Shazili mnali
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 362
- 569
Allah sio mpuuzi kama binadam Allah anasubira hana pupa lau kama angekua analipa papo hapo sidhani kama mpaka leo ulimwengu wenyewe ungali kuepoMiye nilijua ikichomwa mchomaji anapigwa radi hapo hapo..
Mbona waislamu hawachomi vitabu vya dini nyingine? Hapo ndio ujue waislamu, huwa wanachokozwa, wakijibu mapigo,watu wasipige kelele.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mwanzo 1 : 1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.Kuamini si kitu muhimu katika kutafuta ukweli, kwa sababu unaweza kuamini hata uongo.
Suala la muhimu zaidi ni je, unaweza kuthibitisha?
Hujathibitisha Mungu yupo.
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
Mdogo, mkubwa, bado hujathibitisha Allah yupo kweli.We Bado mdogo sana.
Mdogo mno.
Hizo ni habari za imani, si uthibitisho, bado hujathibitisha Mungu yupo.Mwanzo 1 : 1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
Yohana 1:3
Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika.
Una hakika ndani ya haya makanisa yaliyochomwa moto na waislamu ndani yake hakukuwa na Biblia?!Mbona waislamu hawachomi vitabu vya dini nyingine? Hapo ndio ujue waislamu, huwa wanachokozwa, wakijibu mapigo,watu wasipige kelele.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Allah si mpuuzi.Allah sio mpuuzi kama binadam Allah anasubira hana pupa lau kama angekua analipa papo hapo sidhani kama mpaka leo ulimwengu wenyewe ungali kuepo
Ujinga mtupu.
Vitabu vyenyewe vimejaa contradictions.
Waacheni wachome, kwani wakichoma huyo Allah wenu atakufa?
Mbona huko huko Sweden huruhusiwi kuchoma Bendera?..na unafungwa jela Kwa kuchoma Bendera...Uhuru wa kujieleza. Marekani huwa wanachoma bendera yao, ni sehemu ya uhuru wa kujieleza.
Kwani wakichoma Quran, Allah atakufa?
Mbona watu wanakuwa sensitive hivyo?
Ile Quran si makaratasi tu?
Au mnaabudu Quran?
Waislamu wanamuabudu Allah au wanaiabudu Quran?
Hizo hoja zako ndizo zinazothibitisha kuwa yeye Allah yupo.Yeye miongoni mwa majina na sifa zake ni kuwa ni mwenye hekima,mwenye huruma na rehma ni mpole na muadilifu na kuendelea.Waislam wakiwapigia tutajua Allah hayupo.
Ndiyo maana anasaidiwa na Waislamu.
Tunataka Allah mwenyewe awapigie tujue yupo kweli.
Yani ile mtu anaanza kuishika Quran tu aichome moto, mchana kweupee hakuna wingu wala mvua, linavurumuka bonge la radi linaacha maelfu ya watu waliomzunguka huyo anayechoma Quran, linampiga huyo huyo mtu mmoja anayechoma Quran tu.
Nakuhakikishia Allah akifanya hivyo angalia kesho yake watu watakavyokimbikia misikitini.
Lakini Allah hawezi kufanya hivyo.
Kwa sababu hayupo.
Utaona Waislamu wanafanya fujo tu.
Kwa sababu Allah hayupo.
Wana agenda za kufanya dunia yote iwe ni musilm tu,Wanataka kutawala dunia, mbona wanasema wazi tu.
Sasa wamekutana na vichaa hawataki ujinga huo, wanalialia.
Kama suala ni contradictions basi wangeanza na biblia.Ni chuki tu na hofu yao jinsi inavyowabadilisha watu,Hiyo kuran ina contradictions zipi?
Umejuaje hili?Kifo chako kitakuwa kibaya sana, na mbaya zaidi hautakuwa tena na muda wa kuomba msamaha kwa ujinga uliofanya.
Hizo takwimu umezipata wapi kama siyo moja ya delusion uliyokuwa nayo tu.Ngoja nikujibu kijinga kama ulivyo uliza kijinga.....
Hizo bendera ziwe za majeshi, raisi ama taifa husika si mavitambara tu? Vipi ukilichoma hadharani (say) tambara la Tanzania??
Ingekuwa Qur an ni makaratasi basi kuna viwanda vingi sana vya karatasi wangenunua karatasi wakachoma kama lengo lao ni kuchoma karatasi! Lengo lao ni devalue uislam!
Unajua kitu kinachowauma wamagharibi na they got nothing to do with it ni uislam kushamili au kuongezeka kwa kasi duniani na kuwa dini nambari moja ya ushawishi kwa sasa duniani!
Mwenyezi mungu mwenyewe kajaalia kila kitu kimezaliwa kikiwa ni kiislam what a dini!
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Huko huko Sweden juzi kati tu hapo waislam walifuata kibali cha kuchoma biblia na wakapewa kibali.Huko kuchoma makaratasi ni radi ya kutosha.Hao wameshageuka vichaa,mwenye akili timaru,atahangaika na kuchoma makaratasi.Mbona waislamu haombi vibali vya kuchoma vitabu vya dini nyingine.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hujathibitisha Allah yupo, unahubiri tu.Hizo hoja zako ndizo zinazothibitisha kuwa yeye Allah yupo.Yeye miongoni mwa majina na sifa zake ni kuwa ni mwenye hekima,mwenye huruma na rehma ni mpole na muadilifu na kuendelea.
Iwapo yeye ndiye muumbaji wa kila unachokiona na hizo radi anao uwezo wa kufanya hivyo haja itakapotokea na hapangiwi cha kufanya na haathiriwi na lawama.
Mambo ya hasira na visasi visivyo na mpango ni maumbile ya binadamu.Kuna waliotutangulia walifanya kufru kama hizo na hawakuweza kumdhuru na wala hawakuweza kuathiri kuendelea kwa utajo na dini anayoiridhia.
Wako pia wale waliozidi kwenye kufru zao aliamua kuwaonjesha kidogo adhabu zao.Hawa wanaofanya hivyo wanapewa muda tu wa kujitafakari na wakati wakifanya hivyo ndio wanaitangaza Qur'an na kuutangaza uislamu ndani ya nchi zao.
Kwa upande mwengine kwa hekima zake kuna matukio ambayo Allah hayavumilii lakini pia hatoi adhabu za hasira za papo kwa papo.Haya matukio ya kuchoma Qur'an hakuna anayechoma Qur'an akaishi kama zamani.Ataishi maisha wa wasi wasi na hofu mpaka mwisho.Hiyo pekee ni adhabu.
Watu waliotamka maneno ya ufedhuli kwa Allah kam hayo kuwa hayupo na kama yupo afanye jambo fulani kama unayosema wewe hawakuanza leo na pia si lazima tusome kwenye historia,wako wengi tumewashuhudia hata hapo Tanzania.
Kama hasira za kibinadamu na visasi ingekuwa ni sifa zake basi watu wanaomuasi kinyume na mafundisho yake wasingepata pa kuishi.Anachokifanya kila siku anawapelekea karibu ujumbe wake ili watanabahi na kujirekebisha kabla ya siku kila mara anayoikumbushia ambapo ndipo hasira zake atakapozieonesha kweli na ambapo ameonyo huko hakutokuwa na kubadili kitu.