthis as a threat, not only to world shipping, but also to world order.”
“Just as we acted forcefully against the terrorist arms of Iran’s evil axis, so we will act against the Houthis…with force, determination and sophistication,” the premier said.

Kwa hiyo, siku zijazo, Dunia itashuhudia yaliyotokea Gaza na Lebanon, yakitokea kwa nchi hii maskini sana ya Yemen. Nchi ambayo wakati wote imekumbwa na vita, na raia wake zaidi ya milioni 7 ni wakimbizi katika nchi mbalimbali.

Kibarua kigumu zaidi kipo Iran, kama Israel itaamua kuigeukia Iran, nchi mfadhili wa makundi haya ya kigaidi. Iran kwa sasa haina ulinzi wa anga, huku radar zake nyingi zikiwa zimeteketezwa. Iran kabla ya vita hivi ilikuwa na mifumo ya ulinzi wa anga kutoka Urusi, mingine ikiwa ndani ya Iran, na mingine ikiwa nchini Iran mpakani na Iran. Mitambo hii yote imeteketezwa. Makundi yake (Iran) ya kigaidi ambayo amekuwa akiyategemea kuishambulia Israel ili kuifanya Israel ihangaike na makundi hayo, na hivyo isiwe na uwezo wa kupambana na vita vingi kwa wakati mmoja, yote yapo taabani. Mshirika wa karibu wa Irad, Assad Rais wa Syria amepinduliwa na kukimbilia Urusi, na Serikali mpya imejiweka mbali na Iran.

Hivi karibuni, Iran, ili kuyafikishia silaha makundi yake ya kigaidi, imekuwa ikifikiria kutumia usafiri wa anga kwa kutumia uwanja wa Beirut nchini Lebanon, lakini mbinu hii nayo inaonekana imekwaa kisiki, maana ndege za Iran zilizojaribu kupeleka silaha nchini Lebanon, zilishambuliwa na Israel na kulazimika kurudi nchini Iran.

Houthi wapo kwenye wakati mgumu sana kifedha. Mashambulio pekee mawili yaliyofanywa kwenye bandari yao wakati uliopita, yaliwasababishia hasara ya zaidi ya dola milioni 300. Mashambulio ya hivi karibuni na yatakayofuatia, sijui yataleta hasara ya kiwango gani kwa nchi hii maskini sana katika ukanda huo wa Mashariki ya kati.

"Indicating that similar strikes could be in store for the Houthis at a future date, Netanyahu on Sunday promised that even though the operation against the rebel group may take time, the results will be the same as those seen in Israel’s campaign against Hezbollah in Lebanon and Hamas in Gaza.

Seemingly confirming future strikes in Yemen, an Israeli official told the Times of Israel that “Houthis are now the focus” of Israel’s defense establishment.

“There are going to be more attacks,” the official said.

The strikes on Houthi targets over the last year appear to have had a financial impact on the group, as the Turkish state-owned Anadolu news agency recently reported that the Houthi-run Yemeni Transport Ministry and Red Sea Ports Corporation announced that strikes on the port city of Hodeida in Western Yemen since July have caused $313 million in losses"

Kwa ndugu hawa wa Yemen, hasa ambao makazi au shughuli zao zipo karibu na hawa wapigaji wa Houthi, ni wakati wa kuyakimbia haraka maeneo yao.
 
Ipigeni Iran tuone Mashariki ya Kati patakavyokuwa pamoto
 
Acha ushabiki wa kipuuzi masuala ya vita sio kama mchezo wa Simba na Yanga. kwani we jnafokiri Israel haitamani kupiga Iran mara moja jiilize unasubilia nini siku zote hizo.
 
Mke wa Assad ameomba talaka, kasema hawezi kuishi Moscow, anata arudi kwao Uingereza😀
 
Iran alijitapata sana, akasema atamsaidia Hezbollah akiguswa na Israel, badala yake Hezbollah kapigwa hadi kavunjwa vunjwa kila kitu, Iran kakaa kimyaaa kama hayupo, now Houthi atapigwa hadi kupotea na Iran itakaa kimyaaaa kama haipo, then lastly, Iran atapigwa na Israel kwa msaada wa US na EU countries na kupotea kabisa, hapo ndio Iran itakuwa kama Iraq au Libya au Afghanistan
 
Ngoja wanyoshane kidogo...

