Waziri Mkuu wa Japan anasurika kifo baada ya kutupiwa Bomu

Waziri Mkuu wa Japan anasurika kifo baada ya kutupiwa Bomu

Waongee na samia hawape wale maroboti wetu wanao mlinda
 
Huku huwa tunapongeza maana viongozi wetu wanafanya vizuri sana.

Japan viongozi wao wanaviziwa kuuwawa maana hakuna chochote wanachofanya kiasi kwamba Japan imebaki nchi masikini sana.
Aliekwambia japani ni nchi maskini kakudanganya labda japani ya nyamitwebiri japani ni moja ya nchi 10 tajiri duniani

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Kutakuwa na shida ya kiutawala kwa Japani ijapokuwa wameendelea kiteknolojia
 
Wakati watu wanaingia darasani kuipekua dunia nyie wewe ulikuwa unameza aya za mwarabu haya ndio matokeo yake
Huku huwa tunapongeza maana viongozi wetu wanafanya vizuri sana.

Japan viongozi wao wanaviziwa kuuwawa maana hakuna chochote wanachofanya kiasi kwamba Japan imebaki nchi masikini sana.
 
Itakua Russia imehusika hapo.

Alisikikia Mwana NATO kutoka kazurumimba.
 
Back
Top Bottom