Una akili ndogo mno, mwenyezi Mungu hayupo kiushindani na viumbe vyake alivyoviumba mwenyew umeletwa duniani bure ,ukaletewa manabii bure na manabii wakaja na vitabu viwe muongozo kwa binadamu, ukifanya kiburi bc Kuna kabla yako walikua kiburi zaidi yako Ila hawajaangamizwa maramoja mpaka pale walipopelekewa muonyaji na kuendelea kuleta kiburi kama chako lakin mwisho wa cku wako wapi ? Mwenyezi Mungu kashasema yeye ndio alietuleta na kwake wote tutalejea kwahiyo hapana shaka juu ya hilo sasa haraka ya nini ? Ukiwa kiburi utasema mengi kuna watu washasema kwanini huyo mwenyezi Mungu asingekuja mwenyewe mfano wa maneno kama hayo unayosema wewe ila hawakuangamizwa mpaka pale mwenyezi Mungu alipotaka. Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema.