Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Hivi nikiwa na app ya quran, na ninataka kui-delete, natakiwa niombe ruhusa kwa nani?
 
Huwezi pambana na jamaa wa suruali fupi, labda uwatoe wote mbaki wazawa.

Hao jamaa wakianza Timbwili lao hamtaamini macho yenu, hawataki masihara kabisa.

Visasi vya suruali fupi ni vibaya sana, mtakuja kuona, hawanaga cha kupoteza, uhalifu kwao baraka.

Halafu nchi iliyostaarabika kwa nini mtweze utu n imani za watu? Ujinga sana, heshimu kila mtu.

Wadanganye wakajifiche kwenye mapango kama talibani kipindi hicho
 
Yani Allah anashindwa kumpiga mtu radi hapo hapo mtu anapochoma Quran.

Dunia nzima tujue Allah hataki mchezo na kitabu chake?
Mwisho wasiku wanaibuka binadamu wakumtetea dah story zingine zimeigharim Dunia kwakipindi kirefu sana
 
Quran haihifadhiwi kwenye vitabu inahifadhiwa kwenye vichwa vya watu, hata wachome vyote hakuna kitakacho potea

njia pekee ya kuiteketeza labda ni kuua waislam wote maana wameihifadhi kichwani kuthibitisha hilo kwenye ibada zao zote wanaisoma Quran bila kuangalia kwenye kitabu

wanapoteza muda tu.
Basi watulie wasimaundi maana sometimes ni kuonekana watu hawana uwezo wa kufikiri
 
Wachome tu. Lakini Mungu haathiliki na uchomwaji huo wa Quran. Kwa ujumla wanachoma karatasi.

Lakini pia tangu awali tungechukulia kwamba vitabu vya Mungu ni karatasi kama karatasi nyingine wala wajinga hao wasingeona sifa kuchoma Quran.
Sifa mnawapa nyie mnao lalamika kitabu anunue yeye akikichoma ulalamike hivi huoni kua unakaupuuzi
 
kwao hyo nchi waliiumba wao?wanajuathata ni mchanga kiasi gani umetumika kuitengeza hyo nchi dunia ni mungu.

Hao watakuja kupigwa tukio ambalo watakuja kujuta maisha yao yote
Thubutu ile sio Zimbabwe mjomba sehemu nzuri zakiislam zinajulikana waende huko halfghanistan huko sharia inafuatwa
 
Yani Allah anashindwa kumpiga mtu radi hapo hapo mtu anapochoma Quran.

Dunia nzima tujue Allah hataki mchezo na kitabu chake?
Una akili ndogo mno, mwenyezi Mungu hayupo kiushindani na viumbe vyake alivyoviumba mwenyew umeletwa duniani bure ,ukaletewa manabii bure na manabii wakaja na vitabu viwe muongozo kwa binadamu, ukifanya kiburi bc Kuna kabla yako walikua kiburi zaidi yako Ila hawajaangamizwa maramoja mpaka pale walipopelekewa muonyaji na kuendelea kuleta kiburi kama chako lakin mwisho wa cku wako wapi ? Mwenyezi Mungu kashasema yeye ndio alietuleta na kwake wote tutalejea kwahiyo hapana shaka juu ya hilo sasa haraka ya nini ? Ukiwa kiburi utasema mengi kuna watu washasema kwanini huyo mwenyezi Mungu asingekuja mwenyewe mfano wa maneno kama hayo unayosema wewe ila hawakuangamizwa mpaka pale mwenyezi Mungu alipotaka. Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema.
 
Kwamba hadi sasa duniani hakuna kitabu kinachoongelea orbits za sayari ila quran pekee?

Quran haijaelezea kwa usahihi kuhusu jua na sayari,
Kanza haijui hata jua linaenda wapi usiku

Unaweza kunionesha madai haya

uliyoyaandika kama yalivyo!?

Sasa unathibitisha vipi kuwa hivyo vimeumbwa kweli na Allah!?

Sasa hii ndo nini cha ajabu, kuna elimu gani hapo?

Hapo si hata mtoto wa chekechea si anaona hiko kitu?

Mohamad was illiterate person ndo maana hakujua mambo.

Na alielezea mambo ambayo kwasasa ni kichekesho kwa wanaojua, si kichekesho kwa wasojua sayansi ya anga kama wewe.

Eti kabisa mtu anakwambia ameumba nyota kama mapambo angani WTF!!

Wewe umejuaje hili hata sijakuwekea uone?

Yaani ushajiandaa kubadilisha tafsiri
Haya embu tegua hapo

Qur'an 18
86. Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema. 86

Abu dawood 3991
View attachment 2701145
Hii tunayozungumzia ni Qur'an ambayo nina uhakika wewe hujui.Tafsiri unayoangalia ama ni ya Kiswahili au kiiengereza ambazo unaweza ukapata maana isiyokusudiwa.Hapo kwenye aya imetumika maana kwa mujibu wa akili za watu wanavyoweza kufahamu.ibn Kathir kaitafsiri aya hiyo kama hivi
وَجَدَهَا تَغۡرُبُ فِى عَيۡنٍ حَمِئَةٍ۬
(he found it setting in a spring of Hami'ah) meaning, he saw the sun as if it were setting in the ocean. This is something which everyone who goes to the coast can see: it looks as if the sun is setting into the sea but in fact it never leaves its path in which it is fixed. Hami'ah is, according to one of the two views, derived from the word Hama'ah, which means mud. This is like the Ayah:
Sasa kwanini tufuate tafsiri yako ambaye hujui kiarabu na wala Qur'an
 
