Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wakichoma Qur an nafsi zao zinasuuzika wanadhan wamechoma UislamIchomwe
Huwezi pambana na jamaa wa suruali fupi, labda uwatoe wote mbaki wazawa.
Hao jamaa wakianza Timbwili lao hamtaamini macho yenu, hawataki masihara kabisa.
Visasi vya suruali fupi ni vibaya sana, mtakuja kuona, hawanaga cha kupoteza, uhalifu kwao baraka.
Halafu nchi iliyostaarabika kwa nini mtweze utu n imani za watu? Ujinga sana, heshimu kila mtu.
Mwisho wasiku wanaibuka binadamu wakumtetea dah story zingine zimeigharim Dunia kwakipindi kirefu sanaYani Allah anashindwa kumpiga mtu radi hapo hapo mtu anapochoma Quran.
Dunia nzima tujue Allah hataki mchezo na kitabu chake?
Kwani kile kitabu sikinauzwa mimi nikienda kununua nakukichoma wewe unapata hasara gani?Na wao pia hawana haki ya kufanya hivyo, maana wanawaumiza walioamua kuufuata huo ujinga. Si kila mtu na maamuzi yake, uhuru wake?
Basi watulie wasimaundi maana sometimes ni kuonekana watu hawana uwezo wa kufikiriQuran haihifadhiwi kwenye vitabu inahifadhiwa kwenye vichwa vya watu, hata wachome vyote hakuna kitakacho potea
njia pekee ya kuiteketeza labda ni kuua waislam wote maana wameihifadhi kichwani kuthibitisha hilo kwenye ibada zao zote wanaisoma Quran bila kuangalia kwenye kitabu
wanapoteza muda tu.
Sifa mnawapa nyie mnao lalamika kitabu anunue yeye akikichoma ulalamike hivi huoni kua unakaupuuziWachome tu. Lakini Mungu haathiliki na uchomwaji huo wa Quran. Kwa ujumla wanachoma karatasi.
Lakini pia tangu awali tungechukulia kwamba vitabu vya Mungu ni karatasi kama karatasi nyingine wala wajinga hao wasingeona sifa kuchoma Quran.
Thubutu ile sio Zimbabwe mjomba sehemu nzuri zakiislam zinajulikana waende huko halfghanistan huko sharia inafuatwakwao hyo nchi waliiumba wao?wanajuathata ni mchanga kiasi gani umetumika kuitengeza hyo nchi dunia ni mungu.
Hao watakuja kupigwa tukio ambalo watakuja kujuta maisha yao yote
Una akili ndogo mno, mwenyezi Mungu hayupo kiushindani na viumbe vyake alivyoviumba mwenyew umeletwa duniani bure ,ukaletewa manabii bure na manabii wakaja na vitabu viwe muongozo kwa binadamu, ukifanya kiburi bc Kuna kabla yako walikua kiburi zaidi yako Ila hawajaangamizwa maramoja mpaka pale walipopelekewa muonyaji na kuendelea kuleta kiburi kama chako lakin mwisho wa cku wako wapi ? Mwenyezi Mungu kashasema yeye ndio alietuleta na kwake wote tutalejea kwahiyo hapana shaka juu ya hilo sasa haraka ya nini ? Ukiwa kiburi utasema mengi kuna watu washasema kwanini huyo mwenyezi Mungu asingekuja mwenyewe mfano wa maneno kama hayo unayosema wewe ila hawakuangamizwa mpaka pale mwenyezi Mungu alipotaka. Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema.Yani Allah anashindwa kumpiga mtu radi hapo hapo mtu anapochoma Quran.
Dunia nzima tujue Allah hataki mchezo na kitabu chake?
Hii tunayozungumzia ni Qur'an ambayo nina uhakika wewe hujui.Tafsiri unayoangalia ama ni ya Kiswahili au kiiengereza ambazo unaweza ukapata maana isiyokusudiwa.Hapo kwenye aya imetumika maana kwa mujibu wa akili za watu wanavyoweza kufahamu.ibn Kathir kaitafsiri aya hiyo kama hiviKwamba hadi sasa duniani hakuna kitabu kinachoongelea orbits za sayari ila quran pekee?
