This logical fallacy is called argument from popularity.Kinachotajwa na wengi kuwa kipo,na wachache kusema hakipo,huko kutokuwepo ndio kuwako kwake.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hio serekali Sweden pia hawajielewi.Hivyo vitabu vinanunuliwa kwa pesa,havipatikani bure.Hao wanachoma pesa za Sweden walizonunua hivyo vitabu.Washapishaji na wauzaji wa hivyo vitabu,watachapisha vingine,na wauzaji watapata pesa zaidi.Demand itakuwa kubwa.Wanawabipu waislamu ili wajae jazba wawatafutie sababu
Hoja yako wala sio ngeni.
Sitokujibu bali nikuulize, wewe una akili au hauna? na kama unayo ipo wapi? na je ulishawahi kuiona?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hio serekali Sweden pia hawajielewi.Hivyo vitabu vinanunuliwa kwa pesa,havipatikani bure.Hao wanachoma pesa za Sweden walizonunua hivyo vitabu.Washapishaji na wauzaji wa hivyo vitabu,watachapisha vingine,na wauzaji watapata pesa zaidi.Demand itakuwa kubwa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hawa ni wajinga,hivi vitabu vinauzwa,havipatikani bure,kwa hiyo wanachoma pesa zao,walizonunua hivi vitabu,wachapishaji wa vitabu na wauzaji wa hivi vitabu,wanaingiza pesa,wao wajinga wanakwenda kuchoma pesa.Hapa ni sawa na kumpiga teke chura,unamuongezea mwendo.Wahuni wa dunia hii wamewachokoza wakristo wakaona wanapuuzwa sasa wamehamia kwa waislam kuwachokoza. Waislam wana munkari na jazba hawana hekima na busara watalipuka na kuanza kulipiza kisasi, hapo itakuwa wamewasaidia wahuni kutimiza lengo lao kuleta vurugu na ghasia duniani
Na pia wanawafanyia biashara waislamu,hivi vitabu havitolewi bure,wananunua,halafu wanachoma.Hiyo serekali ya Sweden,ingekuwa na wasomi,wasingekubaliana na uhujumu wa uchumi wa nchi.Unanunua kitabu kwa pesa,halafu wenda kichoma,hapo umechoma pesa,ujinga kweli ni mziho.Hata wakristo ingechomwa biblia wangeshoboka
ila kuchomwa kwa Quran hakuna chochote kinacho potea waislam wamehifadhi Quran kichwani
Wewe mtu masikini wa pesa na mawazo ndiye unaona pesa ya kununua kitabu ni muhimu kuliko uhuru wa watu kujieleza.Hio serekali Sweden pia hawajielewi.Hivyo vitabu vinanunuliwa kwa pesa,havipatikani bure.Hao wanachoma pesa za Sweden walizonunua hivyo vitabu.Washapishaji na wauzaji wa hivyo vitabu,watachapisha vingine,na wauzaji watapata pesa zaidi.Demand itakuwa kubwa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Na wale protestant na wakatoliki wanauana Ireland ya kaskazini,!hawa choko choko.Waislamu ndio wenye choko choko,waulize crusade war ilichowafanya.
Swali la maana sana. Kwa nini Sweeden tu na siyo nchi nyingine? Lazima kuwe na kitu kinachochochea hilo.Kwanini Hao Wa-Sweeden wanafanya hivyo lakini? Embu tupeane taarifa kidogo.
Yesu anasemaKoran 5;51. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.
DINI YA KISHETANI INAPORUHUSU HUU USHENZI.
Mungu hawezi kuandika USHETANI WA KUUA WATU wa DINI Nyingine.
ilaaniwe quran
Hiyo hoja unaweza kuona ni ya kijinga ila ukiangalia kiundani sio ya kijinga.Hoja ya kijinga kabisa. This logical fallacy is called logical non sequitur.
Akili ni nini?
Achana na mimi kuwa au kutokuwa na akili.
Hata nikianguka hapa nife sasa hivi, nisiwepo mimi wala akili yangu.
Mungu atakuwa bado hayupo.
Hata mimi nikikwambia sina akili, wewe bado huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.
