Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Waislamu bwana wao number one kuwa intolerant of others and literally kill people who insult Islam, Prophet Mo, kuua homosexuals au kuwatesa na kuwafunga, ku persecute Wakristo among many others they don't like Ila wanajifanya wanaumia sana kuchomwa Quran.

Let God punish them bas; Km mtu kanunua Quran kwa hela yake ana haki ya kuichoma unless akunyang'anye Quran yako aichome na even then sheria will take its toll sio mtu auwawe Km wao wanavyotaka.
 
Kuna watu wajinga sana, sio rational being kabisa Bali ni irrational kama Nguruwe. kwani huyo mungu wao yupo kwenye hayo magazeti?
 
Ni jambo la kusikitisha kwakweli, wanakoelekea ni pabaya. Uhuru siku zote lazima uwe na mipaka. Kuheshimiana katika imani ni jambo muhimu sana katika ustawi wa binadamu.

Wanachoma ili iwenini? Wakumbuke Sweden sio kisiwa. Hawa watu wamepigwa upofu na ninauhakika tulivyokuwa tunasoma rise and fall ya empire mbalimbali kwenye historia kuna siku vizazi vijavyo vitawasoma wao.

Naamini anguko la dola kubwa duniani litasababishwa na mmomonyoko wa maadili. Ni tatizo linalozisakama nchi nyingi zinazojiita kuwa zimestaarabika.

Tuwafunze watotowetu kuheshimiana na kufuata misingi ya undugu, umoja na mshikamano. Tuwafundishe kuwa Imani zetu ni njia ya kutufikisha na kuwa karibu na alie tuumba. Hivyo kile mwenzako anachokiona ni kitakatifu kwake kiheshu na usikitie najisi kwani ndipo imani yake ilipo.

Mwisho wa yote ni kutenda haki kwani haki huwa ni msingi wa mema yote.
 
Wachome tuu, si ni karatasi hizo wataprint zingine [emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna watu wanaoishi kwa mihemko ya kumpigania Allah kama hawa samaleko,ni upuuzi mkubwa sana,Allah hawezi piganiwa na watu washenzi kama hawa,acheni Allah ajipiganie
Na kinachowauma ni kuwa wanajua hana uwezo wa kujipigania,
 
Muslim hao hao hawaheshim imani za wengine.

Kutwa midahalo kupondea wenzao na kujinasibu kuwa wao ni bora na wenye haki.

Sasa kwanini hiyo haki iwe upande mmoja?

Kwanino wao hawaheshimu za wengine.

Acha kichomwe kisawa sawa.

Tutajuana mbele kwa mbele
 
Ni jambo la kusikitisha kwakweli, .
Wewe huna haki ya kuwapangia watu uhuru wao una mwisho gani katika nchi yao.

Haki hiyo kakupa nani?

Unaongea kuhusu kuheshimiana.

Wewe huoni kwamba kuwapangia watu baki wawe na uhuru gani nchini mwao ni kuwavunjia heshima pia?
 
Muslim hao hao hawaheshim imani za wengine.
Kutwa midahalo kupondea wenzao na kujinasibu kuwa wao ni bora na wenye haki.

Sasa kwanini hiyo haki iwe upande mmoja?

Kwanino wao hawaheshimu za wengine.

Acha kichomwe kisawa sawa.

Tutajuana mbele kwa mbele
Wanataka kutawala dunia, mbona wanasema wazi tu.

Sasa wamekutana na vichaa hawataki ujinga huo, wanalialia.
 
Acha Mungu ajitetee mwenyewe.
Na hapo ndipo utajua Mungu hayupo, huyo Mungu ni hadithi za watu tu.

Angekuwepo angempiga mtu mmoja tu kwa radi wakati anachoma Quran, tungejua yupo bila chenga.

Upumbavu mtupu.
 
Back
Top Bottom