Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Wanawabipu waislamu ili wajae jazba wawatafutie sababu
Hio serekali Sweden pia hawajielewi.Hivyo vitabu vinanunuliwa kwa pesa,havipatikani bure.Hao wanachoma pesa za Sweden walizonunua hivyo vitabu.Washapishaji na wauzaji wa hivyo vitabu,watachapisha vingine,na wauzaji watapata pesa zaidi.Demand itakuwa kubwa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hoja yako wala sio ngeni.

Sitokujibu bali nikuulize, wewe una akili au hauna? na kama unayo ipo wapi? na je ulishawahi kuiona?

Hoja ya kijinga kabisa. This logical fallacy is called logical non sequitur.

Akili ni nini?

Achana na mimi kuwa au kutokuwa na akili.

Hata nikianguka hapa nife sasa hivi, nisiwepo mimi wala akili yangu.

Mungu atakuwa bado hayupo.

Hata mimi nikikwambia sina akili, wewe bado huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Umethibitisha hujui logical fallacy ya non sequitur ni nini.
 
Hio serekali Sweden pia hawajielewi.Hivyo vitabu vinanunuliwa kwa pesa,havipatikani bure.Hao wanachoma pesa za Sweden walizonunua hivyo vitabu.Washapishaji na wauzaji wa hivyo vitabu,watachapisha vingine,na wauzaji watapata pesa zaidi.Demand itakuwa kubwa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wahuni wa dunia hii wamewachokoza wakristo wakaona wanapuuzwa sasa wamehamia kwa waislam kuwachokoza. Waislam wana munkari na jazba hawana hekima na busara watalipuka na kuanza kulipiza kisasi, hapo itakuwa wamewasaidia wahuni kutimiza lengo lao kuleta vurugu na ghasia duniani
Hawa ni wajinga,hivi vitabu vinauzwa,havipatikani bure,kwa hiyo wanachoma pesa zao,walizonunua hivi vitabu,wachapishaji wa vitabu na wauzaji wa hivi vitabu,wanaingiza pesa,wao wajinga wanakwenda kuchoma pesa.Hapa ni sawa na kumpiga teke chura,unamuongezea mwendo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hata wakristo ingechomwa biblia wangeshoboka

ila kuchomwa kwa Quran hakuna chochote kinacho potea waislam wamehifadhi Quran kichwani
Na pia wanawafanyia biashara waislamu,hivi vitabu havitolewi bure,wananunua,halafu wanachoma.Hiyo serekali ya Sweden,ingekuwa na wasomi,wasingekubaliana na uhujumu wa uchumi wa nchi.Unanunua kitabu kwa pesa,halafu wenda kichoma,hapo umechoma pesa,ujinga kweli ni mziho.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hio serekali Sweden pia hawajielewi.Hivyo vitabu vinanunuliwa kwa pesa,havipatikani bure.Hao wanachoma pesa za Sweden walizonunua hivyo vitabu.Washapishaji na wauzaji wa hivyo vitabu,watachapisha vingine,na wauzaji watapata pesa zaidi.Demand itakuwa kubwa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wewe mtu masikini wa pesa na mawazo ndiye unaona pesa ya kununua kitabu ni muhimu kuliko uhuru wa watu kujieleza.

Kamsome Abraham Maslow.

Wenzako walishapita level hiyo ya umasikini, wanatafuta self actualization, ndiyo maana wanaweza hata kutoa misaada huko Tanzania, wangekuwa na mawazo madogo ya kujali pesa zao tu wangesema wasitishe misaada ya nje wangejiongezea pesa nyingi sana zaidi ya hizo za kutochoma Quran.
 
Koran 5;51. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.

DINI YA KISHETANI INAPORUHUSU HUU USHENZI.

Mungu hawezi kuandika USHETANI WA KUUA WATU wa DINI Nyingine.
ilaaniwe quran
Yesu anasema
"Msidhani nimekuja kuleta amani duniani,sikuja kuketa amani,bali upanga"
Matthew 10:34-36

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hoja ya kijinga kabisa. This logical fallacy is called logical non sequitur.

Akili ni nini?

Achana na mimi kuwa au kutokuwa na akili.

Hata nikianguka hapa nife sasa hivi, nisiwepo mimi wala akili yangu.

Mungu atakuwa bado hayupo.

Hata mimi nikikwambia sina akili, wewe bado huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Hujathibitusha Mungu yupo.

