Waziri Mkuu wa Isral aongelea Mauaji ya wafanye kazi wa Ubalozi huko Marekani Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.
Kumbukumbu yao iwe baraka.

Tunakumbatia familia zinazoomboleza katika kipindi hiki kigumu na tutaendelea kuwaunga mkono daima.

Wanadiplomasia wa Israel na wawakilishi kote ulimwenguni wanasimama kwenye mstari wa mbele wa juhudi za kidiplomasia za Israeli - kutetea nchi kwa maisha yao.

Hatutazuiliwa na ugaidi. Tutaendeleza dhamira yetu kote ulimwenguni, kwa kujitolea bila kuyumbayumba kuiwakilisha Israeli kwa fahari.

Vilevile Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameonyesha kushangazwa kwake kwa Magaidi wa Hamas kuzipongeza nchi za Uingereza,Ufaransa na Kanada kwa ujinga wao waliouonyesha mpaka kupelekea kusifiwa na magaidi wao!!!
 
Attachments

  • Prime_Minister_Benjamin_Netanyahu_“Last_night_in_Washington_something.mp4
    67 MB
Gaidi nani Israel vwamekuja Palestina kwa Meli wao ndio wagomvi na ndio Migaid mikuu inawauwa ovyo wenyeji iliowakuta Palestina nakuwaita eti Magaid !!!!!

pia Waisrael ni Magaid imewauwa kigaid Wanasayansi wa Iran !!!!

wakifanyiwa wao wanataka kulialia Dunia iwaonee uruma !!!

NI Milokole tu ndio itawaelewa wapinga mungu na waungaji mkono Usodoma !!!

Waisrael wanauwa wenyeji waliowakuta na kuwaita Magaid !!!

kwani awa Wazungu wangebaki uko kwao ULAYA tungesikia kweli kuusu Ugaidi apo Palestina!????

Gaidi atabakia Mzungu ata wafanye Propaganda gani Dunia ishazinduka RIP Nelson Mandela ata ww uliitwa Gaid !!! Wkt unatetea Ardhi na utu wa mwafrika mweusi !!!!

leo waliokwita ww Nelson Gaid ndio hao hao wanataka na wanafanya Propaganda tuwaamini eti watetezi wa Ardhi yao watetezi wa Utu wao eti tuwaone ni Magaidi !!!!!

picha zipo wazi kabisa mchana kweupee siku Wazungu wanafika Palestina !!!!!

wakiwa washamba Shamba tu ata vile vikofia vyao kama kifuniko cha kisodo awakuanavyo na nywele ndefu pia awakufuga yote yalikuja kufanyika baadae !!!

mana ni Wazungu uwo U Israel ulikuja baadae kuja kuwachanganya kondooo waliopotea tangu apo!!!
 
4c6ib481fabf1e2ji91_800C450.jpg
 
Picha iyoooo wachunguzeni wakati wanafika kwenye Ardhi ya Palestina kwamara ya kwanza akuna vichuguu kichwani wala ndevu kama Beberu!!!!!
 
Gaidi nani Israel vwamekuja Palestina kwa Meli wao ndio wagomvi na ndio Migaid mikuu inawauwa ovyo wenyeji iliowakuta Palestina nakuwaita eti Magaid !!!!!

pia Waisrael ni Magaid imewauwa kigaid Wanasayansi wa Iran !!!! wakifanyiwa wao wanataka kulialia Dunia iwaonee uruma !!! NI Milokole tu ndio itawaelewa wapinga mungu na waungaji mkono Usodoma !!!

Waisrael wanauwa wenyeji waliowakuta na kuwaita Magaid !!!

kwani awa Wazungu wangebaki uko kwao ULAYA tungesikia kweli kuusu Ugaidi apo Palestina!????

Gaidi atabakia Mzungu ata wafanye Propaganda gani Dunia ishazinduka RIP Nelson Mandela ata ww uliitwa Gaid !!! Wkt unatetea Ardhi na utu wa mwafrika mweusi !!!!

leo waliokwita ww Nelson Gaid ndio hao hao wanataka na wanafanya Propaganda tuwaamini eti watetezi wa Ardhi yao watetezi wa Utu wao eti tuwaone ni Magaidi !!!!!

picha zipo wazi kabisa mchana kweupee siku Wazungu wawanafika Palestina !!!!!

wakiwa washamba Shamba tu ata vile vikofia vyao kama kifuniko cha kisodo awakuanavyo na nywele ndefu pia awakufuga yote yalikuja kufanyika baadae !!!

mana ni Wazungu uwo U Israel ulikuja baadae kuja kuwachanganya kondooo waliopotea tangu apo!!!
Mnadanganya tu kwenye mitandao wayahudi wako hapo zaidi ya miaka 3,000 pamoja na kwamba kuna wengi walichukuliwa utumwani katika nchi mbalimbali zikiwemo za Ulaya na Marekani ambako walikaa miaka mingi sasa wewe Mmatumbi mwenzangu wao kurudi nyumbani kwao kuna shida ipi?

Kwako wewe Diaspora kurudi nyumbani wewe unaowaita wakimbizi? Acha ujinga wa kupandikiziwa na Wafuga Midevu na Majini wenzako!!!!
 
Attachments

  • IMG_6884.mp4
    40 MB

Ili uwaminike weka Ushaid tuone raia wa Kipalestine nayeye akiamia apo kwenye iyo Ardhi ata zana ya Ugaidi wao inaweza kuwa na mashiko!!!

lkn kwasasa picha zipo wazi ni awa Wazungu ndio wanaamia kwenye Ardhi ya watu tena wakiwa kwenye Meli na uwonekanowao ni Wazungu tupu!!!!

Leo wanataka tuwaamini kuwa wenyeji ni Magaid ¿¿¿

tukikubali wenyeji ndio MAGAIDI basi na tusema Nelson Mandela pia alikuwa Gaidi mana Wazungu walitaka tumuone ivyo!!
 
Meli imeandikwa Jewish State !!!!!! Wazungu zaid ya wauni tunao wajua!!!
 
Ili uwaminike weka Ushaid tuone raia wa Kipalestine nayeye akiamia apo kwenye iyo Ardhi ata zana ya Ugaidi wao inaweza kuwa na mashiko!!!

lkn kwasasa picha zipo wazi ni awa Wazungu ndio wanaamia kwenye Ardhi ya watu tena wakiwa kwenye Meli na uwonekanowao ni Wazungu tupu!!!!

Leo wanataka tuwaamini kuwa wenyeji ni Magaid ¿¿¿

tukikubali wenyeji ndio MAGAIDI basi na tusema Nelson Mandela pia alikuwa Gaidi mana Wazungu walitaka tumuone ivyo!!
Kabla hata ya kamera kuwepo wayahudi walikuwa wakiishi hapo Israel!!

Ni ujinga tu unakusumbua kuomba picha wakati hata historia inasema hivyo wayahudi asili yao ni hapo Israel hao unaowaona wako kwenye Meli ni Diaspora wanarudi nyumbani baada ya kukaa uhamishoni kwa miongo mingi!!!
 
Gaidi nani Israel vwamekuja Palestina kwa Meli wao ndio wagomvi na ndio Migaid mikuu inawauwa ovyo wenyeji iliowakuta Palestina nakuwaita eti Magaid !!!!!

pia Waisrael ni Magaid imewauwa kigaid Wanasayansi wa Iran !!!! wakifanyiwa wao wanataka kulialia Dunia iwaonee uruma !!! NI Milokole tu ndio itawaelewa wapinga mungu na waungaji mkono Usodoma !!!

Waisrael wanauwa wenyeji waliowakuta na kuwaita Magaid !!!

kwani awa Wazungu wangebaki uko kwao ULAYA tungesikia kweli kuusu Ugaidi apo Palestina!????

Gaidi atabakia Mzungu ata wafanye Propaganda gani Dunia ishazinduka RIP Nelson Mandela ata ww uliitwa Gaid !!! Wkt unatetea Ardhi na utu wa mwafrika mweusi !!!!

leo waliokwita ww Nelson Gaid ndio hao hao wanataka na wanafanya Propaganda tuwaamini eti watetezi wa Ardhi yao watetezi wa Utu wao eti tuwaone ni Magaidi !!!!!

picha zipo wazi kabisa mchana kweupee siku Wazungu wawanafika Palestina !!!!!

wakiwa washamba Shamba tu ata vile vikofia vyao kama kifuniko cha kisodo awakuanavyo na nywele ndefu pia awakufuga yote yalikuja kufanyika baadae !!!

mana ni Wazungu uwo U Israel ulikuja baadae kuja kuwachanganya kondooo waliopotea tangu apo!!!
🤣🤣🤣😂
*005#
 
Ili uwaminike weka Ushaid tuone raia wa Kipalestine nayeye akiamia apo kwenye iyo Ardhi ata zana ya Ugaidi wao inaweza kuwa na mashiko!!!

lkn kwasasa picha zipo wazi ni awa Wazungu ndio wanaamia kwenye Ardhi ya watu tena wakiwa kwenye Meli na uwonekanowao ni Wazungu tupu!!!!

