Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hata Nadhim Zahawi aliemchagua jana tu kamwambia jiuzuru
Hawa watu tofauti na sisi Hakuna walamba viatu huku
Hawa watu tofauti na sisi Hakuna walamba viatu huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uengereza Ina Mawaziri zaidi ya 100Mkuu ina maana baraza la mawaziri la UK lina mawaziri wangapi
Kajiuzulu.
Huwez zuia mafuta ya Urusi na Gas alafu utoboe.
Ulaya saizi ni kipindi Cha Baridi !!!
Nimeshangaa Sana Hawa watu Wana utofauti na uhuru wa ajabuHata Nadhim Zahawi aliemchagua jana tu kamwambia jiuzuru
Hawa watu tofauti na sisi Hakuna walamba viatu huku
Kujiuzulu kwake kunahusiana vipi na Urusi au Gas?
Unajua sababu ya yeye kulazimishwa kujiuzulu?
Kuna watu wanawalisha wenzao matango poriShangaa na wewe
Maana mimi niko hapa nimevaa T-shirt tu na joto kama kawa sijui Ulaya ipi hiyo
Mkuu, Bosi Johnson hajaamua kujiuzulu mwenyewe alikuwa akikataa kuhusu jambo hilo. Taarifa zasema asubuhi hii amepelekewa barua na mawaziri wengi na maofisa wengine waandamizi wa serikali na kuambiwa asaini na aisome mwenyewe baadae leo...
Kama huyu wwa Tz sio.... hiyo ndio tofauti ya democratic leadership's as compared to dictatorships ambapo maamuzi yote huwa ya sadist mmoja anayehisi ni mungu wa taifa.
Duuh tatizo ni nini hasa hadi mawaziri wote hao wajiuzuru na yeye kutakiwa kujiuzuru?
Russia effects si mlisema Putin anatangulia?Sasa mbona nyie mnatangulia huu ni mwanzo Tu huko marekani Hali Pia ni mbaya.... hiyo ndio tofauti ya democratic leadership's as compared to dictatorships ambapo maamuzi yote huwa ya sadist mmoja anayehisi ni mungu wa taifa.
Nimeshangaa Sana Hawa watu Wana utofauti na uhuru wa ajabu
Unamchagua mtu Leo, alafu kesho nayeye anakuambia Jiuzulu
Kuna watu wanawalisha wenzao matango pori