Umethibitisha hujui logical fallacy ya non sequitur ni nini.
Hiyo hoja unaweza kuona ni ya kijinga ila ukiangalia kiundani sio ya kijinga.
Je una akili au hauna? Kama unayo thibitisha. Hii inafanana na vile wewe unavyotaka kuthibitishiwa kuwa Mungu yupo.
Sometimes tunapaswa kukubali kuwa kuna vitu ili kuvifafanua basi vipo nje ya uwezo wetu
 
Una hakika ndani ya haya makanisa yaliyochomwa moto na waislamu ndani yake hakukuwa na Biblia?!
[emoji116][emoji116]
Hao makanisa mnayachoma wenyewe kwa kugombania madaraka na sadaka.Makanisa yote yana walinzi na yamezungushiwa ukuta,na waumini wakristo wanajuana,aje asiyekuwa wao kanisani,asishtukiwe na walinzi na waumini.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Swali la maana sana. Kwa nini Sweeden tu na siyo nchi nyingine? Lazima kuwe na kitu kinachochochea hilo.
Haya mambo yamefanyika zaidi ya Sweden.

Sweden wananuhuru sana wa kujueleza.

"Sweden has one of the world's strongest legal protections for freedom of expression," says Marten Schultz, professor at Stockholm University's faculty of law.
 
Una akili ndogo mno, mwenyezi Mungu hayupo kiushindani na viumbe vyake alivyoviumba mwenyew umeletwa duniani bure ,ukaletewa manabii bure na manabii wakaja na vitabu viwe muongozo kwa binadamu, ukifanya kiburi bc Kuna kabla yako walikua kiburi zaidi yako Ila hawajaangamizwa maramoja mpaka pale walipopelekewa muonyaji na kuendelea kuleta kiburi kama chako lakin mwisho wa cku wako wapi ? Mwenyezi Mungu kashasema yeye ndio alietuleta na kwake wote tutalejea kwahiyo hapana shaka juu ya hilo sasa haraka ya nini ? Ukiwa kiburi utasema mengi kuna watu washasema kwanini huyo mwenyezi Mungu asingekuja mwenyewe mfano wa maneno kama hayo unayosema wewe ila hawakuangamizwa mpaka pale mwenyezi Mungu alipotaka. Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema.

Mungu alete manabii wa kipindi hichi cha sayansi na teknoloji,watakao endana na wakati tulionao wa smartphone,hao mitume zilipendwa wameshapitwa na wakati.
 
Hiyo hoja unaweza kuona ni ya kijinga ila ukiangalia kiundani sio ya kijinga.
Je una akili au hauna? Kama unayo thibitisha. Hii inafanana na vile wewe unavyotaka kuthibitishiwa kuwa Mungu yupo.
Sometimes tunapaswa kukubali kuwa kuna vitu ili kuvifafanua basi vipo nje ya uwezo wetu

Akili ni nini?

Nikikwambia sina akili, hivyo sina mzigo wa kuthibitisha kwamba nina akili.Wewe unasema Mungu yupo, hujathibitisha Mungu yupo. Utasemaje?

Nikikwambia huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.

Utathibitisha Mungu yupo?
 
Hiyo hoja unaweza kuona ni ya kijinga ila ukiangalia kiundani sio ya kijinga.
Je una akili au hauna? Kama unayo thibitisha. Hii inafanana na vile wewe unavyotaka kuthibitishiwa kuwa Mungu yupo.
Sometimes tunapaswa kukubali kuwa kuna vitu ili kuvifafanua basi vipo nje ya uwezo wetu
Aliye itaja hiyo akili ndie anaye ijua anatakiwa aeleze hiyo akili ikoje ili tujue tunayo au hatuna?
 
Aliye itaja hiyo akili ndie anaye ijua anatakiwa aeleze hiyo akili ikoje ili tujue tunayo au hatuna?
Hawa watu ni wajinga sana.

Huwa wanaangalia vi video vya Wa Nigeria wajinga wenzao halafu wanatuletea logical non sequitur fallacy zao hapa.

Mtu ananiuliza kama nina akili, namuuliza akili ni nini, hawezi kujibu.

Anarudia kuniuliza kama nina akili.

Pumbavuuu kabisa.
 
Una hakika ndani ya haya makanisa yaliyochomwa moto na waislamu ndani yake hakukuwa na Biblia?!
[emoji116][emoji116]
Haya makanisa mnachoma wenyewe wakristo kwa kugombea madaraka na sadaka.Makanisa yana walinzi,halafu wakristo ni tofauti na waislamu,wakristo hawasali tofauti na kanisa lake,waumini wanajuana.Ukiwa mprotestant huigii kanisa la mkatoliki,muangalikani wala la wasabato,mnajuana,iweje aje muislamu,ambaye sio muumini,akaribie
kanisani,bila kuhojiwa na wahusika.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom