Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Havina maajabu kama walivyotuaminisha,eti ukivichoma inakuwa kichaa
2012 ilifanyika Mbagala, ikaamsha maandamano ambayo walitembezewa kibano hadi wakawa walokole.

Ukisoma kitabu cha Waamuzi unakutana na Gideon, Baba yake aliwaambia kuwa waache mungu wao ajitetee mwenyewe ila hakuonekana.

Mungu wetu hujitetea mwenyewe kuonesha ukuu wake
 
Hapo ushawapangia, huna haki hiyo.

Waache.

Nimeukiza hiviiii.

Kwani Allah anashindwa kuwapiga na radi hapo hapi wanapochima Quran, tujue Allah yupo kweli na hapendi mchezo na kitabu chake?

Huoni Allah kushindwa kutuma hata ka radi tu ni ishara kwamba hayupo?
Na wao pia hawana haki ya kufanya hivyo, maana wanawaumiza walioamua kuufuata huo ujinga. Si kila mtu na maamuzi yake, uhuru wake?
 
Hapo ushawapangia, huna haki hiyo.

Waache.

Nimeukiza hiviiii.

Kwani Allah anashindwa kuwapiga na radi hapo hapi wanapochima Quran, tujue Allah yupo kweli na hapendi mchezo na kitabu chake?

Huoni Allah kushindwa kutuma hata ka radi tu ni ishara kwamba hayupo?
Huyo Allah yupo kweli? Mbona haishushii Gharika au moto hiyo sweden
 
Wachome tu. Lakini Mungu haathiliki na uchomwaji huo wa Quran. Kwa ujumla wanachoma karatasi.

Lakini pia tangu awali tungechukulia kwamba vitabu vya Mungu ni karatasi kama karatasi nyingine wala wajinga hao wasingeona sifa kuchoma Quran.
 
Waziri mkuu wa Sweden ameshtushwa na idadi kubwa ya watu wanaoomba kila siku kibali cha kufanya maandamano na kuchoma Quran na kuidhalilisha.

Waziri mkuu anasema idadi hiyo inaongezeka siku hadi siku na hivyo hajui nini kitatokea kama hii hali ikiendelea.

Tukumbuke hivi karibuni kumekua na matukio ya kuchoma Quran na kuidhalilisha hadharani nchini Sweden.

Soma hapa.
Kwani kuchoma quran ni mpaka uwe na kibali?

Watu kadhaa wakichoma quran uislam ndo unaisha!?
 
Ndiyo (walikuambia hivyo) au ni mrengo wako juu ya imani za watu? Awepo au asiwepo, kila mtu ana uhuru na maamuzi yake.
Unauliza swali mara mbilimbiki, unataka jibu lako ulilo nalo mfukoni?

Nimekuuliza, kama Allah yupo, kwanini hawapatilizi hawa watu hapohapo tukajua yupo?

Hujajibu.

Huyo Allah hayupo, acheni upuuzi.
 
Back
Top Bottom