Hujathibitusha Mungu yupo.
Umethibitisha hujui logical fallacy ya non sequitur ni nini.
Hao makanisa mnayachoma wenyewe kwa kugombania madaraka na sadaka.Makanisa yote yana walinzi na yamezungushiwa ukuta,na waumini wakristo wanajuana,aje asiyekuwa wao kanisani,asishtukiwe na walinzi na waumini.Una hakika ndani ya haya makanisa yaliyochomwa moto na waislamu ndani yake hakukuwa na Biblia?!
[emoji116][emoji116]
Makanisa mengine manne yachomwa Tanzania - BBC News Swahili
Makanisa manne yameteketezwa Kagera, kaskazini magharibi mwa Tanzania na kufikisha saba, makanisa yaliyochomwa mwezi huuwww.bbc.com
Haya mambo yamefanyika zaidi ya Sweden.Swali la maana sana. Kwa nini Sweeden tu na siyo nchi nyingine? Lazima kuwe na kitu kinachochochea hilo.
Una akili ndogo mno, mwenyezi Mungu hayupo kiushindani na viumbe vyake alivyoviumba mwenyew umeletwa duniani bure ,ukaletewa manabii bure na manabii wakaja na vitabu viwe muongozo kwa binadamu, ukifanya kiburi bc Kuna kabla yako walikua kiburi zaidi yako Ila hawajaangamizwa maramoja mpaka pale walipopelekewa muonyaji na kuendelea kuleta kiburi kama chako lakin mwisho wa cku wako wapi ? Mwenyezi Mungu kashasema yeye ndio alietuleta na kwake wote tutalejea kwahiyo hapana shaka juu ya hilo sasa haraka ya nini ? Ukiwa kiburi utasema mengi kuna watu washasema kwanini huyo mwenyezi Mungu asingekuja mwenyewe mfano wa maneno kama hayo unayosema wewe ila hawakuangamizwa mpaka pale mwenyezi Mungu alipotaka. Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema.
Hiyo hoja unaweza kuona ni ya kijinga ila ukiangalia kiundani sio ya kijinga.
Je una akili au hauna? Kama unayo thibitisha. Hii inafanana na vile wewe unavyotaka kuthibitishiwa kuwa Mungu yupo.
Sometimes tunapaswa kukubali kuwa kuna vitu ili kuvifafanua basi vipo nje ya uwezo wetu
Aliye itaja hiyo akili ndie anaye ijua anatakiwa aeleze hiyo akili ikoje ili tujue tunayo au hatuna?Hiyo hoja unaweza kuona ni ya kijinga ila ukiangalia kiundani sio ya kijinga.
Je una akili au hauna? Kama unayo thibitisha. Hii inafanana na vile wewe unavyotaka kuthibitishiwa kuwa Mungu yupo.
Sometimes tunapaswa kukubali kuwa kuna vitu ili kuvifafanua basi vipo nje ya uwezo wetu
Huko kuchoma makaratasi ndio ujinga .Unachoma vitabu Sweden,wakati dunia nzima vimeenea n vinachapishwa kila siku.Wao na wawabeep wauslam,wakijibu mapigo,wasipige kelele.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hawa watu ni wajinga sana.Aliye itaja hiyo akili ndie anaye ijua anatakiwa aeleze hiyo akili ikoje ili tujue tunayo au hatuna?
Haya makanisa mnachoma wenyewe wakristo kwa kugombea madaraka na sadaka.Makanisa yana walinzi,halafu wakristo ni tofauti na waislamu,wakristo hawasali tofauti na kanisa lake,waumini wanajuana.Ukiwa mprotestant huigii kanisa la mkatoliki,muangalikani wala la wasabato,mnajuana,iweje aje muislamu,ambaye sio muumini,akaribieUna hakika ndani ya haya makanisa yaliyochomwa moto na waislamu ndani yake hakukuwa na Biblia?!
[emoji116][emoji116]
Makanisa mengine manne yachomwa Tanzania - BBC News Swahili
Makanisa manne yameteketezwa Kagera, kaskazini magharibi mwa Tanzania na kufikisha saba, makanisa yaliyochomwa mwezi huuwww.bbc.com