Quran haijaelezea kwa usahihi kuhusu jua na sayari,
Kanza haijui hata jua linaenda wapi usiku
Unaweza kunionesha madai haya
uliyoyaandika kama yalivyo!?
Sasa unathibitisha vipi kuwa hivyo vimeumbwa kweli na Allah!?
Sasa hii ndo nini cha ajabu, kuna elimu gani hapo?
Hapo si hata mtoto wa chekechea si anaona hiko kitu?
Mohamad was illiterate person ndo maana hakujua mambo.
Na alielezea mambo ambayo kwasasa ni kichekesho kwa wanaojua, si kichekesho kwa wasojua sayansi ya anga kama wewe.
Eti kabisa mtu anakwambia ameumba nyota kama mapambo angani WTF!!
Wewe umejuaje hili hata sijakuwekea uone?
Yaani ushajiandaa kubadilisha tafsiri
Haya embu tegua hapo
Qur'an 18
86. Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema. 86
Abu dawood 3991
View attachment 2701145
Huna uwezo wa kusahihisha wakati mapadre wako na papa hawajaweza.Unaweza kunisaidia Contradiction za Bible TUPATE kuziona na kusahihisha???????
Uchomaji wa Msahafu ni kitendo si cha kiungwana na hakipendezi, kama watu wameshindwa kustahamiliana bora watumie njia nyingine na si kucheza na hisia za watu. Msahafu ni kitabu kitukufu kwa waislamu wa madhehebu yote, hivyo kukidharau au kukikejeli ni hatari kubwa kwani kuna baadhi wa waumini wapo tayari kufanya chochote kwa kulinda heshima ya imani yao, tunaomba huu ushabiki usije ukaleta khasara kubwa kwa waliyokuwemo na wasiyokuwemo. Hivi mbona sijawahi kusikia waislamu wakichoma vitabu vya imani nyingine! Hakuna mtu anayelazimishwa kuwa muislamu, kama kuna mtu ameona uislamu haumfai basi na aachane nao na kama kuna mtu ameona uislamu unamfaa basi ajiunge nao.Ujinga mtupu.
Vitabu vyenyewe vimejaa contradictions.
Waacheni wachome, kwani wakichoma huyo Allah wenu atakufa?
quran haina miujiza yoyote, dini ni mapokeo tu na janja janja. wafia dini hamta nielewaNimefurahi sana kusikia "idadi kubwa ya kuomba kibali", Ma shaa Allah, kumbe mpaka waombe kibali? Kitabi kipi kingine kukichoma mpaka kiombewe kibali?
Huo pekee ni muujiza wa Qur'an.
Unakosea,Una akili ndogo mno, mwenyezi Mungu hayupo kiushindani na viumbe vyake alivyoviumba mwenyew umeletwa duniani bure ,ukaletewa manabii bure na manabii wakaja na vitabu viwe muongozo kwa binadamu, ukifanya kiburi bc Kuna kabla yako walikua kiburi zaidi yako Ila hawajaangamizwa maramoja mpaka pale walipopelekewa muonyaji na kuendelea kuleta kiburi kama chako lakin mwisho wa cku wako wapi ? Mwenyezi Mungu kashasema yeye ndio alietuleta na kwake wote tutalejea kwahiyo hapana shaka juu ya hilo sasa haraka ya nini ? Ukiwa kiburi utasema mengi kuna watu washasema kwanini huyo mwenyezi Mungu asingekuja mwenyewe mfano wa maneno kama hayo unayosema wewe ila hawakuangamizwa mpaka pale mwenyezi Mungu alipotaka. Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema.
wewe si ndo unasema mungu hayupo? wala uchawi haupo? unatambua uwepo wa allah?Kwani wakichoma Quran Allah anakufa?
washilamu hawana lakujibu chamsingi alah ajitetee na atetee maandishi yakeMbona waislamu hawachomi vitabu vya dini nyingine? Hapo ndio ujue waislamu, huwa wanachokozwa, wakijibu mapigo,watu wasipige kelele.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app