Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Huko kusema hayupo,ndio kuwapo kwake.Kisichokuwepo,hakitwaji na wengi kuwa kipo.Allah si mpuuzi.
Kwa sababu hayupo.
Allah ambaye hayupo, hawezi juwa mpuuzi.
Ukibisha, thibitisha Allah yupo.
Basi mtu wa kwanza kusema Mungu yupo ndio anapaswa kutuletea ushahidi na sio binadamu wa sasa ambayo hiyo dhana tumeikuta na tumerithishwa piaAliye itaja hiyo akili ndie anaye ijua anatakiwa aeleze hiyo akili ikoje ili tujue tunayo au hatuna?
Hio serekali Sweden pia hawajielewi.Hivyo vitabu vinanunuliwa kwa pesa,havipatikani bure.Hao wanachoma pesa za Sweden walizonunua hivyo vitabu.Washapishaji na wauzaji wa hivyo vitabu,watachapisha vingine,na wauzaji watapata pesa zaidi.Demand itakuwa kubwa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kama kusema Mungu hayupo, ndiyo kuwapo kwake.Huko kusema hayupo,ndio kuwapo kwake.Kisichokuwepo,hakitwaji na wengi kuwa kipo.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hiyo serekali ya Sweden,wangejielewa,wasingeruhusu kuchoma kitabu ulichonunua kwa pesa.Pale unachoma pesa,uliyonunua hicho kitabu.Mchapishaji wa hivyi vitabu na muuzaji unamuingizia biashara na kupata faida.Hii biashra ya vitabu,ni kama biashara nyingine,wauzaji,kila vikinunuliwa vitabu vingi,ndio kwao ni faida.Mbona huko huko Sweden huruhusiwi kuchoma Bendera?..na unafungwa jela Kwa kuchoma Bendera...
Hata hapa Tanzania kukanyaga Tu pesa ni kosa kisheria
Na wale protestant na wakatoliki wanauana Ireland ya kaskazini,!hawa choko choko.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ever-expanding vizuri.Hizo hoja zako ndizo zinazothibitisha kuwa yeye Allah yupo.Yeye miongoni mwa majina na sifa zake ni kuwa ni mwenye hekima,mwenye huruma na rehma ni mpole na muadilifu na kuendelea.
Iwapo yeye ndiye muumbaji wa kila unachokiona na hizo radi anao uwezo wa kufanya hivyo haja itakapotokea na hapangiwi cha kufanya na haathiriwi na lawama.
Mambo ya hasira na visasi visivyo na mpango ni maumbile ya binadamu.Kuna waliotutangulia walifanya kufru kama hizo na hawakuweza kumdhuru na wala hawakuweza kuathiri kuendelea kwa utajo na dini anayoiridhia.
Wako pia wale waliozidi kwenye kufru zao aliamua kuwaonjesha kidogo adhabu zao.Hawa wanaofanya hivyo wanapewa muda tu wa kujitafakari na wakati wakifanya hivyo ndio wanaitangaza Qur'an na kuutangaza uislamu ndani ya nchi zao.
Kwa upande mwengine kwa hekima zake kuna matukio ambayo Allah hayavumilii lakini pia hatoi adhabu za hasira za papo kwa papo.Haya matukio ya kuchoma Qur'an hakuna anayechoma Qur'an akaishi kama zamani.Ataishi maisha wa wasi wasi na hofu mpaka mwisho.Hiyo pekee ni adhabu.
Watu waliotamka maneno ya ufedhuli kwa Allah kam hayo kuwa hayupo na kama yupo afanye jambo fulani kama unayosema wewe hawakuanza leo na pia si lazima tusome kwenye historia,wako wengi tumewashuhudia hata hapo Tanzania.
Kama hasira za kibinadamu na visasi ingekuwa ni sifa zake basi watu wanaomuasi kinyume na mafundisho yake wasingepata pa kuishi.Anachokifanya kila siku anawapelekea karibu ujumbe wake ili watanabahi na kujirekebisha kabla ya siku kila mara anayoikumbushia ambapo ndipo hasira zake atakapozieonesha kweli na ambapo ameonyo huko hakutokuwa na kubadili kitu.
Hao makanisa mnayachoma wenyewe kwa kugombania madaraka na sadaka.Makanisa yote yana walinzi na yamezungushiwa ukuta,na waumini wakristo wanajuana,aje asiyekuwa wao kanisani,asishtukiwe na walinzi na waumini.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ndo maana tunasema ni mbio za wajinga.Hio serekali Sweden pia hawajielewi.Hivyo vitabu vinanunuliwa kwa pesa,havipatikani bure.Hao wanachoma pesa za Sweden walizonunua hivyo vitabu.Washapishaji na wauzaji wa hivyo vitabu,watachapisha vingine,na wauzaji watapata pesa zaidi.Demand itakuwa kubwa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hao wanaochoma hivyo vitabu,wamevinunua kwa pesa.Huoni kama wanazidi kuwapa hao wachapishaji na wauzaji wa hivyo vitabu nguvu ya kiuchumi.Kwa hiyo hapo biashara ya hao waislamu ya vitabu,imemoga.Ni mjinga peke yake atawaunga mkono hao wachomaji,wakati wanawanufaisha kiuchumi waislamu,kwa kununua hivyo vitabu.Wana agenda za kufanya dunia yote iwe ni musilm tu,
Yaani watu wote tujue jua linazama kwenye matope
Haya makanisa mnachoma wenyewe wakristo kwa kugombea madaraka na sadaka.Makanisa yana walinzi,halafu wakristo ni tofauti na waislamu,wakristo hawasali tofauti na kanisa lake,waumini wanajuana.Ukiwa mprotestant huigii kanisa la mkatoliki,muangalikani wala la wasabato,mnajuana,iweje aje muislamu,ambaye sio muumini,akaribie
kanisani,bila kuhojiwa na wahusika.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Watu wana principle kubwa zaidi ya pesa.Hiyo serekali ya Sweden,wangejielewa,wasingeruhusu kuchoma kitabu ulichonunua kwa pesa.Pale unachoma pesa,uliyonunua hicho kitabu.Mchapishaji wa hivyi vitabu na muuzaji unamuingizia biashara na kupata faida.Hii biashra ya vitabu,ni kama biashara nyingine,wauzaji,kila vikinunuliwa vitabu vingi,ndio kwao ni faida.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hao wanaowaunga mkono hao wachomaji ni wajinga kama hao wanaochoma.Kwasababu vitabu wananunua kwa pesa,hao wanaochapisha na kuuza hivyo vitabu wanapata pesa na faida,!wakati wachomaji wanatoa pesa kununua,halafu kuchoma alichonunua,hapo wanachoma pesa.Wana agenda za kufanya dunia yote iwe ni musilm tu,
Yaani watu wote tujue jua linazama kwenye matope
Nenda kajifunze tena non sequitur fallacy ni nini. Kuongea lugha sio kutajataja tu maneno ya lugha husika bali ni kuleta maana ya unachokiongea kwa ufasaha wa lugha husika. Halkadhalika kuhusisha concepts za vitu sio tu kuzitajataja tu bila msingi wa concept zenyewe, kawadanganye watu kijijini kwenu sio hapa.Hoja ya kijinga kabisa. This logical fallacy is called logical non sequitur.
Akili ni nini?
Achana na mimi kuwa au kutokuwa na akili.
Hata nikianguka hapa nife sasa hivi, nisiwepo mimi wala akili yangu.
Mungu atakuwa bado hayupo.
Hata mimi nikikwambia sina akili, wewe bado huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Umethibitisha hujui logical fallacy ya non sequitur ni nini.