Waziri Mkuu wa Isral aongelea Mauaji ya wafanye kazi wa Ubalozi huko Marekani Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.

Diaspora wakirudi nyumbani baada ya kukaa ugenini kwa miaka mingi!!
Majibu yako yanafanya ata walokole ambao wao ni wasomaji tu wa JF watakupinga !!!!

unawezaje kufananisha Diaspora na Wavamizi wa Ardhi wenye kuuwa wenyeji wanaowakuta Kwa kuwavesha vazi la Ugaid !!!!

Kidunia ISRAEL imeshakwama ata Wazungu wenzao wa uko ULAYA kwasasa awataki tena kuganyaga iyo Ardhi yenye Damu ya Wapalestina!!!!!!
 
Inaonekana uko nyuma ya Historia!!

Je wajua Hitler aliua Wayahudi wangapi huko Ulaya? Je wajua hao aliowaua walitoka Israel? Je wajua hao waliobaki ndiyo hao waliamua kurudi nyumbani? Na kama yote hayo huyajui basi wewe utakuwa Mjinga na Mpumbavu uliyepitiliza!!!
 
Back
Top Bottom