Unaweza kunisaidia Contradiction za Bible TUPATE kuziona na kusahihisha???????
Huna uwezo wa kusahihisha wakati mapadre wako na papa hawajaweza.
Hebu jaribu kusahihisha angalau 2 za mwanzo hapo chini.Eti wanajidai ni makosa ya uchapishaji.Kumbe kila mtu akichapa anaongeza chake

The 10 Most Shocking Bible Errors​

10 Most Shocking Bible Errors

Counting down the 10 worst typographical errors in Bible that you should be aware of​

Christian devotees read the Bible with a lot of care and attention. Even harmless errors due to typographical mistakes have become an integral part of the content. Since its source materials date back to thousands of years and have been translated in several foreign languages; both misprints and mistranslations are serious issues.
In 1631, Robert Barker and Martin Lucas published a version of the Bible that was so terribly bad that it cost Barker his life. He lost his printing license, was fined, and died in jail.
David Shariatmadari of The Guardian, with some help from the International Society of Bible Collectors, is counting down the Top 10 Worst Bible Typos:
Some of the most prominent typos are as follows:
1. “Let the children first be killed” – Mark 7:27
This line is indeed awkward as it was supposed to mean “filled” instead of “killed”.
2. “If the latter husband ate her”
This is a typo from a printing that was done in 1682 and changes the original passage completely. The word “hate” has been mistakenly typed as “ate”
3. “Sin on more”
The phrase appears in an edition of 1716 and is also referred to as the “Party Bible’. Here the phrase “Sin no more” has been replaced by “Sin on more”. About eight thousand copies of the edition were printed before someone could actually spot the typo.
4. “Printers have persecuted me”
The phrase appears in an edition that was published in 1612 where the word “princes” have been mistakenly replaced with “Printers”.
5. “Jesus”
It seems as if the original word was “Joshua” that originates from the Hebrew word “Yeshua”.
6. “Out of thy lions”
Though, Bible has plenty of lions, this phrase appeared in an edition published in 1804.
7. “Holy ghost”
It is a perfect example of the pitfalls involved while translating the Bible. Pneuma in Greek means spirit or breath. While translating in a version by King James, it was wrongly translated as “ghost”. So while translating the notion of Holy Spirit becomes chaotic.
8. “Owl husband”
An edition published in 1944 by King James actually altered the commandment “…submit yourselves to your own husbands” to “…Submit yourselves to your owl husbands”.
9. “To remain”
A term needs to be invented by us for this particular phenomenon. This is whenever there are words that are meant as advice; persuade themselves as flattery within the text.
10. Peace on Earth and good will toward men”
According to a version by the King James, this phrase was addressed to some shepherds by an angel near Bethlehem. However, the correct translation would have been “Peace on Earth to people he favors”.
 
Ujinga mtupu.

Vitabu vyenyewe vimejaa contradictions.

Waacheni wachome, kwani wakichoma huyo Allah wenu atakufa?
Uchomaji wa Msahafu ni kitendo si cha kiungwana na hakipendezi, kama watu wameshindwa kustahamiliana bora watumie njia nyingine na si kucheza na hisia za watu. Msahafu ni kitabu kitukufu kwa waislamu wa madhehebu yote, hivyo kukidharau au kukikejeli ni hatari kubwa kwani kuna baadhi wa waumini wapo tayari kufanya chochote kwa kulinda heshima ya imani yao, tunaomba huu ushabiki usije ukaleta khasara kubwa kwa waliyokuwemo na wasiyokuwemo. Hivi mbona sijawahi kusikia waislamu wakichoma vitabu vya imani nyingine! Hakuna mtu anayelazimishwa kuwa muislamu, kama kuna mtu ameona uislamu haumfai basi na aachane nao na kama kuna mtu ameona uislamu unamfaa basi ajiunge nao.
 
Una akili ndogo mno, mwenyezi Mungu hayupo kiushindani na viumbe vyake alivyoviumba mwenyew umeletwa duniani bure ,ukaletewa manabii bure na manabii wakaja na vitabu viwe muongozo kwa binadamu, ukifanya kiburi bc Kuna kabla yako walikua kiburi zaidi yako Ila hawajaangamizwa maramoja mpaka pale walipopelekewa muonyaji na kuendelea kuleta kiburi kama chako lakin mwisho wa cku wako wapi ? Mwenyezi Mungu kashasema yeye ndio alietuleta na kwake wote tutalejea kwahiyo hapana shaka juu ya hilo sasa haraka ya nini ? Ukiwa kiburi utasema mengi kuna watu washasema kwanini huyo mwenyezi Mungu asingekuja mwenyewe mfano wa maneno kama hayo unayosema wewe ila hawakuangamizwa mpaka pale mwenyezi Mungu alipotaka. Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema.
Unakosea,

Unaeleza habari za huyo Mungu as if yupo kweli.

Unaweza thibitisha kama kweli tumeletwa na huyo Mungu?

Thibitisha kwanza madai kuwa Mungu yupo then ndo uanze kukosoa alichokisema.

Ukishindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu maana ake habari za kusema "Mungu hapambani na wanadamu" yanakuwa ni batili.

Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote angekuwepo kweli, hakukuwa na haja ya kuwepo kitabu cha kumuelezea wala kutuma watu waje kumhibiri.

Kwanini asijihubiri mwenyewe?

Hakuwaza mbinu bora ya kujihubiri zaidi ya kutuma watu na kutunga vitabu vyenye contradiction kibao ambazo zinaleta utata kwa viumbe vyake.

Hivyo bhasi kwasababu huyo Mungu hakuwahi kujitokeza na anaishi kwenye hadithi tu huo ni udhihirisho kuwa hayupo.

Ni hadithi tu umemezeshwa.
 
Back
Top Bottom