Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Mungu hana haraka hivyo, huwa anakupa muda wa kubadilika, ikishindikana ndo hapo anaangamiza waliopo na wasiokuwepo
Thibitisha Mungu yupo kwanza.

Maana inawezekana ukawa sahihi Mungu hana haraka, kwa sababu hayupo

Mungu asiyekuwepo hawezi kuwa na haraka [emoji28][emoji28][emoji28].
 
Uhuru wa kujieleza. Marekani huwa wanachoma bendera yao, ni sehemu ya uhuru wa kujieleza.

Kwani wakichoma Quran, Allah atakufa?

Mbona watu wanakuwa sensitive hivyo?

Ile Quran si makaratasi tu?

Au mnaabudu Quran?

Waislamu wanamuabudu Allah au wanaiabudu Quran?
Ngoja nikujibu kijinga kama ulivyo uliza kijinga.....

Hizo bendera ziwe za majeshi, raisi ama taifa husika si mavitambara tu? Vipi ukilichoma hadharani (say) tambara la Tanzania??

Ingekuwa Qur an ni makaratasi basi kuna viwanda vingi sana vya karatasi wangenunua karatasi wakachoma kama lengo lao ni kuchoma karatasi! Lengo lao ni devalue uislam!

Unajua kitu kinachowauma wamagharibi na they got nothing to do with it ni uislam kushamili au kuongezeka kwa kasi duniani na kuwa dini nambari moja ya ushawishi kwa sasa duniani!

Mwenyezi mungu mwenyewe kajaalia kila kitu kimezaliwa kikiwa ni kiislam what a dini!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Yani Allah anashindwa kumpiga mtu radi hapo hapo mtu anapochoma Quran.

Dunia nzima tujue Allah hataki mchezo na kitabu chake?
Huko kuchoma makaratasi ni radi ya kutosha.Hao wameshageuka vichaa,mwenye akili timaru,atahangaika na kuchoma makaratasi.Mbona waislamu haombi vibali vya kuchoma vitabu vya dini nyingine.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna watu wanaoishi kwa mihemko ya kumpigania Allah kama hawa samaleko,ni upuuzi mkubwa sana,Allah hawezi piganiwa na watu washenzi kama hawa,acheni Allah ajipiganie
Iko hivi:

Ili waende kufaudu mabikra 72 wasiomaliza ubikra na kufakamia pombe kutoka katika mito ya pombe isiyokauka huko Akhera, ni lazima matendo yao yamdhihirishe Allah. Na hakuna heshima na utukufu kama kumpambania huyo Allah hata kama ni mpaka kupoteza maisha yako kwa kujiripua mabomu au kuua watu wengine wasio na hatia wakiwemo wanawake na watoto. Yaani ukifa ukimpigania Allah, Uislamu, Mudi au Korani basi wewe ni moja kwa moja kwenye high table siti ya mbele kabisa karibu na huyo Allah huku umezungukwa na pisi kali ajabu tena zilizo sealed; na mipombe ya kila aina.

Hakuna kifo cha heshima kwa mvaa kobazi kama cha kufa akimpigania Allah na makandokando yake 😁😁😁🚮

Tafuta clips za mzee wa mizigo Sheikh Kipozeo akifafanua hizi raha za akhera. Unaweza ukasilimu usipojikaza 😁😁😁
 
Quran haihifadhiwi kwenye vitabu inahifadhiwa kwenye vichwa vya watu, hata wachome vyote hakuna kitakacho potea

njia pekee ya kuiteketeza labda ni kuua waislam wote maana wameihifadhi kichwani kuthibitisha hilo kwenye ibada zao zote wanaisoma Quran bila kuangalia kwenye kitabu

wanapoteza muda tu.
 
Quran haihifadhiwi kwenye vitabu inahifadhiwa kwenye vichwa vya watu, hata wachome vyote hakuna kitakacho potea

njia pekee ya kuiteketeza labda ni kuua waislam wote maana wameihifadhi kichwani kwenye ibada zao wanaisoma bila kuangalia kwenye kitabu
Sasa mbona Waislamu wanashoboka hivyo?

Si wawaache tu wayachome hayo makaratasi?
 
Iko hivi:

Ili waende kufaudu mabikra 72 wasiomaliza ubikra na kufakamia pombe kutoka katika mito ya pombe isiyokauka huko Akhera, ni lazima matendo yao yamdhihirishe Allah. Na hakuna heshima na utukufu kama kumpambania huyo Allah hata kama ni mpaka kupoteza maisha yako kwa kujiripua mabomu au kuua watu wengine wasio na hatia wakiwemo wanawake na watoto. Yaani ukifa ukimpigania Allah, Uislamu, Mudi au Korani basi wewe ni moja kwa moja kwenye high table siti ya mbele kabisa karibu na huyo Allah huku umezungukwa na pisi kali ajabu tena zilizo sealed na mipombe ya kila aina.

Hakuna kifo cha heshima kwa mvaa kobazi kama cha kufa akimpigania Allah na makandokando yake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji706]

Tafuta clips za mzee wa mizigo Sheikh Kipozeo akifafanua hizi raha za akhera. Unaweza ukasilimu usipojikaza [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani Allah mwenyewe ana kilema mpaka apiganiwe?
 
Zab 127:1 -2

BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.

ALIYEIANDIKA QURAN AILINDE MWENYEWE.

Allah (shatani)
Asipoilinda Quran atajinua mwenyewe....
 
Amini kuwa hayupo, myself naamini Mungu yupo.
Kuamini si kitu muhimu katika kutafuta ukweli, kwa sababu unaweza kuamini hata uongo.

Suala la muhimu zaidi ni je, unaweza kuthibitisha?

Hujathibitisha Mungu yupo.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Zab 127:1 -2

BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.

ALIYEIANDIKA QURAN AILINDE MWENYEWE.

Allah (shatani)
Asipoilinda Quran atajinua mwenyewe....
Hakuna Allah wala Shetani.

Zote ni tungo za watu tu.
 
Wahuni wa dunia hii wamewachokoza wakristo wakaona wanapuuzwa sasa wamehamia kwa waislam kuwachokoza. Waislam wana munkari na jazba hawana hekima na busara watalipuka na kuanza kulipiza kisasi, hapo itakuwa wamewasaidia wahuni kutimiza lengo lao kuleta vurugu na ghasia duniani
 
Sasa mbona Waislamu wanashoboka hivyo?

Si wawaache tu wayachome hayo makaratasi?
Hata wakristo ingechomwa biblia wangeshoboka

ila kuchomwa kwa Quran hakuna chochote kinacho potea waislam wamehifadhi Quran kichwani
 
Ma shaa Allah, Hii safi sana, wachome zote, Qur'an ipo vifuani mwetu, wakimaliza waanze kutuchoma na sisi, na tunavyozaliana kama panya wataweza kutumaliza?


Hakika shetani Qur'an inaposomwa inamchoma, sasa ugomvi wake mkuu ni Qur'an.

Maana Sweden huko Ukristo walisha upiga teke, kufanyana ndugu na ndugu kwao [oa, kufanyana wanaume kwa wanaume kwao poa, wao na wanyama kwao poa. Qur'an anawachoma mioyo yao. Siwashangai.


Nyie mlioniita, mnaisoma tafsiri ya Qur'an kwa Kiswahili? Au na nyie ni mashetani mnaogopa?

Qur'an imekuja kwa waltmwengu wote si kwa ajili ya faizaFoxy tu, mnalielewa hilo?

Isomeni hapa tafsiri ya Qur'an: Qur'ani Tukufu
 
Back
Top Bottom