Cc: Mahondaw
Lakini ukae ukijua kwamba hata sisi huku tunaodhani tupo mbali na haituhusu; tutapata athari mbaya pia. Kumbuka ule msemo wa wahenga usemao: Wapiganapo fahali (dume la ng'ombe) wawili zinazoumia zaidi ni nyasi. Sisi tunakuwa ni upande wa nyasi kwani kutoka huko kwa wanaopigana tunapata baadhi ya mahitaji yetu muhimu e.g. nishati ya mafuta; tunapata watalii kutoka huko, tunauza mazao yetu ya kilimo huko, wako huko ndg.zetu waTz kikazi au wanaojitafuta n.k. hivyo tutaathirika kwa namna moja au nyingine. Tusiombee vita hata kidogo. Vita ni mbaya mno.
 
Ndiyo muda sasa wa kua na vyetu...

Cc: Mahondaw
 
Iran alijitapata sana, akasema atamsaidia Hezbollah akiguswa na Israel, badala yake Hezbollah kapigwa hadi kavunjwa vunjwa kila kitu, Iran kakaa kimyaaa kama hayupo, now Houthi atapigwa hadi kupotea na Iran itakaa kimyaaaa kama haipo, then lastly, Iran atapigwa na Israel kwa msaada wa US na EU countries na kupotea kabisa, hapo ndio Iran itakuwa kama Iraq au Libya au Afghanistan
Sasa hivi watu Kawasaki silaha juju ya Ardhi kwa hiyo hata alpha Vipi sioni maajabu watakuwa wao ndo Annamaiza ammunition zao
 
Iran hii iliyovuliwa chupi mpaka Ayatollah anatetemeka? Au kuna Iran nyingine huko Buza?
Iran taifa lililo staarabika kwa miaka elfu limetubukia kwenye ujinga wa kujimambafai kidini na Waarabu wa Sunnie.
Kwa lugha nyepesi Iran inatafuta umaarufu usio kuwa na kichwa wala miguu kwa nchi za kiarabu,yeye si muarabu ni muajemi anakaribia tamaduni za wahindi.
Badala ya kutumia utajiri wake wa nishati ya maafuta na gesi kuwaendeleza nchi yake na watu wake yuko busy kuwachonganisha waarabu.
Mfano mzuri ni Yemen anatumika kama kondomu nchi maskini mara ijitie kupigana na Saudi, mara Itume makombora UAE,mara Israel.
Kwa mtu anayoifahamu Yemen ina umaskini uliopindukia hadi maliwatoni.
 
Baada ya shambulio la kombora la Houthi tokea Yemen kutua eneo la wazi, na kujeruhi kiasi watu 16, huku mitambo ya ulinzi wa anga ya Israel ikishindwa kulizuia, jana Jumapili 22 Oktoba 2024, Baraza la vita la Israel lilifanya kikao na kuufikia uamuzi kuwa Houthi wa Yemen wapigwe kwa nguvu kubwa kama ilivyokuwa kwa Hamas na Hezbollah.

Wakati Netanyahu akitaka kwanza kuyadhoofisha kabisa makundi ya kigaidi ya Iran, kabla ya kuanza kuishambulia Iran, Wakuu wa vyombo vya usalama, akiwemo Mkuu wa shirika la kijasusi la Irael, Mossad, anataka wangeachana kwanza na Houthi, waanze kuipiga Iran.

"Prime Minister Benjamin Netanyahu warned on Sunday that Israel would act against the Houthi rebels in Yemen with the same force it used against Iran’s other “terrorist arms,” appearing to indicate the start of a stepped-up campaign against the Islamic Republic’s proxy group, after a ballistic missile crashed into a Tel Aviv playground over the weekend.

