Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutangaza kujiuzulu mchana huu

Wewe hata hujui kinachoendelea ndio shida ya kupuuza elimu dunia na kukalia makorokocho yasiyo weza kukusaidia ona sasa unavyoumbuka.
Unayeumbuka ni usiyeweza kuona hatua mbili upande wowote Toka ulipokaa,au simama🤔,hapo utataka tuamini yanayotokea hayahisiani na ubeberu waNato😂
 
Watakwambia kwani watanzania wenye sifa wameisha ?

We acha tu
Kama Nyerere asingeishia kwa Amir Jamal nafikiri tungekuwa na mchanganyiko wenye tija kabisa

Hivi hatujiulizi mbona tuko nyuma hivi
Kwanini tunajiona wabora wakati hatuna lolote la kujivunia zaidi ya wanyama?
 
Mkuu ina maana baraza la mawaziri la UK lina mawaziri wangapi
Kuna mawaziri 21 kisha kila wizara kuna manaibu waziri na mawaziri wengine wadogo au junior ministers.

Kwa mfano wizara ya elimu ina waziri, kisha kuna mawaziri wadogo wa shule, wa vyuo vikuu, watoto wadogo na idara zingine.
 
ukiona mtu kafika level hizo ujue ameshakuwa muingereza kwenye damu.

Nimeona Patel kwenye polls yuko mwishoni kabisa kama ulivyosema.
 
Hao watu utawaona wana akili wakiwa nje ya siasa, sasa ngoja wajiunge na ccm halafu wapewe hivyo vyeo ndio nutashangaa kama ni wenyewe.
 
Hao watu utawaona wana akili wakiwa nje ya siasa, sasa ngoja wajiunge na ccm halafu wapewe hivyo vyeo ndio nutashangaa kama ni wenyewe.

Utafikiri huwa wanarogwa na kupewa chanjo mwili mzima wawe matahira wa kufanya mabaya tu kama kuwaibia wanyonge
 
Hapa kwetu wanatawala kama Russia.
Hupendi?
Hapa kwetu ,tuna maviongozi manasiasa yanabwabwaja tu, akili kiduchuu .

Wee cheki Bungeni walivyo , wanapiga makofi kwenye mambo ya kijinga tu.

Na Hawa viti maalumu Ndo kabisaaa Vitunguu Maji .
 
Wenzetu security na intelligence ziko vizuri, ukiona mtu kafika level hizo ujue ameshakuwa muingereza kwenye damu.

Nimeona Patel kwenye polls yuko mwishoni kabisa kama ulivyosema.

Watapewa kazi zote ila Jeshi tu ndio ngumu
Niliomba kazi ya ukalimani jeshi la hapa
Nikapewa namba nipige MI6 nikaongea na Captain mmoja
Swali la kwanza Uraia
La pili akaniuliza umezaliwa hapa?
Niliposema hapana nikawa nimekosa sifa na kazi nikakosa

Sasa angalia mawaziri watatu hawajazaliwa hapa ila wamepewa uwaziri wa fedha mara 3

Patel ataondoka sio mbali
 
Sisi tunafuata mifumo kama ya Russia na China
 
Suala gani ni gani uko Pro Nato?
Mimi likija suala la Russia ni Pro Russia haswa tena namuunga mkono Putin wala haihusiani lolote na Boris
Huu ni mjadala tofauti na ninajadili kinachoendelea

Usigeuze mada
 
Suala gani ni gani uko Pro Nato?

Ni kawaida mtu kuwa na upande wowote hata hapo kuna wanaoichukia nchi yao na wapo wanaoipenda
Kuna tatizo kuwa na mitazamo tofauti ?
Maana unaniuliza maswali kila ninapochangia hoja any problem
 
Sisi tunafuata mifumo kama ya Russia na China

Kumbe sasa mbona hawaendi kusoma tena huko kupitia serikali kwa wingi kama zamani?
Maana zamani mpaka sarakasi walienda China
 
Nimekuelewa sana mkuu.
 
Tim nato kuna salam zenu kwa mwamba Putin leo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Putin Strikes Back Again [emoji457]

Putin to West: You want to defeat Russia on the battlefield? Try it! But keep in mind that we haven’t even started anything serious yet.
 

Hahaha mwamba anaunguruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…