Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri mkuu kasema mshahara ukiwa mkubwa nyongeza inakuwa kiduchu ila mshahara ukiwa mdogo nyongeza inakuwa kubwa.Tusiwafanye watumishi kuwa mazuzu na vyama vya wafanyakazi wasiburuzwe kizembe!!!
Binafsi mkewangu aliye mwalimu kaongezwa 3.7% ya mshahara wake sasa waeleze ukweli sio blah blah za kisiasa kutafuta masifa yasiyo stahili. Nchi za wenzetu walitangaziwa percentage ya nyongeza na ikatimizwa bila makelele sisi wanasiasa wanawazuga watumishi nakuleta janjajanja na maneno meeengi kisa nini!!! Kwanini nchi hii inaujinga mwiiingi??? WHY???
Serikali iwe open na ifanye kazi kisomi na kistaarabu bila hila.
Swali, mishahara imeongezwa kwa asilimia ngapi???
Kama viongozi serikalini nao hawajui waseme waache kudanganya wafanyakazi kama watoto!!
Kama kipindi marehemu anaumwa mtu huyu alijitokeza na kudanganya wananchi kuwa haumwi yuko kazini mpaka kifo kilipowaumbua atashindwa nini kudanganya wafanyakazi kuhusu mishahara??? Sijawahi kumuamini huyu katelephone!! Aende akadanganye watoto wake, wafanyakazi ni wasomi na welewa kuliko yeye...SHAME!! asifanye tumwite MR. BIG LIER
Unaelewa usichoelewa wewe kijanaa, walimu wameongezwa 4% sasa nchi hii walimu wapo kwenyekundi la mishahara mikubwa?? Hawa walimu tunaowaona njaa kali wanauza ubuyu, wanakopa kila mahali na kuishi kwa kupangisha vivyumba viwili!! Use common sense usidanganyikeWaziri mkuu kasema mshahara ukiwa mkubwa nyongeza inakuwa kiduchu ila mshahara ukiwa mdogo nyongeza inakuwa kubwa.
😀Sawa waziri mkuu tunakuewa.
Watumishi wako tayari hata kupungumza mishahara yao ili waupige mwingi.
Qumamae.
Naona mkuu mpaka umekosa cha kucoment kwa namna ulivyo umia[emoji23] ipo haja ya kuwa na mishahara midogo [emoji1787]Aisee
Yule aliyekuwepo hakuongeza mishahara lakini miundombinu ilijengwa. Huyu wa sasa haieleweki fedha inaenda wapi
Mkuu hilo ni robot, liko programmed kutema hizi pumba kila uzi.Sasa hii hoja Yako Ina mahusiano Gani na kauli ya waziri mkuu?sometimes kuweka siasa kwenye Kila jambo ni too harmful.
Kweli hii ni Serikali ya kipekee duniani,Prime Minister anaongea kauli nyepesi kwa mambo mazito huku akipigiwa makofi na watu walionuna mioyo.Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02%
Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata ongezeko kubwa ni wale watumishi waliokuwa wanapata mishahara midogo.
Pia amesema wananchi wanapaswa kushukuru kwa ongezeko hilo ambalo miaka kadhaa iliyopita haikuwepo
🤣🤣🤣🤣CCM mbere kwa mbereWaziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02%
Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata ongezeko kubwa ni wale watumishi waliokuwa wanapata mishahara midogo.
Pia amesema wananchi wanapaswa kushukuru kwa ongezeko hilo ambalo miaka kadhaa iliyopita haikuwepo
Na vitu havikupanda bei, vilishukaYule aliyekuwepo hakuongeza mishahara lakini miundombinu ilijengwa. Huyu wa sasa haieleweki fedha inaenda wapi
HahahaahahahahaaMimi nimeongezwa asilimia moja.... Ila ccm ipo siku yenu
Mkuu, Huo wakati hautafika bila kudai.Mshahara wa milioni moja na point kwa mwezi ndiyo kwake anauita mshahara mkubwa! Na hapo bado huyo mfanyakazi hajakopa ili ajenge kibanda cha kumuhifadhi! Maana hakai kwenye nyumba ya serikali kama yeye Waziri mkuu! Hana deni Bodi ya mikopo!
Kweli alieyeshiba hamjui mwenye njaa. Ifikie wakati Wagombea binafsi waruhusiwe ili tupate watu wenye mawazo ya kitajiri, na hivyo kuachana kabisa na hawa watu wenye mawazo ya kimaskini na kibinafsi miaka nenda.