At the same time, Israeli reports said that senior defense officials, including the head of the Mossad spy agency, believe the correct move is to attack Iran directly, rather than go for its proxy group in Yemen".

Waziri Mkuu Netanyahu, amesema kuwa Houthi kwa ujumla ni hatari kwa usalama wa Dunia. Hivyo inatakiwa kupigwa kwa nguvu zote.

“The US, and also other countries, like us, see the Houthis as a threat, not only to world shipping, but also to world order.”
“Just as we acted forcefully against the terrorist arms of Iran’s evil axis, so we will act against the Houthis…with force, determination and sophistication,” the premier said.

Kwa hiyo, siku zijazo, Dunia itashuhudia yaliyotokea Gaza na Lebanon, yakitokea kwa nchi hii maskini sana ya Yemen. Nchi ambayo wakati wote imekumbwa na vita, na raia wake zaidi ya milioni 7 ni wakimbizi katika nchi mbalimbali.

Kibarua kigumu zaidi kipo Iran, kama Israel itaamua kuigeukia Iran, nchi mfadhili wa makundi haya ya kigaidi. Iran kwa sasa haina ulinzi wa anga, huku radar zake nyingi zikiwa zimeteketezwa. Iran kabla ya vita hivi ilikuwa na mifumo ya ulinzi wa anga kutoka Urusi, mingine ikiwa ndani ya Iran, na mingine ikiwa nchini Iran mpakani na Iran. Mitambo hii yote imeteketezwa. Makundi yake (Iran) ya kigaidi ambayo amekuwa akiyategemea kuishambulia Israel ili kuifanya Israel ihangaike na makundi hayo, na hivyo isiwe na uwezo wa kupambana na vita vingi kwa wakati mmoja, yote yapo taabani. Mshirika wa karibu wa Irad, Assad Rais wa Syria amepinduliwa na kukimbilia Urusi, na Serikali mpya imejiweka mbali na Iran.

Hivi karibuni, Iran, ili kuyafikishia silaha makundi yake ya kigaidi, imekuwa ikifikiria kutumia usafiri wa anga kwa kutumia uwanja wa Beirut nchini Lebanon, lakini mbinu hii nayo inaonekana imekwaa kisiki, maana ndege za Iran zilizojaribu kupeleka silaha nchini Lebanon, zilishambuliwa na Israel na kulazimika kurudi nchini Iran.

Houthi wapo kwenye wakati mgumu sana kifedha. Mashambulio pekee mawili yaliyofanywa kwenye bandari yao wakati uliopita, yaliwasababishia hasara ya zaidi ya dola milioni 300. Mashambulio ya hivi karibuni na yatakayofuatia, sijui yataleta hasara ya kiwango gani kwa nchi hii maskini sana katika ukanda huo wa Mashariki ya kati.

"Indicating that similar strikes could be in store for the Houthis at a future date, Netanyahu on Sunday promised that even though the operation against the rebel group may take time, the results will be the same as those seen in Israel’s campaign against Hezbollah in Lebanon and Hamas in Gaza.

Seemingly confirming future strikes in Yemen, an Israeli official told the Times of Israel that “Houthis are now the focus” of Israel’s defense establishment.

“There are going to be more attacks,” the official said.

The strikes on Houthi targets over the last year appear to have had a financial impact on the group, as the Turkish state-owned Anadolu news agency recently reported that the Houthi-run Yemeni Transport Ministry and Red Sea Ports Corporation announced that strikes on the port city of Hodeida in Western Yemen since July have caused $313 million in losses"

Kwa ndugu hawa wa Yemen, hasa ambao makazi au shughuli zao zipo karibu na hawa wapigaji wa Houthi, ni wakati wa kuyakimbia haraka maeneo yao.
Kwa hiyo sis kama watanzania unataka tussemeje kwenye hili suala? Tunaomba majibu, manake umeleta hii kitu JF ambayo ni kwa waTz tuu?! Far East hawatutambui jombaa
 
Back
Top Bottom