Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Huko kutoa pesa,na kuichoma sio radi ndogo.Wananunua kitabu,halafu kukichoma.Watoa pesa,halafu waichoma.Watapigwa na radi Nini mkuu?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kutoa pesa,na kuichoma sio radi ndogo.Wananunua kitabu,halafu kukichoma.Watoa pesa,halafu waichoma.Watapigwa na radi Nini mkuu?
Wanaowaunga mkono wachoqji ndio wajinga na hao wanaochoma Utoe pesa,unique kitabu halafu ukichome,hapo unachoma pesa,na kumpa faida yule aliyekuuzia,biashara yake inakwenda.Hawa watumwa wa kiutamaduni wa waarabu hawajielewi.
Ni watu wajinga kabisa.
Soma vizuri,umesikia wapi mchapishaji wa hivi vitabu na muuzaji analalamika.Muuzaji biashara inakwenda vizuri, alalamike.Sasa kama wanafaidika mbona mnalalamika na kulialia mitandaoni, mara mnaandamana ndugu zetu waislamu.
What's wrong with you
Watu kama wewe ni wenye uwezo mdogo wa kufanya midahalo..Huko kusema hayupo,ndio kuwako kwake.Kisichokuwepo hakisemwi hakipo.Kilichopo ndio husemwa hakipo.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kama kusema Mungu hayupo, ndiyo kuwapo kwake.
Basi pia, kwa kufuata kanuni hiyo hiyo ya kugeuza mambo, kimantiki, kusema yupo, ndiyo kutokuwapo kwake.
Hapo kimantiki umejinyea. Umejiharishia.
Hiyo kusema kisichokuwepo hakitajwi na wengi kuwa kipo kimantiki umejinyea tena. Umejiharishia nguoni.
Hiyo logical fallacy inaitwa argument from popularity.
Google that. I am sure you don't know it.
Yani hata nikikukubalia ujinga wako wote nita conclude kwamba.
1. Kusema Mungu hayupo kunamaanisha yupo.
2. Hivyo, kufuata hiyo hiyo kanuni ya kupindua mambo, kusema Mungu yupo kunamaanisha Mungu hayupo.
3. Watu wengi wakisema kitu lazima kiwe kweli.
4. Watu wengi wanasema Mungu yupo, jambo ambalo kutoka 2 hapo juu maana yake Mungu hayupo.
5. Hivyo, Mungu hayupo.
Hawana shida na pesaHuko kutoa pesa,na kuichoma sio radi ndogo.Wananunua kitabu,halafu kukichoma.Watoa pesa,halafu waichoma.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sio kweli,muislamu hafanyi ujinga huo.Lete chanzo chako.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kama mimi kusema Mungu hayupo ndiyo kunaonesha kuwapo kwa Mungu, na wewe kusema Mungu yupo ndiyo kunaonesha kutokuwapo kwa Mungu?
Nimeandika kuwa wanaolalamika ni wauzaji na wachapishaji wa vitabu au waislamu?Soma vizuri,umesikia wapi mchapishaji wa hivi vitabu na muuzaji analalamika.Muuzaji biashara inakwenda vizuri, alalamike.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hao ndo wana support violence?
Kuna mchuzi alitumia kama paper ya kunyingea ganja, akanyonga, akavuta.Huku ndo pa kwenda kuishi. Choma kabisa. Unguza. Chana chana. Kojolea. Nyea. Tena isiwe kwa maombi tu. Iwe utaratibu wa maisha. Kabla hamjaanza siku kazini au shuleni mnaichoma. Before football matches mnachoma. Before kufanya mapenzi mnaichoma kwanza
Biblia imejaa contradictions, nikikuwekea hapa huwezi kuzitatua.BIBLIA ILICHOMWA MAELFU KWA MAELFU MIAKA YA ZAMA ZA GIZA LAKINI KWA VILE NI NENO HAI NA LENYE NGUVU HAWAKUFANIKIWA KUITEKETEZA IPOTEE. SASA HAWA NAKALA KADHAA KUCHOMWA WANAPANIKI DUNIA NZIMA[emoji23][emoji23][emoji23]
Vhochote unachokiona au kukisikia au kukigusa,ujuwe yupo aliyefanya kiwepo.Watu kama wewe ni wenye uwezo mdogo wa kufanya midahalo..
.
Hoja huna.
Kuumba hoja huwezi.
Unarudia rudia post ambazo hazina hata maana na haziendani na unachoulizwa.
Halafu bado unajibiwa, lakini unaendelea kushikilia hoja ambayo imejibiwa.
Huo ni uwezo mdogo ulionao kubali tu.
Kwa hoja uliyotoa nshawahi kukujibu kuwa inawezekana kichwa chako kilifungwa Not gate.
Na bado hoja kama hii hoja ya kitoto sana iliyojaa ujinga na umbumbumbu mwingi, hoja hii ushapatiwa majibu yake humu humu.
Ona ulivyojibiwa hapa
Kwa hoja uliyotoa wewe basi ni kweli huyo Mungu hayupo.
Huko kufanya hivyo ndio ukichaa wenyewe,mtu mwenye akili zake;!anatumia kitu sahihi kwa kazi sahihi.Ni sawa na kumuona mtu,anavyaa chupi kichwani,badala ya kofia.Kwa mwenye akili mbovu kama yeye atamsifia.Ndio wewe unamsifia aliyefanya kinyume na utaratibu wa maisha.Kuna mchuzi alitumia kama paper ya kunyingea ganja, akanyonga, akavuta.
Watu wakasema utaoata kichaa weee.
Hakupata kichaa wala nini.
Mpaka leo anadunda.
Hujathibitisha Mungu yupo.Huko kufanya hivyo ndio ukichaa wenyewe,mtu mwenye akili zake;!anatumia kitu sahihi kwa kazi sahihi.Ni sawa na kumuona mtu,anavyaa chupi kichwani,badala ya kofia.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Usifanye mzaha na maneno ya MunguUhuru wa kujieleza. Marekani huwa wanachoma bendera yao, ni sehemu ya uhuru wa kujieleza.
Kwani wakichoma Quran, Allah atakufa?
Mbona watu wanakuwa sensitive hivyo?
Ile Quran si makaratasi tu?
Au mnaabudu Quran?
Waislamu wanamuabudu Allah au wanaiabudu Quran?