Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Sasa je ndiyo imeisha au tuwasubiri Tucta?🤣🤣Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko...
They are synomn to each other. Better rest my friend.Sasa je ndiyo imeisha au tuwasubiri Tucta?
Mshahara wa milioni moja na point kwa mwezi ndiyo kwake anauita mshahara mkubwa! Na hapo bado huyo mfanyakazi hajakopa ili ajrngr kibanda cha kumuhifadhi! Maana hakai kwenye nyumba ya serikali kama yeye Waziri mkuu...
BInafsi sijaelewa mishahara ya mawaziri imeingiaje ingiaje kwenye ishu ya mishahara ya watumishi wa umma, katelephone ni changamoto sanaTusiwafanye watumishi kuwa mazuzu na vyama vya wafanyakazi wasiburuzwe kizembe!!! Binafsi mkewangu aliye mwalimu kaongezwa 3.7% ya mshahara wake sasa waeleze ukweli sio blah blah za kisiasa kutafuta masifa yasiyo stahili. Nchi za wenzetu walitangaziwa percentage ya nyongeza na ikatimizwa bila makelele sisi wanasiasa wanawazuga watumishi nakuleta janjajanja miiingi.
Wawe open mishahara imeongezwa kwa asilimia ngapi??? Kama nawao hawajui waseme waache kudanganya wafanyakazi kama watoto
tena yule ni bora kuliko huyu, yule alipunguza PAYE ambayo iliongeza mshahara kiasi cha kutosha, huyu anashauriwa vibaya na walamba asali kina mwigulu, huku danganya toto nyongeza ya shahara huku unaongeza mitozo kila pahala ili mradi tu kumkera mwananchi, ee Mungu eee tumekuachia baba! amua na huu ugomviYule aliyekuwepo hakuongeza mishahara lakini miundombinu ilijengwa. Huyu wa sasa haieleweki fedha inaenda wapi
Yule miaka mitano huyu ndio mwaka tu unatalka walingane!!!!!!................Yule aliyekuwepo hakuongeza mishahara lakini miundombinu ilijengwa. Huyu wa sasa haieleweki fedha inaenda wapi
PAYE kwani imeongezeka??tena yule ni bora kuliko huyu, yule alipunguza PAYE ambayo iliongeza mshahara kiasi cha kutosha, huyu anashauriwa vibaya na walamba asali kina mwigulu, huku danganya toto nyongeza ya shahara huku unaongeza mitozo kila pahala ili mradi tu kumkera mwananchi, ee Mungu eee tumekuachia baba! amua na huu ugomvi
Isije ikawa wamekwisha malizana na tucta kwa sababu kauli ya mara ya mwisho kutoka serikalini walisema tucta wameenda kujadiliana... Sasa tucta kabla hawajasema tena kitu leo waziri mkuu amezungumzaThey are synomn to each other. Better rest my friend.