Leo wanataka tuwaamini kuwa wenyeji ni Magaid ¿¿¿

tukikubali wenyeji ndio MAGAIDI basi na tusema Nelson Mandela pia alikuwa Gaidi mana Wazungu walitaka tumuone ivyo!!
Ili uwaminike weka Ushaid tuone raia wa Kipalestine nayeye akiamia apo kwenye iyo Ardhi ata zana ya Ugaidi wao inaweza kuwa na mashiko!!!

lkn kwasasa picha zipo wazi ni awa Wazungu ndio wanaamia kwenye Ardhi ya watu tena wakiwa kwenye Meli na uwonekanowao ni Wazungu tupu!!!!

Leo wanataka tuwaamini kuwa wenyeji ni Magaid ¿¿¿

tukikubali wenyeji ndio MAGAIDI basi na tusema Nelson Mandela pia alikuwa Gaidi mana Wazungu walitaka tumuone ivyo!!
Kwa nini haujui kiswahili?
 
Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.
Kumbukumbu yao iwe baraka.

Tunakumbatia familia zinazoomboleza katika kipindi hiki kigumu na tutaendelea kuwaunga mkono daima.

Wanadiplomasia wa Israel na wawakilishi kote ulimwenguni wanasimama kwenye mstari wa mbele wa juhudi za kidiplomasia za Israeli - kutetea nchi kwa maisha yao.

Hatutazuiliwa na ugaidi. Tutaendeleza dhamira yetu kote ulimwenguni, kwa kujitolea bila kuyumbayumba kuiwakilisha Israeli kwa fahari.

Vilevile Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameonyesha kushangazwa kwake kwa Magaidi wa Hamas kuzipongeza nchi za Uingereza,Ufaransa na Kanada kwa ujinga wao waliouonyesha mpaka kupelekea kusifiwa na magaidi wao!!!
hivyo vifo vya hao waisraeli vinatia raha sana
 
Ni kweli kabisa vifo vya waisrael vinatia raha sana maana magaidi wameua wawili lakini huko Gaza magaidi zaidi ya 100 wameuwawa walipokuwa wakijaribu kujichanganya na raia ili watoroke mkono mrefu wa Majeshi ya Israel. Kwa kweli shambulio hilo limefurahisha sana!!
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    6.9 MB
Ni kweli kabisa vifo vya waisrael vinatia raha sana maana magaidi wameua wawili lakini huko Gaza magaidi zaidi ya 100 wameuwawa walipokuwa wakijaribu kujichanganya na raia ili watoroke mkono mrefu wa Majeshi ya Israel. Kwa kweli shambulio hilo limefurahisha sana!!
hao ndo magaidi?kwakweli kichwa kisicho na akili mzigo kwa shingo ya benja
 
Kila siku nawaambia safari hii Mtanyooka tu!!!
hakuna kitu hapo,yaani wewe kuona watu kufa hivyo ndo mwisho wa mapambano dhidi ya magaidi ya israeli?hayo sio mapambano ya CHADEMA VS CCM
 
Waarabu wamevamia Afrika wamechukua mataifa yote kaskazini mwa Afrika kwa nguvu, sasa wana pambana huko Sudan kutaka kuifanya Sudan dola ya kiarabu, nyie mnapambana kuwatetea Wapalestina mmewasahau ndugu zenu wa Sudani.
 
Waarabu wamehamia Afrika wamechukua mataifa yote kaskazini mwa Afrika kwa nguvu, sasa wana pambana huko Sudan kutaka kuifanya Sudan dola ya kiarabu, nyie mnapambana kuwatetea Wapalestina mmewasahau ndugu zenu wa Sudani.
Milokole mzigo kwa taifa!!!!
 
Back
Top Bottom